Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili?

Rwanda wanayo hiyo pegasus,...
 
Mbona halotel inaenda
Sijajua ila jaribu mitandao mengine utagundua hayo maneno sio kwamba hayaendi hayamfikii mlengwa. Yaani simu inaweza ikaonesha text imetoka lakini inakoenda haifiki.
 
Pegasus sio billion moja mkuu. Ni billion 150.
 
Kwa hiyo Rwanda ina ujasusi wa maana?
 
Na majirani zake ..
Aah mkuu sasa wewe unaweza list accomplishments za majirani zake kwenye medani miaka ya hivi karibuni?
Rwanda mwaka huu wamefukuza wanajeshi 200 na maafisa, mwaka juzi walifukuza majenerali, wakabadili Waziri wa Ulinzi na changes nyingine kwenye state apparati na taarifa haikuvuja hata moja.
Jirani yeye akiwa kwenye mchakato wa kubadili Katibu Mkuu Usalama au Waziri, tiyari muuza gongo mfuatiliaji anajua. Sasa hao ndio wauziwe Pegasus, unadhani kwanini ilidumu miaka bila kujulikana, sababu hawakuuziwa waropokaji.
 
We jamaaa muongo😂isingekubwa ban ningekutukana😂😂
 
Hao wanajeshi kawafukuza au kawapeleka M23 kuongezea nguvu.

Pegasus imekuja kujulikana kwa public baada ya mauaji ya Kashoggi. Ndio tukaisikia kwa mara ya kwanza.
 

 
Hao wanajeshi kawafukuza au kawapeleka M23 kuongezea nguvu.

Pegasus imekuja kujulikana kwa public baada ya mauaji ya Kashoggi. Ndio tukaisikia kwa mara ya kwanza.
Nani alijua kabla ya wao kuondolewa jeshini? Na si mara ya kwanza na sidhani kama itakuwa ya mwisho akiendelea kuwepo. Kagame kabadili tena kwa kufukuza kazi wakuu wa jeshi, usalama na mawaziri wa ulinzi tena wengine wamekimbia uhamishoni ila kote uko husikii tetesi kiholela. Unasikia taarifa rasmi ya serikali.

Pegasus ilijulikana kabla hata ya Kashoggi sema sio large scale. Kuna mwandishi wa habari UAE aliishaitumia Lab moja ya Canada link waichunguze, olitumiwa kwa iOS 6 ilikuwa kama 2012 au 2013. Ndio ileile Pegasus. So ina maana muda wote huo walikuwa wanatoa versions kwa siri na kwa watu wachache sana. Sasa ndio uwape hawa ambao mkuu wa taasisi tu kubadilishwa kila mtu anajua kabla na lini itatokea si mwaka uleule imeanza kutumika ingejulikana siri zote.
 
Huu ushuhuda sisi tusiokuwa na umalaya ndo tunajua Leo... Mbona hamkusema mapema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…