IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,737
- 3,301
Na peer pressure ya mji wa daslamu ni kali sanaa aiseee,Shida kipato. Unakuta wazazi wanapambana Dogo apate Elimu, asa uwezo wa kumpeleka shule za mbali hawana, Dogo badala ya kujitambua ndio ivo, peer pressure.
Wanakujaga shtuka too late.
mkuu kuna ka uhusiano ila wewe wangalie wenye mtandio na wasio nao . KUna wanaoongea ila wanaona aibu na wengine wana SONI.Hakuna Uhusiano wa Dini na huo ujinga wanaofanya hao watoto.
Kuna msemo kuwa "kobazi ni kama pembe la ng'ombe, halijifichi"Nyie makafiri kutwa mnamtukana Samia sababu ya Dini yake,mara kateua waislam tupu,sasa kama hawana elimu kwann wanapata teuzi? Samia kashawagundua makafiri mnaongozwa na chuki, sasa anadili na nyinyi kisawasawa bila huruma kama msivyo nyie na huruma! Kitiima and others lazima wakanyee ndoo segerea sababu ya ghasia za October 29 na mauaji!
Mtapelekewa moto vizuri TU nyie jamii yenye chuki!
Nacheka kama mazuri ilhali nina mabinti na mkubwa yuko university.
sio utani mzeee wewe angalia hata ufaulu na shule 10 za mwisho kila mara utaona nyingi zipo maeneo yaliyojaa hiyo diniSasa nenda kasome comment namba 35 ya prida uone upumbavu wa watanzania walio wengi.
Uislamu ushafungamanishwa na hao watoto.
Kwani hakuna wakristo wenye tabia za hao madogo?mkuu kuna ka uhusiano ila wewe wangalie wenye mtandio na wasio nao . KUna wanaoongea ila wanaona aibu na wengine wana SONI.
tanzania huu ni ukweli kuna dini au Dhehebu lina chochea Ukilaza sana
wapo mkuuu ila angalia Twakwimu na idadi leta uzi hizoKwani hakuna wakristo wenye tabia za hao madogo?
Nakuletea uzi wa mikoa mitatu tofauti watoto wapo kidato cha 3 wamekimbia shule na nyumbani wameenda kwa boda boda.
Hao watoto ni wakristo.
Sasa hapo utasema ukristo ndio unafundisha huo ujinga?
Mda mwingine chuki zikijaa zinapunguza hata uwezo wa kufikiri.
Pia Mikoa ya pwani ya afrika mashariki kuanzia lamu, mombasa, tanga, etc ndio inaongoza kwa vijana wengi mashogakuna DINI huwezi itengenisha na matatizo mengi ya MMOMONYOKO WA MAADILI TZ.
ukitaka afanya research yako tanga na zenji.
maemeo mengi tuuu ukisikia wana sema huyo MPEMBA huyo kuna kuwa na uelewa juu ya tabia zao
Bado unafanya kosa lile lile tu.sio utani mzeee wewe angalia hata ufaulu na shule 10 za mwisho kila mara utaona nyingi zipo maeneo yaliyojaa hiyo dini
CASE CLOSEDPia Mikoa ya pwani ya afrika mashariki kuanzia lamu, mombasa, tanga, etc ndio inaongoza kwa vijana wengi mashoga
Bado unafanya kosa lile lile tu.Bado unafanya kosa lile lile tu.
Kwahiyo uislamu ndio unafundisha watu kufeli?
Kwamba ukiwa muislamu wewe ni kufeli moja kwa moja?
Vipi waislamu wanaofaulu na kumaliza mpaka vyuo na wamesoma dini?
Profesa lipumba ni muislamu.
Profesa Assad ni muislamu.
Kilichowapeleka chuo mpka kuwa maprofesa sio uislamu ni juhudi bidii zao na kujitambua kwao na familia zao.
Hakuna mchango wa uislamu kwenye kufeli kwa waislamu.
Mengine ni porojo tu ambazo hata kuzitetea huwezi.
Sasa ukristo ndio unawafundisha wawe hivyo?wapo mkuuu ila angalia Twakwimu na idadi leta uzi hizo
Kama ilivyo kwa makafiri,kumjua ni very simple,wanaongozwa kwa chuki na roho mbaya. ....Vipi Nchimbi mbona yupo kimiya,hamkiwashi wafuasi wake?Kuna msemo kuwa "kobazi ni kama pembe la ng'ombe, halijifichi"
Issue na Hoja hapa ni kuwa kuna DINI flani imechangia pakubwa mmomonyoko wa maadili tanzania hata vitendo vya ukatili vinavyorepotiwa tuuuuuu vimejaa kwaoSasa ukristo ndio unawafundisha wawe hivyo?
Kwenye hiyo video kuna sehemu hao watoto waliokosa malezi bora ya wazazi wanasema
"******** vicheni mabwana zenu"
Unataka kusema kwenye uislamu kuna mafundisho yanafundisha waumini wake kutukana?