πππ unatutia moyoWenye sura ngumu tukutane hapa. We are men for God's sake! πͺπͺπͺ
View attachment 3042487
View attachment 3042489
Nyokooo wee!! Liongoo tyuuh.Kweli nishawauzia sana vijora [emoji81][emoji81][emoji81]
Kwa nini wanapata hisia za kukuogopa?Wenzio wote wananiogopa.
Wewe huo ujasiri umeutoa wapi??? πΉπΉπΉ
Acha undezi wewe chawa wa mboweOya Ndonga hao uliowatag ushawapasua Nini ?π
Spika ipo sawa kweli kijana...Mana naskia Ndonga Kama Pididi.Acha undezi wewe chawa wa mbowe
BICHWA KOMWE - ni usalama wa taifa.Spika ipo sawa kweli kijana...Mana naskia Ndonga Kama Pididi.
Watakuja kubisha, ila ndio ukweliHb wengi wake za watu
πΉπΉπΉ Zawadi kubwa au nikuitie kirikuu ibebeSamahani unaweza agiza chochote unachotaka aiseee...
Au ngoja nakuja pm nina zawadi yako mkuu
Mmmh ni kubwa kiasi chake...πΉπΉπΉ Zawadi kubwa au nikuitie kirikuu ibebe
Hilo lifunge kwenye boda mkuu usihangaike πΉπΉπΉMmmh ni kubwa kiasi chake...
Hivi friji lina haja ya kirikuu mkuu
Umejua kunifurahisha aiseee.....Hilo lifunge kwenye boda mkuu usihangaike πΉπΉπΉ
Ana mwanae wanasunbuana Sana anaitwa kimsboyBICHWA KOMWE - ni usalama wa taifa.
Illegal fishing πΉπΉπΉUmejua kunifurahisha aiseee.....
Nimemuonesha mke wangu hapa kacheka sana...
Ngoja nije kuchukua namba yako PM ili mjuane zaidi mkuu
ππππππππWenye sura ngumu tukutane hapa. We are men for God's sake! πͺπͺπͺ
View attachment 3042487
View attachment 3042489
Hizi ni chuki zisizo na msingi. Wanaume wenye sura nzuri wapo. Hata Yusufu kwenye biblia anatajwa kama mwanaume handsome sana kuwahi kutokea ndo maana mke wa kigogo alimtaka kimapenzi. Binafsi mwaka 2000 nikiwa form one nilikutana na mama fulani siku ya jumamosi tukiwa tumeenda mjini.. yule mama alinisimamisha na kuniuliza jina akaniambia kwa jinsi ninavyoonekana itakuwa primary nilisoma english medium. Mwaka huohuo nilienda likizo fupi kwa mama mdogo sasa kuna siku rafiki yake akamuuliza kwa kilugha huyu mtoto handsome ni wa kwa nani akifikiri sijui kilugha...Hb wengi wake za watu
Mnakutan na mchngudoa kish mnakuja kujisifu ujinga.Yani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi.
Mwishowe anafunguka kua alikua nakuelewa sana alikua akikuona hajiwezi.
Sema ili u maintain u handsome, uwe na hela la sivyo utapauka kweli kweli,
Pesa kidogo huku inangβaa bas watoto wote wako
Ni wanaume etiKwani handsome ni nani
Uhandsome hela Acha ufalaYani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi.
Mwishowe anafunguka kua alikua nakuelewa sana alikua akikuona hajiwezi.
Sema ili u maintain u handsome, uwe na hela la sivyo utapauka kweli kweli,
Pesa kidogo huku inangβaa bas watoto wote wako