Ukitazama CV ya Elimu ya Waziri Mkuu Majaliwa Kassim utaelewa kwanini ametoa wazo la wenye Degree kwenda VETA

Waziri alikuwa na maana chanya tu tofauti na ulivomwelewa, VETA itakusaidia kupata kipato angalau cha kuendesha maisha ukiwa unasubiri ajira .
Afu kingine hajakulazimisheni kwenda ila alitoa ushauri na ni ushauri mzuri kwa vijana wote wenye akili timamu.
PM anajibiwa kwa hasira na chuki. Ni ile mtu anakusikiliza ili akujibu na sio kukuelewa.

Ukimuelewa kwanza utakuta huhitaji kumjibu bali kwenda VETA kimya kimya
 
Ccm👇
Screenshot_20250317-114257_1.jpg
 
Nenda Kariakoo ukawaone 'Mawinga' ambao ni vijana wahi timu wa vyuo vikuu. Wame jiongeza kwenye soko la simu, wengi wao wame jifunza ufundi wa simu kwa kuunga unga na Sasa wamejipata.
 
Ifahamike CV ya Elimu ya Kassim Majaliwa ni hovyo na ya kuunga unga tu kwahio sio ajabu kutoa wazo hilo kuhusu wahitimu wa shahada za vyuo vikuu kwenda VETA.

Kujadili ushauri wa kipuuzi na wa kijima, ni upunguani, huyu Waziri Mkuu amefika mwisho uwezo wake wa kufikiria na ni Waziri Mkuu pekee ambaye hajaacha legacy yoyote ile hadi sasa.

Hivi anajua wahitimu wa VETA hadi sasa ni wangapi na wako wapi na VETA ina fani za aina gani ni ziko ngapi.

Pia soma Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

Anajua carrying capacity ya VETA? Anajua Ability ya VETA kwenye mawanda yote?

Tuzikatea dharau kwa nguvu zote, CCM tafadhari inapaswa kujiweka mbali na mawazo ya hovyo kama hayo ya Majaliwa.

Ni aibu kuwa na Taifa lenye kuokota okota watu kwenye nafasi nyeti kama ya Waziri Mkuu.

Hatupo tayari kulea matamko ya kifedhuri na yenye kutweza sifa za wahitimu wa shahada za vyuo vikuu.

Hii ni vita tusikubali dharau
Acha makasiriko kuambiwa ukweli. Elimu ya vyuo vikuu ilikuwa ni kwa karne ya 20 kushuka. Kwa karne ya 21 na kuendelea, elimu ya ufundi tu inakupa maisha. Labda kwa fani kadhaa kama udaktari na sheria ndio vinahitajika kwa levo za vyuo vikuu. Ila nazo si lazima.
 
VETA NENDA KUCHUKUA CHETI/ VYETI HAKUNA MAARIFA YEYOTE YA MAANA.....

NENDA VETA KUCHUKUA VYETI MAARIFA YAPO ONLINE AU MTAANI NENDA GEREJI, WELDING,USHONAJI, UJENZI, KILIMO, UFUGAJI, GRAPHIC DESIGNING.
 
Nenda Kariakoo ukawaone 'Mawinga' ambao ni vijana wahi timu wa vyuo vikuu. Wame jiongeza kwenye soko la simu, wengi wao wame jifunza ufundi wa simu kwa kuunga unga na Sasa wamejipata.
Ukienda veta hupati ujuzi wowote wa maana wa kutengeneza simu.

VETA KUCHUKUA VYETI MAARIFA YAPO ONLINE AU MTAANI/ FIELD
 
Acha makasiriko kuambiwa ukweli. Elimu ya vyuo vikuu ilikuwa ni kwa karne ya 20 kushuka. Kwa karne ya 21 na kuendelea, elimu ya ufundi tu inakupa maisha. Labda kwa fani kadhaa kama udaktari na sheria ndio vinahitajika kwa levo za vyuo vikuu. Ila nazo si lazima.
Acha kudharau ELIMU ikumbukwe dhima kuu ya ELIMU ni kumsaidia mtu/ mwanadamu kuweza kuyatawala Maisha yake.

Hakuna haja ya kwenda VETA ukitumia vyema ELIMU ya degree ukijipa miaka kumi na kuweka Long term plan na short term plan unatoboa

Ni dharau kubwa Sana kwa wasomi wa degree kuambiwa kwenda vetaa ni matusi veta hakuna Cha maana zaidi ya kufuata vyeti.
 
Ifahamike CV ya Elimu ya Kassim Majaliwa ni hovyo na ya kuunga unga tu kwahio sio ajabu kutoa wazo hilo kuhusu wahitimu wa shahada za vyuo vikuu kwenda VETA.

Kujadili ushauri wa kipuuzi na wa kijima, ni upunguani, huyu Waziri Mkuu amefika mwisho uwezo wake wa kufikiria na ni Waziri Mkuu pekee ambaye hajaacha legacy yoyote ile hadi sasa.

Hivi anajua wahitimu wa VETA hadi sasa ni wangapi na wako wapi na VETA ina fani za aina gani ni ziko ngapi.

Pia soma Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

Anajua carrying capacity ya VETA? Anajua Ability ya VETA kwenye mawanda yote?

Tuzikatea dharau kwa nguvu zote, CCM tafadhari inapaswa kujiweka mbali na mawazo ya hovyo kama hayo ya Majaliwa.

Ni aibu kuwa na Taifa lenye kuokota okota watu kwenye nafasi nyeti kama ya Waziri Mkuu.

Hatupo tayari kulea matamko ya kifedhuri na yenye kutweza sifa za wahitimu wa shahada za vyuo vikuu.

Hii ni vita tusikubali dharau
Safari ni safari,hata ukitaka kwenda Canada unaunga ndege tatu same applied to Holland,sasa mtu akifika hakuna haja ya kujiuliza kafika au la,hata ndege tuu ya tanzania hatuwezi kwenda Europe mpaka ipitie Nairobi then one way,kuunga vyuma kunaleta products nzuri
 
Unamaanisha nini kuhusu vyeti wakati ujuzi unaanza then vyeti
 
Nakuona majaliwa umekuja kujitetea..hoja yako ni nzurii Ila umeshindwa kuiwasilisha vizuri ulijump kwenye conclusion before umma haujakuelewa.
 
Unamaanisha nini kuhusu vyeti wakati ujuzi unaanza then vyeti
Nenda pale veta driving school utajua Nini nimemaanisha....

VETA NENDA KUCHUKUA VYETI/CHETI MAARIFA YAPO ONLINE AU MTAANI/ FIELD.

Ukitaka kupata maarifa nenda moja kwa moja mfano kwenye ujenzi, ufundi bomba, ufundi umeme, ufundi welding, ufundi aluminum, ufundi magari N.K

VETA NENDA KACHUKUE VYETI/ CHETI
 
MAjaliwa amekumbuka shuka kumeshapambazuka, Kuna mdau hapa alitoa ushauri kuwa haoni haja ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita kwenda Jkt eti kujifunza uzalendo, badala yake alitoa ushauri kuwa kile kipindi cha kusubiria matokeo na udahili wa kwenda vyuo vikuu na vyuo vya kati basi kitumike kwa wanafunzi kwenda veta.

Tena alishauri sera itungwe na liwe takwa la lazima kwa mtu kupitia veta baada ya kumaliza elimu ya kidato cha sita.

Nadhani serikali na wizara wangezingatia hili wazo, hata mimi sioni sababu ya kupeleka wanafunzi Jkt ambako hakuna chochote wanachoenda kupata zaidi ya wajenda kutafuna mbususu za wadogo zetu kwa kisingizio cha kuwafunza uzalendo, huo muda wangeutungia sera kuwa ni takwa la lazima kwenda veta kupata ujuzi ambao utaweza kumsaidia kijana baada ya kumaliza chuo na hata wale ambao watakosa nafasi za kwenda vyuo basi watakuwa wameshapata skills za kuwawezesha kukabiliana na maisha ya mtaani na hii isiishie kwa wanaomaliza kidato cha sita tu, nadhan ingeongezwa kwa wanaomaliza kidato cha nne pia.
 
Ubunge sio udiwani kama hauna Hela hauwezi kugombea ubunge form yenyewe million 1
Ubunge hauhitaji dgree wao waseme tuu ubunge mwisho mitano sie hiyo 1mil tutaisaka tuu
 
MAjaliwa amekumbuka shuka kumeshapambazuka, Kuna mdau hapa alitoa ushauri kuwa haoni haja ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita kwenda Jkt eti kujifunza uzalendo, badala yake alitoa ushauri kuwa kile kipindi cha kusubiria matokeo na udahili wa kwenda vyuo vikuu na vyuo vya kati basi kitumike kwa wanafunzi kwenda veta.

Tena alishauri sera itungwe na liwe takwa la lazima kwa mtu kupitia veta baada ya kumaliza elimu ya kidato cha sita.

Nadhani serikali na wizara wangezingatia hili wazo, hata mimi sioni sababu ya kupeleka wanafunzi Jkt ambako hakuna chochote wanachoenda kupata zaidi ya wajenda kutafuna mbususu za wadogo zetu kwa kisingizio cha kuwafunza uzalendo, huo muda wangeutungia sera kuwa ni takwa la lazima kwenda veta kupata ujuzi ambao utaweza kumsaidia kijana baada ya kumaliza chuo na hata wale ambao watakosa nafasi za kwenda vyuo basi watakuwa wameshapata skills za kuwawezesha kukabiliana na maisha ya mtaani na hii isiishie kwa wanaomaliza kidato cha sita tu, nadhan ingeongezwa kwa wanaomaliza kidato cha nne pia.
Nitakulipia form ya urais
 
Ifahamike CV ya Elimu ya Kassim Majaliwa ni hovyo na ya kuunga unga tu kwahio sio ajabu kutoa wazo hilo kuhusu wahitimu wa shahada za vyuo vikuu kwenda VETA.

Kujadili ushauri wa kipuuzi na wa kijima, ni upunguani, huyu Waziri Mkuu amefika mwisho uwezo wake wa kufikiria na ni Waziri Mkuu pekee ambaye hajaacha legacy yoyote ile hadi sasa.

Hivi anajua wahitimu wa VETA hadi sasa ni wangapi na wako wapi na VETA ina fani za aina gani ni ziko ngapi.

Pia soma Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

Anajua carrying capacity ya VETA? Anajua Ability ya VETA kwenye mawanda yote?

Tuzikatea dharau kwa nguvu zote, CCM tafadhari inapaswa kujiweka mbali na mawazo ya hovyo kama hayo ya Majaliwa.

Ni aibu kuwa na Taifa lenye kuokota okota watu kwenye nafasi nyeti kama ya Waziri Mkuu.

Hatupo tayari kulea matamko ya kifedhuri na yenye kutweza sifa za wahitimu wa shahada za vyuo vikuu.

Hii ni vita tusikubali dharau
Nadhani the state imeamua kuwatumia vijana wasio na ajira kumsumbua mtia nia wasiemtaka atie nia!!

Naina na wao wamekua pro active coz mmoja juzi kasifia 4Rs za Mama!!

Janga la ajira litaleta jau kwa chama tawala!
 
Waziri alikuwa na maana chanya tu tofauti na ulivomwelewa, VETA itakusaidia kupata kipato angalau cha kuendesha maisha ukiwa unasubiri ajira .
Afu kingine hajakulazimisheni kwenda ila alitoa ushauri na ni ushauri mzuri kwa vijana wote wenye akili timamu.
Huu ni uelewa wakotu
  • Ulishaona wapi graduate wote wanaajiriwa
  • Ni asilimia 5 - 10 waweza kuajiriwa serikalini waliobaki lzm wamezwe na sekta binafsi
  • Kama una mtoto na unamtegemeza kuajiriwa umechelewa - amka
 
Back
Top Bottom