Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

issac77

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,128
Reaction score
7,899
NI NMB bonus account, mil 15 kama akiba ukatupia huko unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi 3?
Screenshot_20241227-133119.jpg
 
NI NMB bonus account, mil 15 kama akiba ukatupia huko unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi 3?
View attachment 3187234
Hyo tshs 487,500/-

Kam nimeelew vzr
Na je kiasi kama hicho hicho (15M TSH) nikaweka UTT?
Kwa mfuko wa BOND FUND, utapata kama 370000 kama jumla ya miezi 3, yaan robo mwaka.

So, kwa taswira hiyo, NMB Bonus Account ni more profitable kuliko UTT Bond Fund?
 
Mil 15 fixed deposit ni kupoteza muda

Siyo fixed deposit. Lengo ni kukuza mtaji wakati unatafuta bizna idea ya kufanya.

Mfano mtu amepata TSH 20M (Kwa kuokota, kurithi, zawadi, au through hard saving) na kusudio ni kuitunza kwanza na kuendelea kuingozea ifike walau TSH 100M ndipo atekeleze lengo kuu lake alilopanga kufanya.

Katika situation hiyo and the like, ndipo mtu anafikiria aitunze wapi hiyo pesa? Je aweke kwenye normal personal savings account ya bank? au aweke UTT? au aweke kwenye treasury bills? etc etc.

Sie vijana wengi wa Tz tulio wengi hatuna financial literacy. That's why unaona threads kama hizi ili mtu apate walau ABC.

Kupata pesa ni jambo moja. Kuimaintain na kuizalisha ni jambo lingine!

Kuna mtu (let say kijana mdogo in late 20s) hana experience yoyote ya biashara. Ghafula anapata urithi TSH 50M. Mtu huyu bila kutuliza akili na kupata miongozo sahihi, ni suala la mwezi mmoja tu ataitwa a 'zero from hero'.
 
Haitokuja hiyo faida hebu tuelewe hyo statement wamesema offers interest up to 13% na sio offers interest of 13% so vle utakavyowekeza kikubwa zaid ndivyo utapata zaid ni kama vile Vodacom kwa sasa na wao hawako mbali
Niliambiwa na teller wanatoa 4% Kila baada ya miezi mitatu, shariti tu usitoe pesa kabla ya miezi mitatu haijafika ukifanya hivyo unakuwa umekosea sifa ya kupewa bonus yako
 
Siyo fixed deposit. Lengo ni kukuza mtaji wakati unatafuta bizna idea ya kufanya.

Mfano mtu amepata TSH 20M (Kwa kuokota, kurithi, zawadi, au through hard saving) na kusudio ni kuitunza kwanza na kuendelea kuingozea ifike walau TSH 100M ndipo atekeleze lengo kuu lake alilopanga kufanya.

Katika situation hiyo and the like, ndipo mtu anafikiria aitunze wapi hiyo pesa? Je aweke kwenye normal personal savings account ya bank? au aweke UTT? au aweke kwenye treasury bills? etc etc.

Sie vijana wengi wa Tz tulio wengi hatuna financial literacy. That's why unaona threads kama hizi ili mtu apate walau ABC.

Kupata pesa ni jambo moja. Kuimaintain na kuizalisha ni jambo lingine!

Kuna mtu (let say kijana mdogo in late 20s) hana experience yoyote ya biashara. Ghafula anapata urithi TSH 50M. Mtu huyu bila kutuliza akili na kupata miongozo sahihi, ni suala la mwezi mmoja tu ataitwa a 'zero from hero'.
Sahihi kbs mkuu.
 
Back
Top Bottom