Huko mikoani kwenu wote mna maisha ya juu? Last time I checked huko ndio kuna umaskini kuliko Dar. Chances za kutoboa Dar ni kubwa kuliko sehemu yoyote hapa Tz.Sasa hayo maisha mbona hawayapati..wanaishi kama wanyama. Mtu anakimbizana na magari kwenye jua kali kwenye barabara anauza maji au karanga ni mateso tu.
Hana akili huyo.Kwahyo tuuache huu mji tuende singida?
Nilimjibu mwenzako hapo juu mimi mzaliwa wa Dar. Nimejenga Dar na nilirithi nyumba Dar tena prime area. Hivyo Dar ni my domicile yaani nazikwa Kisutu. Hapa tunajadili uchumi na kufanikiwa kimaisha, wengi wa mnaokuja mjini mnaishia umachinga na sasa hivi bodaboda au mnaishia kukata viuno kwenye bar ili kujikimu hayo si maisha.Huko mikoani kwenu wote mna maisha ya juu? Last time I checked huko ndio kuna umaskini kuliko Dar. Chances za kutoboa Dar ni kubwa kuliko sehemu yoyote hapa Tz.
Umenikumbusha nilikuwa zangu maeneo ya kimara temboni miaka kazaa imepita jamaa zangu nikawaaga kuwa naenda zangu mikoani nikasalimie ndugu nikakuta watu wanaishi DUNIA YAO NYINGINE nafika nikiwa najiona mjanja mjanja kumbe ni mjanja wa maneno na mipango ya badae Mjomba alikuwa mlimaji na kipindi hiko alikuwa anauza miti Eka 5 ilikuwa Ina miaka 7 akapewa M 35, Mwanae Nina umri naye sawa alikuwa ana miti Eka 3 Zina miaka 3 na analima mpunga akatokea jamaa mjini GEITA alikula hasara baada ya kununua marudio ya Dhahabu jamaa alikuwa na gari ndogo TOYOTA IST,,,, akawa anaiuza MILION 7 namba D mtoto wa Mjomba akampa Akamwambia mzee anataka ainunue Mjomba hakuwa na hiana kwa mwanae Akamwambia ww umekuwa miaka 28 Unaweza kununua Mimi Mjomba na binamu tukaenda Mashine wanapokobolea mpunga ndio wanapotunzia nikakuta Binamu anajunia 100 akatoa Junia 70 akakoboa na kuuza papo papo tukaifata chuma ya ujanani.... Da nilishangaa jamaa MILION kazaa anacheza Nazo basi bana ikanivutia na Mimi kuanza kulima mpunga nikajifunza safi safi nikapata kamtaji maisha yanaendelea Leo huku junia 110000 kwenu huko shingapiYaani Haya Maisha Bwna.
Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata.
Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na kuvimba kabisa kwamba wanaoishi Singida au Nzega Tabora ni watu wenye hali duni.
Tena kuna kitu kinakujaa kabisa unaamini watu wa Tanga wanakula bata gani bwana? Kuna nini cha ajabu Tanga? Kwanza kule Rami yenyewe ya magumashi.
Kumbe Hapo Dar ulicho nacho ni Geto la Chumba Master, Sebule na Jiko, TV ya Nchi 50, Saboofa la Aborder na Mademu kama wawili hivi wa kubadilisha badilisha na wanakugombania.
Huku Mkoani Nachingwea, Dumila, Handeni na Rufiji Vijana wana miliki Mamilioni ya Fedha na Miradi kadhaa isiyohamishika yenye thamani mpaka 200M.
We mali zako hazifiki hata 10M na hilo Duka lako la Mpesa, Tigopesa, halopesa etc.
Huku watu wanakula Bata si la Nchi hii. Wana Majumba mazuri, watoto wa kwenda.
Magari ya kufa mtu ya kifahari hata kama hayafiki 50M lakini hizi za 15M, 18M, 20-25M hadi 45M zipo za kumwaga.
Wewe unajidai mademu wawili wamejaa Enjoface na Macream huku watu wanapiga hadi 8 Kuku wa Kienyeji.
Kwenye Biashara ndio usiseme. Mshindo mmoja tu unatoboa maisha.
Wewe huna hata Banda dar acha uongo humuNilimjibu mwenzako hapo juu mimi mzaliwa wa Dar. Nimejenga Dar na nilirithi nyumba Dar tena prime area. Hivyo Dar ni my domicile yaani nazikwa Kisutu. Hapa tunajadili uchumi na kufanikiwa kimaisha, wengi wa mnaokuja mjini mnaishia umachinga na sasa hivi bodaboda au mnaishia kukata viuno kwenye bar ili kujikimu hayo si maisha.
At least You Got a lesson. Hukukaza FuvuUmenikumbusha nilikuwa zangu maeneo ya kimara temboni miaka kazaa imepita jamaa zangu nikawaaga kuwa naenda zangu mikoani nikasalimie ndugu nikakuta watu wanaishi DUNIA YAO NYINGINE nafika nikiwa najiona mjanja mjanja kumbe ni mjanja wa maneno na mipango ya badae Mjomba alikuwa mlimaji na kipindi hiko alikuwa anauza miti Eka 5 ilikuwa Ina miaka 7 akapewa M 35, Mwanae Nina umri naye sawa alikuwa ana miti Eka 3 Zina miaka 3 na analima mpunga akatokea jamaa mjini GEITA alikula hasara baada ya kununua marudio ya Dhahabu jamaa alikuwa na gari ndogo TOYOTA IST,,,, akawa anaiuza MILION 7 namba D mtoto wa Mjomba akampa Akamwambia mzee anataka ainunue Mjomba hakuwa na hiana kwa mwanae Akamwambia ww umekuwa miaka 28 Unaweza kununua Mimi Mjomba na binamu tukaenda Mashine wanapokobolea mpunga ndio wanapotunzia nikakuta Binamu anajunia 100 akatoa Junia 70 akakoboa na kuuza papo papo tukaifata chuma ya ujanani.... Da nilishangaa jamaa MILION kazaa anacheza Nazo basi bana ikanivutia na Mimi kuanza kulima mpunga nikajifunza safi safi nikapata kamtaji maisha yanaendelea Leo huku junia 110000 kwenu huko shingapi
Ni Ushauri tu we kama unaona ni Chuki kuukubali au kuukataa ni juu yako.At first nilikuwa naona unapoint ila kuanzia katikati ya mada yako mpaka mwisho๐ฌ๐ฌ๐ฌ.
Bwanamdogo chuki yako kwa watu wa Daslam ni kubwa sana na sijui kwanini unahangaika na maskini jeuri wa Dar badala ya kutulia huko na matajiri wenzako.
HahahahaYani uniambie muleba kuna fursa kibao kuizidi dar? Watembee waone
Dar imejaa Waajiriwa hata wafanya biashara ni wachache.Watakaokupinga ni wale wahanga yaani upo sahihi. Dasalam kama hujaajiriwa au una biashara ya mtaji kuanzia 50 milioni ni kujisumbua tu. Kuna wamachinga pale Mwenge wanalala kwenye meza hawana hata uwezo wa kupanga chumba cha elfu 15 kula ya shida ila yupo Dar mwaka wa tano. Itoshe kusema ni uvivu wa kulima na tamaa bila ya mipango.
Hii Nakubaliana nayo. Hata hivyo Uislam unawapunguza SpeedWakati Dubai wanagndua mafuta nchi za magharib zilikuwa mbali sana kimaendeleo , waarabu ni wapenda
Dubai sio wote ni waislamuHii Nakubaliana nayo. Hata hivyo Uislam unawapunguza Speed
Ni kweli ni muhimu Mtu kujiangalia Yeye kama Yeye, sio kujichanganya na waliofanikiwa na wewe ukajiita umo.Hao vijana kama wa juzi , ukimkosoa anakuambia ''wewe ni maskini '' yeye kapanga hapo Dar anababishwa na magorofa ya kariakoo .
Mimi niko Tanga , nina nyumba yangu , maisha mazuri , hakuna foleni za kishamba ...Maisha yako chini hata nikitaka nalima ...Nina access ya kufanya biashara ya mtu yeyote , almost kila ninachokitaka hapo Dar nakipata ...Yeye anadanganywa na takwimu uchawara badala ya kuangalia yuko wapi .
Ushauri uliojaa manung'uniko๐๐๐ Daslam yenyew haihitaji VISA kwenda na bado mnalalamika.Ingekuwa ukifika Mbezi Luis unaombwa passport mbona mngepasuka sana.Ni Ushauri tu we kama unaona ni Chuki kuukubali au kuukataa ni juu yako.
AiseeNi kweli ni muhimu Mtu kujiangalia Yeye kama Yeye, sio kujichanganya na waliofanikiwa na wewe ukajiita umo.
๐ ๐Ushauri uliojaa manung'uniko๐๐๐ Daslam yenyew haihitaji VISA kwenda na bado mnalalamika.Ingekuwa ukifika Mbezi Luis unaombwa pasport mbona mngepasuka sana.
Asiwadanganye mtu hata matajiri wa mikoani huwa hawakauki Daslam.Hizo ngebe za kumiki sijui vitu gani vya huko kolomije haifikii hadhi ya Kiwanja cha 20ร20 kwenye jiji la Chalamila.
Daslam ndio mji wenye hadhi Tz yote, huko kwingine kunahesabika kama nchi jirani na Tz( Daslam).
Uza mali zako huko mkoani kwako nenda Magomeni au Kinondoni kuna watu wananyumba za urithi zinauzwa tafuta mwanasheria, nunua vunja shusha kasri lako hapo mjini๐คuishi kifalme kama umezaliwa hapo.๐ ๐