physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 875
- 1,091
Watu wengi.wanapadharau VETA,lakini ukiwa VETA kwa masomo pale,ndio utajua kuwa ni chuo cha uhakika,hao wenye degree na watembelee VETA,watashangaa jinsi elimu inayotelewa pale.Kwani misingi ya elimu inasemaje? Na mitaala ni nini? Waziri mkuu yuko sahihi na ametoa ushauri huo kwa wakati sahihi kwa mukhtadha wa wahitimu wengi kuzagaazagaa mitaani bila ajira huku wana shahada zao na umri unaenda hawajaajiriwa kutokana na nafasi za ajira kuwa chache. Kuliko mwenye degree akae tu mitaani bila ajira bnra aende VETA akapate ufundi. Soko la ufundi ni kubwa na halina mipaka. Sasa una degree fulani unasubiria nafasi ya ajira itokee na waombaji wako wengi si ujajikuta unazeekea mitaani bila ajira huku una degree fulani? VETA, LABOUR FORCE SKILLED, THE FUTURE OF TANZANIA
VETA elimu ipo,na wanaomaliza,pale,wanajiajiri ki urahisi. sanz.