Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
😁😁😁Vijana mpo obsessed sana na mishangazi aiseeeMkuu usidate na mshangazi ambaye Ni " Liability" Yaani yupo yupo tu anataka umhudie mpaka hela ya bundle.
Tafuta mshangazi ambaye anajishughulisha na chochote aidha saloon au genge.
Don't date a Liability bro.
Wewe huna mshangazi hata mmoja wa kuzugia bro?😁😁😁Vijana mpo obsessed sana na mishangazi aiseee
Inasemekana unaongoza kwa kugawa kilo kilo hapa JF. Hongera sana mkuu!Mbona hata wenye hela wenyewe hawachati meseji ndefu.
Utaona meseji fupi tu ya "BFF4DIVVTKMKE Imethibitishwa. Tsh350,000.00 imetumwa kwa J4HKU M-PESA tarehe 15/6/24 saa 7:24 PM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh........"
Amen.Kama huna pesa usiwe na mpenzi kabisa, huo muda wa kuwa na mahusiano na mtu ni bora uutumie kutafuta pesa.
Nlikuaga nae kipindi flan, nkaona bora nirudi kwa agemates tu.....mambo mengi hatukuendanaWewe huna mshangazi hata mmoja wa kuzugia bro?
Sio kweli Mkuu, watakuwa wameamua kunichafua Babu yao 🤗Inasemekana unaongoza kwa kugawa kilo kilo hapa JF. Hongera sana mkuu!
Alizidisha vizinga au ulikuwa unapiga show mbovu mkashindwana?Nlikuaga nae kipindi flan, nkaona bora nirudi kwa agemates tu.....mambo mengi hatukuendana
Pombe pombe pombe😁........mi pombe naonja onja lkn kwake ilikua basic needAlizidisha vizinga au ulikuwa unapiga show mbovu mkashindwana?
Duh! Ila mwanamke wa pombe hapana kwa Kweli 😂Pombe pombe pombe😁........mi pombe naonja onja lkn kwake ilikua basic need
Sio lazma wote wakueleweNakusanua mwanaume mwenzangu
Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike
Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale
Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi kumkwepa flani
Najua wadada huu uzi wataunanga kwa misemo yao ya "tafuta hela" but i don't give a damn mana mimi sina tatizo na mpenzi wangu na tupo fresh kabisa.
Ukute mpo bar yy anapiga ulabu ww unaangalia mpira 🤣huo usumbufu wake sasa, mara akae pembeni yako akulalie lalie kuwaonesha marafiki zake unampenda sana .....kama unachat anaangalia screen ya simu yakoDuh! Ila mwanamke wa pombe hapana kwa Kweli 😂
Aisee Mimi mwanamke anayependa pombe anipite kushoto.Siwezani nao kbsaUkute mpo bar yy anapiga ulabu ww unaangalia mpira 🤣huo usumbufu wake sasa, mara akae pembeni yako akulalie lalie kuwaonesha marafiki zake unampenda sana .....kama unachat anaangalia screen ya simu yako
Ukute range hii 40-50Aisee Mimi mwanamke anayependa pombe anipite kushoto.Siwezani nao kbsa
The only thing unaweza kuenjoy kutoka kwa hio mijimama Ni ufundi kitandani 😂Ukute range hii 40-50
Mbn hzo raha zote unaweza pata kwa single mama wa age Yako tu....we focus na mwanae tu magift utakula kila aina ya raha utapewa na mtoto wa piliThe only thing unaweza kuenjoy kutoka kwa hio mijimama Ni ufundi kitandani 😂
Limama linakukatikia viuno Kama feni bovu likichanganya na miguno ya kimahaba