MnUuH... Hapo sasa🙄🤔🙄🤔Kwa hapa namtetea rais.
Hili ni suala ngazi ya wazazi.
Watoto wengi wa hii dini wanaharibiwa na wazazi wao wa kike.Wanawake wa kiislamu=vijora, kucheza chura kwenye shughuli zenye mc mashoga.
Sio wote lakini maana nina ndugu vipenzi ambao ni waislamu na hawana huu ushenzi ila asilimia kubwa ya wanawake wa kiislamu wana tabia chafu na kwao kuiba bwana wa mwenzio ni ushujaa anaoweza kuuchukulia mkopo kausha damu akagawa sare za vijora na kuufanyia shughuli yenye taarabu zenye maneno kama za hawa mabinti ziimlenga aloibiwa bwana ake.
Hayo ni ya mwaka janamwaka please
Ndio basi tena.Too late...
Tusha download video for future reference
Nimesema tu mkuu.Sasa mkuu unadhania bila wao kuwa exposed madudu yao unafikiri nani atawasuta.
Comment yako haina faida kwakweli
Naunga MKONO hoja 😁Hakika wengi wa role models wa hawa mabinti ni wakina gigi manee huko mitandaonu, kwahio lazima tutegemee vituko kama hivi
Ukitaka umlee mwanao vizuri na unaishi daslamu basi msomeshe shule za mikoani ambazo zipo instutulionalized.naongea ukweli.
dsm kuna Upumbavu na hiii ni kutokana na kukosekana UONGOZI narudia tena.
rafiki yangu alisimamia field siku wana maliza wanafunzi walimwambia tukikupa utaweza???????????
maongezi yanayoongoza shuleni ni KUFIRANA na KUFIRWA
sio wakike au wakiume maongezi hayo yamejaaaa utasikia
mimi boyfriend wangu nampa ****** na hio ndio sifa.
SEKTA ya elimu hasa shule za serikali Dar ni aibu.
ukiangalia matokeo yao Aibu
Watoto wakike toka primary wanatoka na madereva baada ya kula nauli kwa VISHETI na PWEZA
sekondari wanatoka na Vile visanii na wahuni WENYE VINYWELE KAMA RASTA
migogoro ni kugombania wanaume.
tabia hizi zipo hadi kwa watu wazima ambao Walisoma VISHULE HIVYO ..ukikaa mitaa ya DAR kume jaa upumbavu mwingi kazi kuu ni kukesha kukopa kila kona
TAIFA LINATAKIWA LIKOMBOLEWE HILI AISEEUkitaka umlee mwanao vizuri na unaishi daslamu basi msomeshe shule za mikoani ambazo zipo instutulionalized.
Ila kama upo apechi alolooo tegemea ugeni wa Mad Max kwa wanao wa kike😁
Shida kipato. Unakuta wazazi wanapambana Dogo apate Elimu, asa uwezo wa kumpeleka shule za mbali hawana, Dogo badala ya kujitambua ndio ivo, peer pressure.Ukitaka umlee mwanao vizuri na unaishi daslamu basi msomeshe shule za mikoani ambazo zipo instutulionalized.
Ila kama upo apechi alolooo tegemea ugeni wa Mad Max kwa wanao wa kike😁
Ukija gundua kuna wazazi wana UZA watoto wao na kuwalazimisha WAJIUZE ili familia ipate hela utashangaaaShida kipato. Unakuta wazazi wanapambana Dogo apate Elimu, asa uwezo wa kumpeleka shule za mbali hawana, Dogo badala ya kujitambua ndio ivo, peer pressure.
Wanakujaga shtuka too late.
Hamna shule hapo.Hayo ni ya mwaka jana
Hakuna Uhusiano wa Dini na huo ujinga wanaofanya hao watoto.Hamna shule hapo.
Upumbavu tu.
Wapumbavu wengine ni wale wanaohusisha hao watoto waliokosa malezi bora na uislamu.
Nao pia ni wapumbavu.
Tangia vimejua vidonge vinameza sanaa ila havijuo madhara yake baaadaeShida moya ya hivyo vitoto ni gusa unate, vinadaka mimba chap na vingi havijui kujikinga.
Kama na mwanaume ni zumbukuku utavutundika mimba vingi sana, hasa hizi wiki za mwanzo vikiwa fresh from school.