Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

Mimi sipendi chatting kiujumla huwa navuta bangi kwa utulivu 🚬🚬🚬 😃😃😃😃😃 sipendi usumbufu.....
 
Nakusanua mwanaume mwenzangu

Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike

Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale

Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi kumkwepa flani

Najua wadada huu uzi wataunanga kwa misemo yao ya "tafuta hela" but i don't give a damn mana mimi sina tatizo na mpenzi wangu na tupo fresh kabisa.
Sio lazma wote wakuelewe
Manigga umetusanua
 
Duh! Ila mwanamke wa pombe hapana kwa Kweli 😂
Ukute mpo bar yy anapiga ulabu ww unaangalia mpira 🤣huo usumbufu wake sasa, mara akae pembeni yako akulalie lalie kuwaonesha marafiki zake unampenda sana .....kama unachat anaangalia screen ya simu yako
 
Aisee Mimi mwanamke anayependa pombe anipite kushoto.Siwezani nao kbsa
 
The only thing unaweza kuenjoy kutoka kwa hio mijimama Ni ufundi kitandani 😂
Limama linakukatikia viuno Kama feni bovu likichanganya na miguno ya kimahaba
Mbn hzo raha zote unaweza pata kwa single mama wa age Yako tu....we focus na mwanae tu magift utakula kila aina ya raha utapewa na mtoto wa pili
 
Mimi mbona nachat sana na mpz wangu na simuombi pesa!! Au nitakuwa na matatizo ila sijijui??
 
Back
Top Bottom