Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Tatizo lako mkuu unaongelea dunia ya zamani wakati mimi naongelea dunia ya sasa, kwahiyo wewe unadhani kwa sababu mwanaume ndiye anayeamua ndoa basi wanaume wote wanaoa wanawake wanaowataka, mbona siku hizi kuna wanaume wengi wanalalamika wanakataliwa na wanawake na kuna wanawake wengi wenye akili ndogo na tabia mbovu wanaolewa kila siku

Mimi akili kubwa niliyomaanisha hapa ni ya mwanamke kuishi na mwanaume wakati wa uchumba kwa sababu dunia ya leo wengi wanakaa kwenye uchumba muda mrefu kabla ya kuingia kwenye ndoa, mwanamke mwenye akili kubwa akishakaa kwenye uchumba na mwanaume na akamsoma kuwa ni akili ndogo basi watajikuta wanaachana, hivyo kwake inakuwa ngumu kuingia kwenye ndoa labda aamue tu kujishusha na kujifanya mjinga for the rest of her life

Mkuu huo usawa wa wanawake ni kwenye masuala mengine lakini siyo kwenye suala zima la kuwa na wanaume katika mahusiano au ndoa, huo usawa unaouongelea wewe ni kama ule wa kusema kwamba wanaume wote duniani ni sawa kwa sababu wameumbwa na tamaa na wanapenda kuheshimiwa, sasa kwa muktadha huo wanawake nao wakiamua kusema kwamba mbele ya macho yao wanaona wanaume wote ni sawa watakuwa wanakosea hapo
 
You have to be smart enough to have a wife, if you're a fool you can't live with a woman. Unapaswa kuishi na mwanamke kwa akili.

All kataa ndoa are fools kwa sababu hawana akili za kuishi na mwanamke.
Huna hoja zingine zaidi ya hii?????
 
Topic haijazungumzia mke mwema.

Topic imezungumzia kupata Mke ama Mume mwenye akili kwa kiingereza wanaita intelligence

Akili na wema ni vitu viwili tofauti. Hoja imeongelea akili sio wema
Hata akili unazosema, wanawake wapo..

Acha kutukana dada zako broo...

Utafiti wako sio kweli...
 
Mbona kaweka wazi kwamba ukitaka kugundua huyu mtu ni smart potential
spouse angalia the way anavyo face changamoto zinazomkuta na namna anavyozitatua.
 
Ngoja nikalike ili twende sawa sasa
 
Kama huwezi kuishi, na, mwanamke,we huna akili, maneno ya bible!
Una pesa, mali, Afya IPO poa, hutaki kuoa!kuwa, na, uhusiano na, jinsia ya, ke!
Ikifika usiku,ukaenda kulala,unaanza kujichua!
Yote ya nini hayo na Dunia imeweka wanawake, wakusaidie kutoa kutu!? It makes, no sense! Niliona kijanq, mmoja, Kenya, amweza kutengeneza ukwasi, mkubwa,manyumba, magari, kampuni nk, Ila hataki, uhusiano na, jinsia, ya, kike!kwake Kafuga ma MBA kadhaa! Ukimcheki kwa jicho LA CUBA, unaona hii ni mwanzo wa kutatuliwa malinda!
Misambwanda yote iliyojaa mjini, siku hz kila mtoto wa kike anayezaliwa, ana mzigo, vikifika miaka 12 ni, balaa! Harafu kuna MTU hataki kuoa!yaani, hata kuongeza ukoo hamtaki!
 
Ndo nini hiki sasa umeandika,, hemu tuambie swala la ndoa anayepanga au kukupangia ni nani???
 
Ushaona wap sato akala sato

Mwanamke au mwanaume smart ata yeye mwenyewe hayuko tyr kuoa/ kuolewa na mtu smart
 
ulivohusianisha kuwa na hela na akili kubwa umeharibu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…