Ukiwa handsome, kutongoza ni kama kucheza game in “Easy mode”

Ukiwa handsome, kutongoza ni kama kucheza game in “Easy mode”

Wenye sura ngumu tukutane hapa. We are men for God's sake! 💪💪💪

View attachment 3042487

View attachment 3042489
😁😁😁 unatutia moyo

Ila kuna watu wengi wanapata tabu sana kwenye muonekano wao hadi unashindwa umsaidiaje. Kuna mmoja alienda kutambulishwa ukweni na mama mkwe akawa anamtania mtoto wake mbele ya ndugu zake kuwa

Japo anaonekana ana maisha Ila Mungu anusuru usizae nae mtoto wa kike na akarithi sura yake maana tutakosa mahari..

Hivyo kuna stigma zipo sana
 
Kweli nishawauzia sana vijora [emoji81][emoji81][emoji81]
Nyokooo wee!! Liongoo tyuuh.
Uwe handsome, uwe mke wa mtu, uwe na Elimu, afu ujiweze na ujimudu.

Nasemajee life ni slope tyuuuh!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hb wengi wake za watu
Hizi ni chuki zisizo na msingi. Wanaume wenye sura nzuri wapo. Hata Yusufu kwenye biblia anatajwa kama mwanaume handsome sana kuwahi kutokea ndo maana mke wa kigogo alimtaka kimapenzi. Binafsi mwaka 2000 nikiwa form one nilikutana na mama fulani siku ya jumamosi tukiwa tumeenda mjini.. yule mama alinisimamisha na kuniuliza jina akaniambia kwa jinsi ninavyoonekana itakuwa primary nilisoma english medium. Mwaka huohuo nilienda likizo fupi kwa mama mdogo sasa kuna siku rafiki yake akamuuliza kwa kilugha huyu mtoto handsome ni wa kwa nani akifikiri sijui kilugha...

Hali ya kuitwa itwa handsome ilikoma nilipomaliza form six hadi chuo. Kama miaka 8 hivi. Hali yangu ilikuwa mbaya sana kiuchumi mpaka mwonekano. Mwaka 2014 ndo kahaba mmoja niliyemchukua pale Mrina Annex akaniambia mimi ni handsome. Mwaka 2017 pia kahaba mwingine wa pale Sewa Bar Buguruni aliniambia kwa jinsi nilivyo haipendezi mimi kwenda Sewa kununua ndo nikaacha hiyo tabia.
MORAL OF THE STORY: Ma-handsome tupo na sio wake za watu. Hiyo kauli yako ni ya chuki dhidi yetu.
 
Yani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi.

Mwishowe anafunguka kua alikua nakuelewa sana alikua akikuona hajiwezi.

Sema ili u maintain u handsome, uwe na hela la sivyo utapauka kweli kweli,

Pesa kidogo huku inang’aa bas watoto wote wako
Mnakutan na mchngudoa kish mnakuja kujisifu ujinga.

Mwanaume unanzaje kujisifia sura kama sio dalili mbaya za kushika ukuta?
 
Yani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi.

Mwishowe anafunguka kua alikua nakuelewa sana alikua akikuona hajiwezi.

Sema ili u maintain u handsome, uwe na hela la sivyo utapauka kweli kweli,

Pesa kidogo huku inang’aa bas watoto wote wako
Uhandsome hela Acha ufala
 
Back
Top Bottom