Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

Huu mzigo ungeweka UTT liquid fund Kila siku ungekuwa unapata Average ya shs Tshs 5,000-6,000 Kwa siku za kazi. Kama una App Yao Kila siku unaona mzigo unavyo ongezeka. Ukiitaka kuchukua ni ndani ya siku 3 za kazi.
Kwanini siku za kazi tu..?
Kwa Hali hiyo unaweza kupata hiyo 5000 kwa siku 20 ndani ya mwezi.. Kwa maana mwezi una weekend na holidays kwa baadhi ya miezi
 
Kwanini siku za kazi tu..?
Kwa Hali hiyo unaweza kupata hiyo 5000 kwa siku 20 ndani ya mwezi.. Kwa maana mwezi una weekend na holidays kwa baadhi ya miezi
Wkend na holiday Huwa hakuna updates, ila ikifika J3 au J4 inaweza ongezeka 13,000, nafikiri hizi zinategemeana na bei la soko.
 
Haitokuja hiyo faida hebu tuelewe hyo statement wamesema offers interest up to 13% na sio offers interest of 13% so vle utakavyowekeza kikubwa zaid ndivyo utapata zaid ni kama vile Vodacom kwa sasa na wao hawako mbali
Vodacom wapoje
 
I

Inatosha, hapo ukiongeza nyingine 15 unakula laki 9+ sawa na laki 2+ kwa mwezi
Ndio maana uislamu umekataza riba. Hii ni biashara ya kipuuzi sana. Unawekeza 30m ili upate laki 2 kwa mwezi hiyo ni akili kweli. Pesa haitakiwi kukaa bank inatakiwa iende kwenye uzalishaji au biashara.

Mimi nimefungua biashara mtaji ulinicost kama 8m hivi, hiyo biashara kwa siku inaniingizia faida ya 30k mpaka 50k kulingana na mauzo ya siku hiyo.
Kwa wiki nina average profit ya 200k hadi 250k na kwa mwezi ni average ya 800k au 1m profit.
Hiyo ni profit yani hapo nimeshalipa mfanyakazi, plus makorokoro mengine.
 
Mkuu bandiko halizungumzii kuwekeza, linazungumzia kuweka
 
Minimum investment time NI MIAKA mingapi? Maana inaweza ikawa KUWA ukiiweka leo NI LAZIMA uiache ikae humo KWA MUDA WA MISKA 7 BILA kuichukua
 
Hiyo loquid fund naijungaje?
Nataka niweke mil 200 nitapata kiasi gani kwa mwezi?
Unapata million 26 KWA MWAKA LESS 10% GOVERNMENT TAX
KWA HIYO KILA BAADA YA MIEZI MITATU UTAPATA (26,000,000-2,600,000)× (1/4) SAWA NA TZS 5,850,000/= KILA BAADA YA MIEZI mitatu
 
Unapata million 26 KWA MWAKA LESS 10% GOVERNMENT TAX
KWA HIYO KILA BAADA YA MIEZI MITATU UTAPATA (26,000,000-2,600,000)× (1/4) SAWA NA TZS 5,850,000/= KILA BAADA YA MIEZI mitatu
Sasa ndio nawao aje hawa jamaa wa utt nitie mzigo
 
Nimeweka trh 28 mwezi huu, nadhani jibu sahihi mpaka miezi mitatu ifike, bank waminiambia Kila baada ya miezi mitatu wanatoa 4%, ngoja tuone...
KAMA walisema 4% HALAFU likafuata NENO p.a.; YAANI per annum, MAANA YAKE ni kwamba BAADA YA MIEZI MITATU utalipwa 1% YA million 28 AMBAYO NI laki 2 na themanini, LESS GOV TAX AMBAYO NI asilimia KUMI YA KIASI utakacholipwa. Kama HILO neno p.a. halipo, basi utapata hiyo 4% kwa MIEZI MITATU.

Nakushauri uwe mwangalifu sana unapodili na WATU wanaotumia sheria, Bankers PAMOJA NA Police!
 
Mimi niliingia mkenge nikaweka Fixed kwenye maelezo yao waliweka 9% … nikawapa M-6 kwa mwaka wakanipa 5 percent na bado wakakata kodi nikapata 270,000 kwa mwaka
N.B FIXED IKO VIZURI ZAIDI YA BONUS ACCOUNT
Hapana, Bonus NI NZURI ZAIDI KWA SABABU Unaweza kuongeza FEDHA MUDA wowote WAKATI wowote, na pia unaruhusiwa KUTOA MARA MOJA KILA bAADA ya MIEZI MITATU. Kwenye Fixed deposit huwezi kutoa wala kuongeza FEDHA HADI SIKU YA maturity YA ACCOUNT YAKO
MBALI NA HILO, Bonus INA rate KUBWA ZAIDI KULIKO FDR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…