Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
😁😁😁 unatutia moyoWenye sura ngumu tukutane hapa. We are men for God's sake! 💪💪💪
View attachment 3042487
View attachment 3042489
Ila kuna watu wengi wanapata tabu sana kwenye muonekano wao hadi unashindwa umsaidiaje. Kuna mmoja alienda kutambulishwa ukweni na mama mkwe akawa anamtania mtoto wake mbele ya ndugu zake kuwa
Japo anaonekana ana maisha Ila Mungu anusuru usizae nae mtoto wa kike na akarithi sura yake maana tutakosa mahari..
Hivyo kuna stigma zipo sana