Ukitolewa CAF Champions league hakuna kuingia shirikisho, Dezo yafutwa

Ukitolewa CAF Champions league hakuna kuingia shirikisho, Dezo yafutwa

Halafu wakirudi kwenye Ligi ya ndani wanakutana tena na wababe wao Mashujaa!!
Yanga Ina miaka 25 bila kucheza makundi Cafcl. Wakati huo Mayele alikuwa na miaka 2

Unajitia dole Halafu unanusa, unazani Ni pafyumu

Mm uto hamna akili
 
Nakwambia Yanga akivuka makundi, ujue nusu au fainali. Nyie endeleni kuganda hapo hapo na robo yenu. Supercup tutafika tu ninswala mda kama tulifika Fainal ya CAF confederation na ndio timu ya kwanza kufika level hii kutoka Tz.

Wewe shirikisho unaishia robo, champions robo.
Mvuke makundi umesikia hii shirikisho? Hivi katika umri ulionao ni lini uliiona Yanga ikicheza mechi ya Makundi ya klabu bingwa barani Afrika?
 
Mvuke makundi umesikia hii shirikisho? Hivi katika umri ulionao ni lini uliiona Yanga ikicheza mechi ya Makundi ya klabu bingwa barani Afrika?
Ndio tutavuka hata huko champions kama ilivyo kuwa kwa Yanga kuwa club ya kwanza Tanzania kucheza fainali za michuao ya CAF Confederation,basi huko tukivuka makundi ujue mpaka nusu au fainali.

Nyie endeleni kushiriki na kuishia kwenye robo,kwenu ni mafanikio tosha.
 
Ndio ututavuka hata huko champions kama ilivyo kuwa kwa Yanga kuwa club ya kwanza Tanzania kucheza fainali za michuao ya CAF Confederation,basi huko tukivuka makundi ujue mpaka nusu au fainali.

Nyie endeleni kushiriki na kuishia kwenye robo,kwenu ni mafanikio tosha.
Nyie mnaoshiriki klabu bingwa na kuishia Preliminary stage hayo kwenu ndio mafanikio??
 
Nyie mnaoshiriki klabu bingwa na kuishia Preliminary stage hayo kwenu ndio mafanikio??
Mimi sio wa kwanza hata ww ulishia stage hiyo kama aliyo ishia Yanga baada ya kupigwa tatu moja na Makirikiri, ukapata chance nyingine shirikisho baada ya kukaza ukaishia robo huku ukifanya vitendo vya kulitia aibu taifa kwa kuota moto katikati ya uwanja na kuharibu pitch ya watu,mpaka CAF wakakupiga faini ya dola 10K.

Narudia tena tukivuka stage ya makundi mtatukuta kama sio fainali basi nusu,wewe endelea kushiriki na kuishia robo.
 
Back
Top Bottom