Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Hii ishu haina dini mkuu anavyoharibika mtoto wa Kiislam ndivyo anavyoharibika mtoto wa Kikristo kumbuka hawa wanatengana kwenye kuabudu tu wakimaliza huko mtaani ni chanda na pete.

naelewa na ndiyo maana mimi ni advocate wa separation ingawaje labda wazo litaonekana ni outlandish lkn ndiyo suluhisho pekee na la kudumu, watu aina hii hauwezi kujenga micro electronic industries, hauwezi kuunda satellites na kuzituma space, watu na utamaduni aina hii hauwezi kujenga jamii yenye heshima, utu na usawa kwa kila mtu na demokrasia.

angalia india vs pakistan kama kusingekuwa na partition i.e muslims pakistan vs the rest india unafikiri leo hii hali ingekuwaje kama wapakistani wote wangebakia india? angalia pakistani 99% muslims na ni chaos tupu vs india ni ni global power leo lkn bado wana (india) >200 million muslims kila siku ni shida, india kuna Christians kwa mfano jimbo la goa (wagoa ni Christians) lkn hausikii shida na wahindu, wahindu na Christians wana-coexist bila ya shida ila na muslims ni shida, kwa nini?

hivyo i am for separation, culture kama hizi tunajifunga mawe kwenye miguu hatuwezi kwenda mbele ni kama tuko kwenye maji na mawe miguuni matokeo yake tutazama wote, muslims wako tofauti man, and the sooner mtu analitambua hilo the better.

usisahahu pia kwamba muslims elite wanataka stupid uneducated masses ili waweze kuwatumia kwenye jihad, na ndiyo hao watoto unaona tayari wanatengezwa kwa ajili hiyo angalia kinachoendelea nigeria na boko haram wanazuia watoto wa masikini wasipate elimu, wanawateka wakiwa shuleni, wanachoma moto shule lkn cha ajabu watoto wa muslim elite wao wanasoma hata wanapelekwa nje ya nchi, na hiyo siyo conspiracy theory bali its happening fungua tu macho utaona hata wana shule kama feza kwa ajili ya watoto wao (muslim elite) lkn hawa wa "uswahilini" wanawavalisha hijab na hawataki wasome ili waje wawatumie "kukata watu vichwa" , kila kitu kimapangwa, its by design ...
 
bora kuokoa watoto toka primary ila kwa hawa WAKUBWA ni jambo zito sana
Mad Max Eli Cohen IIT MWASISI OS
Nafikiri na baadhi ya wazazi pia wa hao mabinti wana support mabinti wao kuwa na wanaume, ila wanaangalia na aina ya mwanaume, kama mwanaume ana mueleko wa maisha/ana maisha mazuri, si rahisi wazazi wa binti wamshtaki akafungwe miaka 30..

Mfano we kijana wa miaka 35 ni meneja benki ya NBC, au una miradi yako kitaa inayokuingizia vilaki mbili tatu, upo chuo unasoma degree, au una urafiki nao mwema huna skendo za hovyo mtaani etc wazazi wakiona unatoka na binti Yao watakuacha, au watakukaripia usoni..huku moyoni wakicheka na kuwasihi muwe makini..

Ila hivi ivi ni mgonga ulimbo, hujulikani umetokea mtaa gani..alafu unakuta mzazi ni kaksi, akiangalia na aina ya mwanaume aliechaguliwa na binti yake 🤣brother miaka 30 utaenda
 
huenda
 
Ni kweli. Umasikini m'baya sana aisee. Unaambiwa Cheka sana, simulia sana, ila asiwe Binti Yako uyo.
 
Una matatizo ya akili.

Tena matatizo yako makubwa kuliko nilivyodhani.
 
simulia sana, ila asiwe Binti Yako uyo.
Wazazi wenyewe wanaelewa maana na wao walipitia huko wanajua kuzuia watoto wao wa kike wasifanye hayo mambo ni ngumu ni sawa na kuzuia mafuriko na mkono..

Ndo hapo ishu inakuja sawa hawawezi zuia, ila binti yao anatoka na nani, kama mwanaume anaeleweka, ishu inaisha kifamilia

Mad Max
 
Upuuzi tu.

Hakuna cha maana ulichoandika.

Sipotezi tena muda kujadiliana na mtu aliyejazwa chuki kuliko facts.
 
Upuuzi tu.

Hakuna cha maana ulichoandika.

Sipotezi tena muda kujadiliana na mtu aliyejazwa chuki kuliko facts.
Mkuu sisi wengine huwa tunaamua kupita juu kwa juu kwasababu huyo ambaye unataka kujadiliana nae ni mweupe na mjinga kiwango cha lami

Hivi mtu akituhumu kuwa dini inawafundisha watu kuwa Malaya au wahuni unamwelewa kweli?

Ukimwambia ebu leta fundisho au andiko la kitabu linalo fundisha hivyo hana,,,mtu kama huyu utajadiliana nae nini?

Wakati uislamu unafundisha sio usifanye zinaa bali usiikaribie zinaa,kwa maana hata kukaa karibu tu na mwanamke ambaye sio mkeo haitakiwi, au ile kuwa na mazoea tu ya mwanamke ambaye sio mkeo haifai,au kuchat chat na mwanamke ambaye sio mkeo haifai kwasababu huko ndio kunako pelekea kufanyika kwa zinaa, ndio sembuse kuzini nae?

Wengine siku hizi tunaona ni ujinga tu kubishana na hawa wapuuzi,,,tunawaacha wajifurahishe tu kwa kashfa zao lakini hakika ukweli tunaujua sisi wenye dini yetu

Asante
 
Ni wapumbavu waliojaa chuki na hisia hasi kuliko facts.

Kuwapuuza ndio dawa yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…