Ukiwa kama abiria unasafiri safari ya mbali ni vizuri ule nini njiani na uepuke kula nini

mmh huu mkorogo sijui.....
 
hilo korogo na mvurugo wake utakua wa Karne
 
mbaya sana hii...
 
Dah aiseee imebidi nicheke kwanza
 
Kwa safari, pata zaidi vinavyokaangwa
kuliko vinavyochemshwa

Mfano kula zako
Chips
Kuku
Yale mapande ya mbuzi na ng'ombe
Biskuti
Yai la kuchemsha lafaa maana lipo sealed
Pata maji kiasi tu
Eeh, wataongezea
yai la kuchemsha litamfanya ashushe mabomu ya nyuklia
 
Siku tumetoka home baada ya sikukuu ya December bi mkubwa akanipa maziwa fresh nikapiga kama lita nzima ya moto, kuanza safari haikuchukua ata nusu saa balaa likaanza niliteseka mpaka nafika uzuri tulikuwa na private ila ingekuwa bus safari ingekufa
 
Katika stadi za Kazi tulifundishwa Kula vyakula vikavu....mfano ndizi /viazi Choma au vya kukaanga.
Nyama Choma au za kukaanga.....usipendelee vyakula vilivyotengenezwa Kwa kutumia mayai au nyama za mchuzi hasa zilizolala utajuta.
Zamani kabla chips hazijawa common wakuja wengi walikuwa wanakula mtindi na mkate au chai na mkate. Basi kulikuwa na jamaa yetu mmoja alikuwa anawatania wahehe anasema eti bus linaposimama wakiingia hotelini mwanamke wa kihehe anamuuliza muwewe ''be, nianzege na chai au mkate'' (akiogopa bus lisimuache) Mumewe anajibu ''anzaga na chai mkate utamalizia kwenye gari''. On a serious note: niliwahi kusafiri na jamaa yangu akajinyea kwenye bus. Tulikuwa tumekaa siti moja jamaa akaanza kulalamika tumbo, tumbo. Halafu ilikuwa kijijini karibu tunakaribia kituo cha kushuka. Ile namwambie tuite kondakta asimamishe gari nikasikia ananinong'oneza nimeshajinyea tayari. Bahati nzuri bus likasimama vituo kadhaa kabla ya kufika chetu kuteremsha abiria, na yeye akateremka na kuniachia mzigo wake. Alikuja kuniambia kuwa aliingia kwenye kichaka akajipangusa na majani halafu akatembea kwa miguu mpaka nyumbani.
 
Kwa safari, pata zaidi vinavyokaangwa
kuliko vinavyochemshwa

Mfano kula zako
Chips
Kuku
Yale mapande ya mbuzi na ng'ombe
Biskuti
Yai la kuchemsha lafaa maana lipo sealed
Pata maji kiasi tu
Eeh, wataongezea
Nikionaga abiria ananunua yai la kuchemsha hua naanza kusikitika mapemaaa,najua nuclear bomb on the make.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani kujima kula siku Moja utakufa Kaka si unasafiri fanya kufunga kuto kula chochote na Ni sadaka na ninnjia ya kujinyenyekeza mbele za mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…