Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

Dah hii ajabu sana,
 
Uzuri wa Bonas ni kwenye access na sio interest.
 
Unapata million 26 KWA MWAKA LESS 10% GOVERNMENT TAX
KWA HIYO KILA BAADA YA MIEZI MITATU UTAPATA (26,000,000-2,600,000)× (1/4) SAWA NA TZS 5,850,000/= KILA BAADA YA MIEZI mitatu
Kwani kwenye Liquid fund kuna tax?
 
Sema ukiamua kujifunga bom vizur ikopeshe iyo pesa ndan ya miez iyo mitatu unakua na faida sio chin ya ml 7.
Mm nlpa mtu 10M mwez wa tisa kila mwez ananiwekea ml 2 kama faida yangu na bado ile 10 iko palepale mpka sasa ashanipa ya miez 3 n 6 M ila inahtaj ue na roho ngum kama ya chui mana unaweza kupoteza vyote pesa na rafik
 
Sasa hiyo kukopesha si inatakiwa uwe na vibali utambulike kisheria? Tofauti na hapo lazima kikulambe
 
Hapa wafanya biashara ndio wanapotucheka... definitely wewe ni mwajiriwa yani unawapa watu mtaji wa 15M wao wanakupa laki kwa mwezi...si ukanunue hata viwanja miji mipya kama unaogopa risk kiasi hiki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…