KERO Ukiukwaji wa Haki za wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Chuoni ikileta siasa utaambulia zero na sup za kutosha.
Kwahiyo ushauri wako wanafunzi wawe ndiyo mzee kwa kila jambo?

Sasa chuo ndiyo sehemu ya kukujenga uwe na ujasiri wa kutetea haki zako na za wengine halafu baadae mkopata viongozi machawa mnaanza kuwalaumu kumbe chanzo ni watu kama wewe badala umtie moyo aendelee na harakati asikatishwe tamaa na vitisho vya wapuuzi kama hao.
 
Kwani Mnyika na Huyo Nondo wana hasara gani pamoja na kutomaliza chuo? Waliomaliza chuo hao wana nin ambacho Nondo na Mnyika hawana? Hatima ya maisha ya mtu ipo mikononi mwa Mungu tu.
 
Ungelikua mwanangu ningekuja chuoni na mzigo wa bakora, kisha ningekuchalaza mijeledi kwenye hadhira ya wanaharakati wenzako, kisha ningemalizana na wewe the same day aloooo.....🤥
 
Title ina hasty generalization. Ni tuhuma kubwa kwa chuo kizima kama taasisi. Ulitakiwa
Title yako ina hasty generalization. Ni tuhuma kubwa kwa chuo kizima kama taasisi. Ulitakiwa kusema mtu fulani anakiuka haki za wateja wake chuoni. Na siyo kuhusisha chuo kizima.
 
uamuzi na uchaguzi ni wako.....

kuendelea kua active kwenye harakati za kupigania haki za wanafunzi kama ambavyo unajipambanua, ama kujikita kwenye masomo kwa bidii zaid, jambo ambalo ndilo lilikutoa kijijini kwenu 🐒
 
Umejielezea vzr sana.

Hii ndio maana ya kuwa msomi, sio wasomi hata hawawezi kujielezea kwa facts.

Haki yako utaipata
 
Haya yalianza kipindi cha Mzee magu,anakaribia kufa, wawato wengi Sana wa chuo walifukuzwa chuo, kisa Ada .

Magu Kaleta matatizo Sana kwenye Nchi hii.
 
Endelea kutupa updates baada ya waraka huu kwa watwana wa migomigo
 
Baadhi ya vyuo hizo commitment form bado zipo na zinasaidia mno wale wanaotegemea boom kulipa ada.

Hiyo ya Udsm sijui imekuaje hawana hiyo kitu aisee. Boom kuchelewa ni kawaida, vyuo janja vikajilinda kwa style hiyo.
 
Future yako ushaanza kuiharibu kwakuchagua hayo masomo now baada utetee ugali wako unajichanga nya nasafari yawengine..
Jitafakari..
 
Mwanangu Abdul ninalipa ada ili usome na siyo kufanya siasa chuo.

Soma acha mchezo!
 
Kila jambo lina muda ña njia zake.

Kûtetea wengine ni jambo moja. Muda wa kutetea wengine ni jambo jingine.
Je njia unayotumia kutetea wengine ni sahihi¿

Je unauwezo wa kutetea Watu wengine?
Je upo tayari kuhimili matokeo ya kutetea haki za wengine?

Zingatia, chochote unachokifanya hasa kwa Haki ni kwajili yako mwenyewe kama mpenda haki. Kinawèza kisiwe na uhûsiano na unaowatetea sio ajabu wao wasije kukupa Ahsante wala kujua nafasi yako kwao ilikuwa ni ipi.
 
Pole sana. Hiyo ni intellectual harassment and should be reported immediately. Wasilisha malalamiko rasmi kwa uongozi. Kuna watu nchi hii wamezaliwa kuhujumu maendeleo yake
 
Unaonekana wewe ndo seminar leader mwenyewe
Acha roho mbaya Kama mnyarwanda acha dogo asome
 

Dogo umeona unaelekea kuangukia pua unakuja jihami huku. Nenda kasome dogo. Huu ujanja wako wa kizamani sana. Na hauna maana . Inaonesha huna akili umetafuta pa kujifichia. Siku hzi chuo vilaza mpo wengi sana. Wewe unajifichia huku. Utalambwa makalio shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…