Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

Nana kakuambia ni mkoa bora , bado una kaushamba kwa mbali kutembea na sifa za mikoa , sasa hivi napata kila kitu kutoka Dar tena chimbo halafu sikai huko ...Dar ina watu tuseme maximum milion 10 , halafu mikoani kuna watu zaidi ya mil 50 . Tumia akili hapo kama unazo.
Dar siyo mji wa kuishi watu wajinga kama wewe.

Hapa nachart na mjinga kama wewe nipo home tena sina hata mpango wa kutoka mihamara inadondoka tu kwenye M-pesa.
 
Hadithi zipi ? Uingereza hupajui ? Unaelewa maana UAE ? Nimekuambia wengi hawapendi na sio kila muarabu yuko UAE ..Hizo ni takwimu usiwe mbishi ...Unakuja na hoja za shekhe za nn sasa?

According to recent studies, countries where citizens generally have the least desire to move away include the United Arab Emirates (UAE), Japan, Germany, the United States, and Australia; these places are often cited for their high quality of life, strong cultural ties, and economic opportunities, leading to low emigration rates among their populations.
i have put a list quality of life around the world by country ,i will not embarrass you check by yourself the name of the country check number 4
 
Dar siyo mji wa kuishi watu wajinga kama wewe.

Hapa nachart na mjinga kama wewe nipo home tena sina hata mpango wa kutoka mihamara inadondoka tu kwenye M-pesa.
Mihamara 😱ni miamala 😆. ..Hii ni kwa nn mjinga hajijui 😆naona unalia sasa wakati hata kuandika hujui .

Kwa umri wako ni tatizo maana akili hauna bora hata usingezaa wajinga wenzio ni kuongeza idadi ya wapumbavu na wezi.

Kiufupi haunizidi chochote ,kajifunze kuandika kwanza hanithi mkubwa wewe!
 
i have put a list quality of life around the world by country ,i will not embarrass you check by yourself the name of the country check number 4
Umeambiwa Quality au hujui swali ,nimekuambia watu wanaopenda kwao 😅😅.

Wengine mnafeli kwa vile hamjui swali ,Dar watu wanakula miguu ya kuku na utumbo hiyo ndio quality😰...Basi arabuni kuna maisha mazuri huliko huko unapozania.
 
Sorry i am glad but tell your friends every often they insult us
Matusi yao yamezidi
 
Kijana anakimbia kwao huku eti anakuja Dar anakuwa mbeba viroba vya bidhaa sokoni, mara sijui bodaboda mwengine winga kule kuna muuza kahawa. Halafu kwa ajira hizo uje utoboe? Utazeekea mjini huna hata shimo la choo
Numbers don't lie buddy. Kama mkoani kungekuwa na fursa na maisha hivyo flow ya watu ingekuwa kubwa kutoka Dar kwenda huko mikoani lakini facts ni kinyume chake.
 
Sorry i am glad but tell your friends every often they insult us
Matusi yao yamezidi
Sijawahi kutukana wala kupakataa hapo Dar na sehemu yoyote...Better kuangalia point iko wapi.

Hakuna mmiliki wa Dar wala mkoa wowote ila popote unaweza kukaa ,hizo assumptions zenu za kikimbizi ndio tunawaona kama hamjielewi.

Quality life begins at your home ,siwezi kuacha mambo yangu hapa nikaishi Dar ,I get anything I want from anywhere ...The world has undergone several strides but importantly accessibility imekuwa rahisi sana ..Hapo Dar kama nikitoa chungwa mMuheza nalileta hapo bila ya kash kash nauza then nakuja home ...Nikitaka chochote napata ,hauwezi kuwa bora kuliko mimi kwa vile naona wengi ni wasindizaji kwa maendeleo ni kutafuta sana.​
 
I told you iam sorry
I am not in tanzania ,and i am not tanzanian
 
Numbers don't lie buddy. Kama mkoani kungekuwa na fursa na maisha hivyo flow ya watu ingekuwa kubwa kutoka Dar kwenda huko mikoani lakini facts ni kinyume chake.
Sasa hayo maisha mbona hawayapati..wanaishi kama wanyama. Mtu anakimbizana na magari kwenye jua kali kwenye barabara anauza maji au karanga ni mateso tu.
 
Yaani Haya Maisha Bwna.

Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata.

Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na kuvimba kabisa kwamba wanaoishi Singida au Nzega Tabora ni watu wenye hali duni.

Tena kuna kitu kinakujaa kabisa unaamini watu wa Tanga wanakula bata gani bwana? Kuna nini cha ajabu Tanga? Kwanza kule Rami yenyewe ya magumashi.

Kumbe Hapo Dar ulicho nacho ni Geto la Chumba Master, Sebule na Jiko, TV ya Nchi 50, Saboofa la Aborder na Mademu kama wawili hivi wa kubadilisha badilisha na wanakugombania.

Huku Mkoani Nachingwea, Dumila, Handeni na Rufiji Vijana wana miliki Mamilioni ya Fedha na Miradi kadhaa isiyohamishika yenye thamani mpaka 200M.

We mali zako hazifiki hata 10M na hilo Duka lako la Mpesa, Tigopesa, halopesa etc.

Huku watu wanakula Bata si la Nchi hii. Wana Majumba mazuri, watoto wa kwenda.

Magari ya kufa mtu ya kifahari hata kama hayafiki 50M lakini hizi za 15M, 18M, 20-25M hadi 45M zipo za kumwaga.

Wewe unajidai mademu wawili wamejaa Enjoface na Macream huku watu wanapiga hadi 8 Kuku wa Kienyeji.

Kwenye Biashara ndio usiseme. Mshindo mmoja tu unatoboa maisha.
At first nilikuwa naona unapoint ila kuanzia katikati ya mada yako mpaka mwisho😬😬😬.

Bwanamdogo chuki yako kwa watu wa Daslam ni kubwa sana na sijui kwanini unahangaika na maskini jeuri wa Dar badala ya kutulia huko na matajiri wenzako.
 
Back
Top Bottom