Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

Kuna Biashara na fursa Ambazo hauwezi kuzifanya ukiwa nje ya DSM ni vizuri ukaongeza maarifa na akili za utambuzi wa mambo kukariri maisha sip jambo zuri.
 
Tarizo lipo kwenye kupoteza muda na mindset ya kuwa kuishi dsm ndio kupatia maisha
Kasumba kasumba kasumba
Hii mind set ni tatizo na janga zaidi ya Kansa, nina madogo mawili wanaishi Dar hata mchongo wa maana hawana kazi za kueleweka zaidi ya saidia fundi, lakini wanadharau sana watu wa huku Tabora walikotoka, ila wanatupiga mizinga sisi wa mikoani
 
Mistari ya mtu mwenye stimu ya pombe kichwani
 
Hii mind set ni tatizo na janga zaidi ya Kansa, nina madogo mawili wanaishi Dar hata mchongo wa maana hawana kazi za kueleweka zaidi ya saidia fundi, lakini wanadharau sana watu wa huku Tabora walikotoka, ila wanatupiga mizinga sisi wa mikoani
Ni zaidi ya kansa kwa kweli
 
Hawajiamini na wana mtazamo hasi dhidi ya dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…