Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

You’ve nailed it.
 
Hili andiko umeandika sababu ambazo hazisemwi zinazochochea kuvunjika ndoa (divorce!).

Mwanaume anapojipata kwenye penzi la awali, kwa Imani yake na kulewa mapenzi anajikuta amefunga ndoa na haraka haraka mtoto/watoto wamekuja.

Mwanaume akianza kupandisha game ili kupeleka maisha level za juu, hapo ndipo anagundua mke aliyenaye ni wa kiwango kipi. Hapo ndoa inakuwa matatani.

Ukiwa mtembezi humu Duniani, ama ukiwa mfuatiliaji wa mambo humu Duniani, utaona asilimia 60-70 ya men billionaires, ndoa zao za zilikufa punde tu walipoamua kuwa serious kusaka noti.

Hivyo, hoja yako ina mashiko ndani na ya bongo
 
Mi huwa sijaribu kabisa km unataka kula limbwata mapema mruhusu mchepuko akupikie
 

Kuna mtu mmoja makini sana sikumbuki ni nani!? Alitaka apewe tafsiri ya akili kubwa kwanza ili mambo yaende sawa maana tunachanganyana sana.

Hivi unajua!
Unajua kuwa mwanamke kwenye suala la ndoa hana nguvu yoyote kuchagua wakuolewa nae?

Lkn mwanaume hata akiwa mwendawazimu ananguvu yakuchagua.

Ndoa ipo mikononi mwa mwanaume?

Nasikitika kisema kitu ambacho hupendi kukisikia "wanawake wote ni sawa" .

Akili kubwa sio sababu ya mwanamke kustrugle kupata mume bali ni kinyume chake.


Kwan tukizungumzia akili kubwa unaelewaje???(relationship wise)???
 
Jadda nataka nikuoe halafu nikufanye uwe raisi wa Tanzania akiondoka mama samia uko tayari? Say YES!
 
Huyu dawa yake ni kumroga tu hivyo vyeti vyake feki atakuja kufungia maandazi na kachori akija nyumbani kwangu, atasahau kila kitu na akifika tu unampa kibendi, hajakaa sawa unampa chengine, mpaka siku akili zikimrudia ana miaka 45 hata sura ishaanza kukunjana kashakuwa kibibi hawezi tena kutoka kwenye ndoa anabakia kupiga kelele tu nilikuwa hivi nilikuwa vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…