Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

Dar hakuna maisha mazuri kwa watafutaji ila kuna mzunguuko mkubwa wa pesa kwa watafutaji

Nawahakikishia vijana wa dar pesa wanapata tena nyingi tu ila hawafanyi malengo sawa na vijana wa mkoani kwa sababu ya sketi yani pesa zinarudi zilikotoka chap kwa haraka
 
Hongereni kwanza mliochangia huu Uzi maoni yenu nimeyapenda Ila naona hisia zimetawala kuliko akili .

Naomba nidokezee jambo ambalo linaweza kutofautisha maisha ya dar na mikoani .

Mindset - mtazamo wa mtu mmoja mmoja .

Ukija DSM ukata kuishi Kama ukivyokuwa unaishi kijijini haitakuchukua round uta-lost haraka

Mfano zile mentality za kijijini za kuamini kuwa mafanikio ni Nyumba ,Gari na wanawake basi haitakuchukua round utakaa nje ya mchezo.

Miji mikubwa yote duniani inahitaji utumie akili Sana kuliko nguvu na uishi kwa kufatisha mifumo ya watu waliofanikiwa na sio kuiga mediocre life.

Mfano mjini utajiri wa kwanza ni ule wa watu network , mjini ukiwa na network tayari kwako swala linalohusu pesa unakuwa umeshaliweka sawa.

Na Kwa kijijini utajiri mkubw ni hayo mashamba na mifugo.

Sasa kinachotokea kuna ambao wanaishi mjini Ila wana akili Kama za mtu aliyepo kijijini hawa ndo utawakuta wanalalamika kuwa maisha ya dar ni magumu Sana. Kitu ambacho sio kweli .

Na kuna amabao wanaishi kijijini Ila wanaishi kijijini Kwa akili Kama za mtu aliyepo mjini mfano unakuta mtu yupo kijijini Ila hana shamba wala mifugo inayoeleweka zaidi ya kutegemea michongo ya kulimia watu mashamba Kama kibarua na kuwatengezea watu gongo.

So hakuna sehemu ambayo mtu hawezi Ku-beat odds iwe kijijini au mjini

pia katika uchumi inategemea na mtu anachukuliaje mfano wahindi hawana Nyumba Ila wanamiliki cash flow sasa hawa hauwezi kuwafananisha na waswahili ambao wamejenga Ila pesa hawana.

So ikiwa ilishundwa kutoboa sehemu fulani usiseme kuwa hiyo sehemu watu wengine hawawezi Ku-beat the odds.
 
Ukweli mtupu, Dar kama huna konekisheni bora uwe Chilwa kuna maeneo ukipanda mkonge 15ml kwa mwaka unazo
 
Sasa hayo maisha mbona hawayapati..wanaishi kama wanyama. Mtu anakimbizana na magari kwenye jua kali kwenye barabara anauza maji au karanga ni mateso tu.
Huko mikoani kwenu wote mna maisha ya juu? Last time I checked huko ndio kuna umaskini kuliko Dar. Chances za kutoboa Dar ni kubwa kuliko sehemu yoyote hapa Tz.
 
Huko mikoani kwenu wote mna maisha ya juu? Last time I checked huko ndio kuna umaskini kuliko Dar. Chances za kutoboa Dar ni kubwa kuliko sehemu yoyote hapa Tz.
Nilimjibu mwenzako hapo juu mimi mzaliwa wa Dar. Nimejenga Dar na nilirithi nyumba Dar tena prime area. Hivyo Dar ni my domicile yaani nazikwa Kisutu. Hapa tunajadili uchumi na kufanikiwa kimaisha, wengi wa mnaokuja mjini mnaishia umachinga na sasa hivi bodaboda au mnaishia kukata viuno kwenye bar ili kujikimu hayo si maisha.
 
Yaani Haya Maisha Bwna.

Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata.

Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na kuvimba kabisa kwamba wanaoishi Singida au Nzega Tabora ni watu wenye hali duni.

Tena kuna kitu kinakujaa kabisa unaamini watu wa Tanga wanakula bata gani bwana? Kuna nini cha ajabu Tanga? Kwanza kule Rami yenyewe ya magumashi.

Kumbe Hapo Dar ulicho nacho ni Geto la Chumba Master, Sebule na Jiko, TV ya Nchi 50, Saboofa la Aborder na Mademu kama wawili hivi wa kubadilisha badilisha na wanakugombania.

Huku Mkoani Nachingwea, Dumila, Handeni na Rufiji Vijana wana miliki Mamilioni ya Fedha na Miradi kadhaa isiyohamishika yenye thamani mpaka 200M.

We mali zako hazifiki hata 10M na hilo Duka lako la Mpesa, Tigopesa, halopesa etc.

Huku watu wanakula Bata si la Nchi hii. Wana Majumba mazuri, watoto wa kwenda.

Magari ya kufa mtu ya kifahari hata kama hayafiki 50M lakini hizi za 15M, 18M, 20-25M hadi 45M zipo za kumwaga.

Wewe unajidai mademu wawili wamejaa Enjoface na Macream huku watu wanapiga hadi 8 Kuku wa Kienyeji.

Kwenye Biashara ndio usiseme. Mshindo mmoja tu unatoboa maisha.
Umenikumbusha nilikuwa zangu maeneo ya kimara temboni miaka kazaa imepita jamaa zangu nikawaaga kuwa naenda zangu mikoani nikasalimie ndugu nikakuta watu wanaishi DUNIA YAO NYINGINE nafika nikiwa najiona mjanja mjanja kumbe ni mjanja wa maneno na mipango ya badae Mjomba alikuwa mlimaji na kipindi hiko alikuwa anauza miti Eka 5 ilikuwa Ina miaka 7 akapewa M 35, Mwanae Nina umri naye sawa alikuwa ana miti Eka 3 Zina miaka 3 na analima mpunga akatokea jamaa mjini GEITA alikula hasara baada ya kununua marudio ya Dhahabu jamaa alikuwa na gari ndogo TOYOTA IST,,,, akawa anaiuza MILION 7 namba D mtoto wa Mjomba akampa Akamwambia mzee anataka ainunue Mjomba hakuwa na hiana kwa mwanae Akamwambia ww umekuwa miaka 28 Unaweza kununua Mimi Mjomba na binamu tukaenda Mashine wanapokobolea mpunga ndio wanapotunzia nikakuta Binamu anajunia 100 akatoa Junia 70 akakoboa na kuuza papo papo tukaifata chuma ya ujanani.... Da nilishangaa jamaa MILION kazaa anacheza Nazo basi bana ikanivutia na Mimi kuanza kulima mpunga nikajifunza safi safi nikapata kamtaji maisha yanaendelea Leo huku junia 110000 kwenu huko shingapi
 
Nilimjibu mwenzako hapo juu mimi mzaliwa wa Dar. Nimejenga Dar na nilirithi nyumba Dar tena prime area. Hivyo Dar ni my domicile yaani nazikwa Kisutu. Hapa tunajadili uchumi na kufanikiwa kimaisha, wengi wa mnaokuja mjini mnaishia umachinga na sasa hivi bodaboda au mnaishia kukata viuno kwenye bar ili kujikimu hayo si maisha.
Wewe huna hata Banda dar acha uongo humu
 
Umenikumbusha nilikuwa zangu maeneo ya kimara temboni miaka kazaa imepita jamaa zangu nikawaaga kuwa naenda zangu mikoani nikasalimie ndugu nikakuta watu wanaishi DUNIA YAO NYINGINE nafika nikiwa najiona mjanja mjanja kumbe ni mjanja wa maneno na mipango ya badae Mjomba alikuwa mlimaji na kipindi hiko alikuwa anauza miti Eka 5 ilikuwa Ina miaka 7 akapewa M 35, Mwanae Nina umri naye sawa alikuwa ana miti Eka 3 Zina miaka 3 na analima mpunga akatokea jamaa mjini GEITA alikula hasara baada ya kununua marudio ya Dhahabu jamaa alikuwa na gari ndogo TOYOTA IST,,,, akawa anaiuza MILION 7 namba D mtoto wa Mjomba akampa Akamwambia mzee anataka ainunue Mjomba hakuwa na hiana kwa mwanae Akamwambia ww umekuwa miaka 28 Unaweza kununua Mimi Mjomba na binamu tukaenda Mashine wanapokobolea mpunga ndio wanapotunzia nikakuta Binamu anajunia 100 akatoa Junia 70 akakoboa na kuuza papo papo tukaifata chuma ya ujanani.... Da nilishangaa jamaa MILION kazaa anacheza Nazo basi bana ikanivutia na Mimi kuanza kulima mpunga nikajifunza safi safi nikapata kamtaji maisha yanaendelea Leo huku junia 110000 kwenu huko shingapi
At least You Got a lesson. Hukukaza Fuvu
 
At first nilikuwa naona unapoint ila kuanzia katikati ya mada yako mpaka mwisho😬😬😬.

Bwanamdogo chuki yako kwa watu wa Daslam ni kubwa sana na sijui kwanini unahangaika na maskini jeuri wa Dar badala ya kutulia huko na matajiri wenzako.
Ni Ushauri tu we kama unaona ni Chuki kuukubali au kuukataa ni juu yako.
 
Watakaokupinga ni wale wahanga yaani upo sahihi. Dasalam kama hujaajiriwa au una biashara ya mtaji kuanzia 50 milioni ni kujisumbua tu. Kuna wamachinga pale Mwenge wanalala kwenye meza hawana hata uwezo wa kupanga chumba cha elfu 15 kula ya shida ila yupo Dar mwaka wa tano. Itoshe kusema ni uvivu wa kulima na tamaa bila ya mipango.
Dar imejaa Waajiriwa hata wafanya biashara ni wachache.
 
Hao vijana kama wa juzi , ukimkosoa anakuambia ''wewe ni maskini '' yeye kapanga hapo Dar anababishwa na magorofa ya kariakoo .

Mimi niko Tanga , nina nyumba yangu , maisha mazuri , hakuna foleni za kishamba ...Maisha yako chini hata nikitaka nalima ...Nina access ya kufanya biashara ya mtu yeyote , almost kila ninachokitaka hapo Dar nakipata ...Yeye anadanganywa na takwimu uchawara badala ya kuangalia yuko wapi .​
Ni kweli ni muhimu Mtu kujiangalia Yeye kama Yeye, sio kujichanganya na waliofanikiwa na wewe ukajiita umo.
 
Ni Ushauri tu we kama unaona ni Chuki kuukubali au kuukataa ni juu yako.
Ushauri uliojaa manung'uniko😂😂😂 Daslam yenyew haihitaji VISA kwenda na bado mnalalamika.Ingekuwa ukifika Mbezi Luis unaombwa passport mbona mngepasuka sana.

Asiwadanganye mtu hata matajiri wa mikoani huwa hawakauki Daslam.Hizo ngebe za kumiki sijui vitu gani vya huko kolomije haifikii hadhi ya Kiwanja cha 20×20 kwenye jiji la Chalamila.

Daslam ndio mji wenye hadhi Tz yote, huko kwingine kunahesabika kama nchi jirani na Tz( Daslam).
 
Ushauri uliojaa manung'uniko😂😂😂 Daslam yenyew haihitaji VISA kwenda na bado mnalalamika.Ingekuwa ukifika Mbezi Luis unaombwa pasport mbona mngepasuka sana.

Asiwadanganye mtu hata matajiri wa mikoani huwa hawakauki Daslam.Hizo ngebe za kumiki sijui vitu gani vya huko kolomije haifikii hadhi ya Kiwanja cha 20×20 kwenye jiji la Chalamila.

Daslam ndio mji wenye hadhi Tz yote, huko kwingine kunahesabika kama nchi jirani na Tz( Daslam).
😅😅
 
Uza mali zako huko mkoani kwako nenda Magomeni au Kinondoni kuna watu wananyumba za urithi zinauzwa tafuta mwanasheria, nunua vunja shusha kasri lako hapo mjini🤝uishi kifalme kama umezaliwa hapo.

Daslam bado haijapata mpinzani tusijifariji mikoani huku tupo tu kwasababu ya hali za kimaisha ila kila mtu katika nchi hii anapenda akae mjini.
 
Back
Top Bottom