KERO Ukiukwaji wa Haki za wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Weka namba ya huyo bwana Boaz hapa ili nimwambie aache Mara moja huo utoto .
Note :Serious fanya hivyo sipendi watoto waonewe kabisa na Mimi nipo
 
Wewe ndio umemaliza kila kitu,mhusika aamue sasa kusuka au kunyoa
 
Kijana, haya malalamiko yako ulitakiwa uyatoe kwanza kwa mwakilishi wa hiyo course, baadaye kwenye uongozi wa serikali ya wanafunzi (DARUSO). Na mwisho wa siku kwenye uongozi wa chuo.

Huku jukwaani naona kama umeruka hatua hivi!! Ila huu ni mtazamo wangu.
 
Ningekuwa mzazi wako na ada ningesitisha kukulipia..jiulize kwa nini mzazi wako kakulipia ada? Ni ili ukawe mtetez wa wengine? Acha utoto...hali ngumu huku ww unajifanya mtetez...tokea lini chuo kikaruhusu kusoma bila kulipa ada...ni chuo cha baba yako hicho
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Sasa watanzania mtaogopa hata ''kujikuna'' namna hii mpaka lini? Hivi mnadhani kukaa kimya na kuwa na utii wa ki-uoga ndiyo suluhisha la matatizo? Leo ni yeye lakini nina uhakika kesho litakupata wewe tena kubwa zaidi. Sema kwa ufahamu wako ulivyo utaona tu ni kazi ya Mungu!
 
Kuna jamaa Moja alisumbuaga sana mambo ya migomo DIT around 2012/2013 alikua anapinga utaratibu wa kumzuia mwanafunzi asifanye mtihani kisa ada alisota sana, alikuja kuhitimu 2020.
Kwani utaratibu unaojulikana na kukubalika kisheria na kisera ni upi? kuna vitu vingine havina hata haja ya kukugombana au kufanya migomo lakini kama policy zipo clear kwa kila mtu, na wanafunzi wajifunze kutumia mahakama badala ya migomo maana imekaa kisiasa zaidi
 
Tanzania maudhui ni mengi sana, chini ya CCM dogo unaenda kuumia japo uko sahihi.
 
Show nyingine ya konde gang lini
Vp amapiano singeli gani mpyq imetoka

Ova
 
Pole sana mdogo wangu. Lkn Kwa comments za humu naona watanzania tulipandikizwa uoga wa kipumbavu sana. Akipatika mtu wa kuwatetea wenzake utaskia ww utaishia pabaya, Sasa ww ambaye hujawahi kujitetea hata ww mwenyew umeishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…