Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Well atleast he neither committed fornication, nor did he have a bastard child, unlike what unmarried 'boys' do nowadaysJesus didn't marry,was he foolish?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well atleast he neither committed fornication, nor did he have a bastard child, unlike what unmarried 'boys' do nowadaysJesus didn't marry,was he foolish?
Ushamaliza hapo antielNdoa ni mchakato
Nina mashaka kama hoja zako zinawafikia na wanazielewa. Anyway, wape muda, watakuelewaYou have to be smart enough to have a wife, if you're a fool you can't live with a woman. Unapaswa kuishi na mwanamke kwa akili.
All kataa ndoa are fools kwa sababu hawana akili za kuishi na mwanamke.
You’ve nailed it.Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA
You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
😉Ushamaliza hapo antiel
Wataelewa siku moja, hata kama ni miaka 5 ijayo.Nina mashaka kama hoja zako zinawafikia na wanazielewa. Anyway, wape muda, watakuelewa
Hunaga mambo mengi... 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂
Hii imeendaaHunaga mambo mengi... 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂
Wee upo upande gani kwani...?Hii imeendaa
Tuoane tu tusijekufa wasimbeWee upo upande gani kwani...?
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌 Tatizo muna akili kubwa na ma ankol wana taka wenye akili ndogo 😂😂😂Tuoane tu tusijekufa wasimbe
Jesus did not marry and never had sex.Jesus didn't marry,was he foolish?
Hili andiko umeandika sababu ambazo hazisemwi zinazochochea kuvunjika ndoa (divorce!).Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA
You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
Mi huwa sijaribu kabisa km unataka kula limbwata mapema mruhusu mchepuko akupikieSasa kama mnajua kuwa wanaishi kwao mbona huwa mnataka wakija kwenu wawapikie, wawafulie, wawaoshee vyombo, wawafanyie usafi, nk, kama unajijua na wewe ni mwanaume unayetaka kufanyiwa hayo kwenye uchumba we hudumia tu, mnaishi na girlfriends zenu kama wake zenu ila ninyi hamtaki kuwa waume kwao
Ukiona mwanamke mwenye akili kubwa kapata mume ujue huyo mume ni akili kubwa nyenzie, mwanamke mwenye akili kubwa ni ngumu kuishi na mwanaume mwenye akili ndogo hasa mwenye mfumo dume, sababu mfumo dume hauna logic bali wenyewe unalazimisha tu mwanamke ajishushe bila sababu za msingi
We utakua unaongelea wazazi wako...na huenda ndo maana hii imekuathiriFools wengi tunaona wamejazana kwenye ndoa wanalia lia kila siku na kukatana shingo .
Unakingine cha kusema mkuu[emoji101]
Hii nimebadili kwa sababu yako, nataka nikutongoze upya maana mara ya kwanza ulinikataa kama mbwa koko[emoji24][emoji24][emoji24]Jamani we ni yupi tena? Watu wa JF ninyi kwa kubadili ID [emoji28][emoji2358]
Jadda nataka nikuoe halafu nikufanye uwe raisi wa Tanzania akiondoka mama samia uko tayari? Say YES!Ukiona mwanamke mwenye akili kubwa kapata mume ujue huyo mume ni akili kubwa nyenzie, mwanamke mwenye akili kubwa ni ngumu kuishi na mwanaume mwenye akili ndogo hasa mwenye mfumo dume, sababu mfumo dume hauna logic bali wenyewe unalazimisha tu mwanamke ajishushe bila sababu za msingi
Huyu dawa yake ni kumroga tu hivyo vyeti vyake feki atakuja kufungia maandazi na kachori akija nyumbani kwangu, atasahau kila kitu na akifika tu unampa kibendi, hajakaa sawa unampa chengine, mpaka siku akili zikimrudia ana miaka 45 hata sura ishaanza kukunjana kashakuwa kibibi hawezi tena kutoka kwenye ndoa anabakia kupiga kelele tu nilikuwa hivi nilikuwa vileKuna mtu mmoja makini sana sikumbuki ni nani!? Alitaka apewe tafsiri ya akili kubwa kwanza ili mambo yaende sawa maana tunachanganyana sana.
Hivi unajua!
Unajua kuwa mwanamke kwenye suala la ndoa hana nguvu yoyote kuchagua wakuolewa nae?
Lkn mwanaume hata akiwa mwendawazimu ananguvu yakuchagua.
Ndoa ipo mikononi mwa mwanaume?
Nasikitika kisema kitu ambacho hupendi kukisikia "wanawake wote ni sawa" .
Akili kubwa sio sababu ya mwanamke kustrugle kupata mume bali ni kinyume chake.
Kwan tukizungumzia akili kubwa unaelewaje???(relationship wise)???