Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

Mmeelewa Interest up to 13% sio sawa na interest is 13%.

Kwa sentensi ya kwanza u aweza weka mpunga na ukalipwa interest ya 2.2% maana ikonkwenye clause ya Up to 13%
Mkuu Mimi nishatupia, harakati nazo zifanya mtaji wake haufiki hata mil 10 kwahiyo kuongeza kiasi hicho Cha pesa kwamba nakuza mtaji kwenye biashara isiyo rasimi kwangu nimeona Kuna ugum flani japo faida napata...
 
Vitu kama hivi huwa mtandaoni wanaweka rate of 9% or 13% ila ukienda benki wanakupa 3% .Ni vizuri ukafika benki.
Anyway kwa kuwa ushaweka pesa tayari ebu tushirikishe ulipewa interest rate kiasi kipi.
Nimeweka trh 28 mwezi huu, nadhani jibu sahihi mpaka miezi mitatu ifike, bank waminiambia Kila baada ya miezi mitatu wanatoa 4%, ngoja tuone...
 
Mmeelewa Interest up to 13% sio sawa na interest is 13%.

Kwa sentensi ya kwanza u aweza weka mpunga na ukalipwa interest ya 2.2% maana ikonkwenye clause ya Up to 13%
Mimi niliingia mkenge nikaweka Fixed kwenye maelezo yao waliweka 9% … nikawapa M-6 kwa mwaka wakanipa 5 percent na bado wakakata kodi nikapata 270,000 kwa mwaka
N.B FIXED IKO VIZURI ZAIDI YA BONUS ACCOUNT
 
Nimeweka trh 28 mwezi huu, nadhani jibu sahihi mpaka miezi mitatu ifike, bank waminiambia Kila baada ya miezi mitatu wanatoa 4%, ngoja tuone...
Huu mzigo ungeweka UTT liquid fund Kila siku ungekuwa unapata Average ya shs Tshs 5,000-6,000 Kwa siku za kazi. Kama una App Yao Kila siku unaona mzigo unavyo ongezeka. Ukiitaka kuchukua ni ndani ya siku 3 za kazi.
 
Back
Top Bottom