Wapi nimemzuia asitoe ushauri wake?Sasa kwanini unajaribu kumzuia asitoe ushauri wake kama unajua Jf ni public forum na yeye ni mtu kutoa kwenye jamii anayoizungumzia?
Wanasema mkoan kuna watu wenye miradi ya 200m sikatai ila ni wangapi?Kweli mkuu
Na hao kuku 200 wanakua wote.Zile stori za ukifiga kuku 20 kila mmoja akatotoa angalau vifaranga 10 tu unapata kuku 200ππ
Hawa wabunge wanakimbilia dar sababu yeye hata akilala ndani, posho zinasoma ila kwetu sisi wasakatonge dar ni noma aisee,huku unaweza kuwa una mishe yako inakupatia riziki ila maisha yapo juu sana kiufup hautalala njaa ila kupiga hatua itakuhitaji muda sana au isipige kabsa utakuwa inashinda mishe ili gurudumu la maisha liende t na sio ufanikiwe, hii imani kwamba dar ni sehem pekee mtu anaweza fanikiwa nowadays haina ukweli kuna majiji na miji kibao uko peripheral ukijichanganya utatoboa na utavimbaHuu ni ukweli mtupu, japo itawauma Sana Darisalamians wenzangu. Kuna ile Imani ya kale kuwa Dar ndio Kuna maisha mazuri kuliko mikoani. Hata watu wakiomba ajira, say, seriklini utasikia Wanataka Dar. Utashangaa hata Mbunge wa interior huko atahama jimboni mwake atafaiti apate kiwanja ajenge dar aje aishi Dar, hata kama hazalishi chochote
Ilifika hata kule mikoani Binti aliona kijana katika Dar, anaona Huyo ndiye ana mafanikio.
But in reality ukitaka mafanikio ya binafsi na kuwa mjasiliamali wa maana, Dar hapafai. Dar imebaki ni pa kutafuta madili tu tena yakuumiza watu au Serikali.
Mali Iko shambani.
KweliHawa wabunge wanakimbilia dar sababu yeye hata akilala ndani, posho zinasoma ila kwetu sisi wasakatonge dar ni noma aisee,huku unaweza kuwa una mishe yako inakupatia riziki ila maisha yapo juu sana kiufup hautalala njaa ila kupiga hatua itakuhitaji muda sana au isipige kabsa utakuwa inashinda mishe ili gurudumu la maisha liende t na sio ufanikiwe, hii imani kwamba dar ni sehem pekee mtu anaweza fanikiwa nowadays haina ukweli kuna majiji na miji kibao uko peripheral ukijichanganya utatoboa na utavimba
Kwa nini hili linakushughulisha mpaka umelianzishia thread?
Kama mtu kaamua kuishi Dar anaona hapo ndipo kuna maisha mazuri huo si uhuru wake tu na anaishi anavyotaka, tatizo liko wapi?
Kama wewe unavyomkosoa na yeye anakosoa na kutoa ushauri kwa watu wanaokaa Daslam kwa kupoteza muda bila shughuli za msingi je ni kosa?Wapi nimemzuia asitoe ushauri wake?
Mimi si mod, ni mchangiaji tu, nitamzuiaje asitoe ushauri wake?
Unajua tofauti ya kukosoa mawazo ya mtu na kumzuia mtu asitoe mawazo yake?
Acha kuchekesha,zinaongelewa na wasio wakazi wa dar wakati mm mwenyewe ni mkazi wa dsm! Acha utoto kwenye uhalisiaMtaani wapi huko? Hizi hoja zinaongelewa sana na wasio wakazi wa dar sijui ni kwanini.
Dar pamechangamka kifursa kuanzia level ya chini ya maisha mpaka level ya juu. Kuna sehemu kuitafuta elfu 5 kwa siku ni mtihani sana.
Mkuu,Hilo nalo mkaliangalie kwenye katiba mpya. Mtu asisimangwe kwa sababu ya mahali alipochagua kuish
Dunia inafix nyingi, kuna Mdada mmoja wa TZ hapo juzi kati kadakwa huko duniani kwa biashara ya ngada wakati alikuwa anajinasibu kuuza mchicha Ulaya na kuingiza laki mbili kwa siku!!.JK alisema akili za kuambiwa changanya na zako.Zile stori za ukifiga kuku 20 kila mmoja akatotoa angalau vifaranga 10 tu unapata kuku 200ππ
Mkuu,
Ni vile watu hawasomi katiba tu.
Hilo halihitaji katiba mpya. Lipo katika katiba ya sasa.
15. Right to personal freedom
Every person has the right to freedom and freedom live as a free person.
17. Right to freedom of movement.
Every citizen of the United Republic has the right to freedom of movement in the United Republic and the right to live in any part of the United Republic, to leave and enter the country, and the right not to be forced to leave or be expelled from the United Republic.
Ndiyo hivyo mkuu.Dah, kumbe vifungu vipo wazi kabisa. Kuna umuhimu kuwa na mazoea ya kusoma hiki kitabu
Kwa iyo nyinyi huko mkoani wote mna viwanja? Acheni wivu wa kipumbavu kama mnatamani na nyinyi kuishi Dar si mje.Unakuta mtu amekaa dsm 10 yrs Hana ata kiwanja , nyumba wala biashara halafu anajikuta mjanja et ni WINGA telezaπ
Acha upuuziKwa iyo nyinyi huko mkoani wote mna viwanja? Acheni wivu wa kipumbavu kama mnatamani na nyinyi kuishi Dar si mje.
Tatizo ni yeye kujiona ameyapatia maisha kuliko wengine.Kwa nini hili linakushughulisha mpaka umelianzishia thread?
Kama mtu kaamua kuishi Dar anaona hapo ndipo kuna maisha mazuri huo si uhuru wake tu na anaishi anavyotaka, tatizo liko wapi?
π π πSasa kama mtu kaamua kupoteza muda wake yeye mwenyewe, kwenye maisha yake yeye mwenyewe, wewe inakuhusu nini?
Kwanza miminsi wa mikoani.Tatizo ni yeye kujiona ameyapatia maisha kuliko wengine.
Yaan kuwaona nyinyi wamikoani hamna maana
Mkuu,π π π
Kiranga ni muumini WA Uhuru binafsi. Kitu ambacho waafrika wengi hatutaki kuamini katika Hilo huwa tuna force tufanane Imani mawazo na akili