Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

KAMA walisema 4% HALAFU likafuata NENO p.a.; YAANI per annum, MAANA YAKE ni kwamba BAADA YA MIEZI MITATU utalipwa 1% YA million 28 AMBAYO NI laki 2 na themanini, LESS GOV TAX AMBAYO NI asilimia KUMI YA KIASI utakacholipwa. Kama HILO neno p.a. halipo, basi utapata hiyo 4% kwa MIEZI MITATU.

Nakushauri uwe mwangalifu sana unapodili na WATU wanaotumia sheria, Bankers PAMOJA NA Police!
Dah hii ajabu sana,
 
Hapana, Bonus NI NZURI ZAIDI KWA SABABU Unaweza kuongeza FEDHA MUDA wowote WAKATI wowote, na pia unaruhusiwa KUTOA MARA MOJA KILA bAADA ya MIEZI MITATU. Kwenye Fixed deposit huwezi kutoa wala kuongeza FEDHA HADI SIKU YA maturity YA ACCOUNT YAKO
MBALI NA HILO, Bonus INA rate KUBWA ZAIDI KULIKO FDR
Uzuri wa Bonas ni kwenye access na sio interest.
 
Unapata million 26 KWA MWAKA LESS 10% GOVERNMENT TAX
KWA HIYO KILA BAADA YA MIEZI MITATU UTAPATA (26,000,000-2,600,000)× (1/4) SAWA NA TZS 5,850,000/= KILA BAADA YA MIEZI mitatu
Kwani kwenye Liquid fund kuna tax?
 
Sema ukiamua kujifunga bom vizur ikopeshe iyo pesa ndan ya miez iyo mitatu unakua na faida sio chin ya ml 7.
Mm nlpa mtu 10M mwez wa tisa kila mwez ananiwekea ml 2 kama faida yangu na bado ile 10 iko palepale mpka sasa ashanipa ya miez 3 n 6 M ila inahtaj ue na roho ngum kama ya chui mana unaweza kupoteza vyote pesa na rafik
 
Sasa hiyo kukopesha si inatakiwa uwe na vibali utambulike kisheria? Tofauti na hapo lazima kikulambe
 
Hapa wafanya biashara ndio wanapotucheka... definitely wewe ni mwajiriwa yani unawapa watu mtaji wa 15M wao wanakupa laki kwa mwezi...si ukanunue hata viwanja miji mipya kama unaogopa risk kiasi hiki ?
 
Back
Top Bottom