To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Tunazo ndogo mweeβΉοΈπππππππππ Tatizo muna akili kubwa na ma ankol wana taka wenye akili ndogo πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunazo ndogo mweeβΉοΈπππππππππ Tatizo muna akili kubwa na ma ankol wana taka wenye akili ndogo πππ
ππππππππππππTunazo ndogo mweeβΉοΈ
Dah unanisingizia, mi sijawahi kukataa mtu humu maana sijawahi kutongozwa! π€£Hii nimebadili kwa sababu yako, nataka nikutongoze upya maana mara ya kwanza ulinikataa kama mbwa koko[emoji24][emoji24][emoji24]
Tatizo lako mkuu unaongelea dunia ya zamani wakati mimi naongelea dunia ya sasa, kwahiyo wewe unadhani kwa sababu mwanaume ndiye anayeamua ndoa basi wanaume wote wanaoa wanawake wanaowataka, mbona siku hizi kuna wanaume wengi wanalalamika wanakataliwa na wanawake na kuna wanawake wengi wenye akili ndogo na tabia mbovu wanaolewa kila sikuKuna mtu mmoja makini sana sikumbuki ni nani!? Alitaka apewe tafsiri ya akili kubwa kwanza ili mambo yaende sawa maana tunachanganyana sana.
Hivi unajua!
Unajua kuwa mwanamke kwenye suala la ndoa hana nguvu yoyote kuchagua wakuolewa nae?
Lkn mwanaume hata akiwa mwendawazimu ananguvu yakuchagua.
Ndoa ipo mikononi mwa mwanaume?
Nasikitika kisema kitu ambacho hupendi kukisikia "wanawake wote ni sawa" .
Akili kubwa sio sababu ya mwanamke kustrugle kupata mume bali ni kinyume chake.
Kwan tukizungumzia akili kubwa unaelewaje???(relationship wise)???
Upo sahihi mkuu.We utakua unaongelea wazazi wako...na huenda ndo maana hii imekuathiri
Shida umeandika kwa kufuata hisia zako tu,, but hakuna ukweli wowote katika statement yako hiyo.Fools sleep with everybody they come across, marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools, wanalala na demu yeyote yule
Huna hoja zingine zaidi ya hii?????You have to be smart enough to have a wife, if you're a fool you can't live with a woman. Unapaswa kuishi na mwanamke kwa akili.
All kataa ndoa are fools kwa sababu hawana akili za kuishi na mwanamke.
ππππ daaah nimechekaJadda the boss , wewe huwa ni mtata sana, hatuta fika mwisho na jua , wewe ni kiranga wa kikeππ
Hata akili unazosema, wanawake wapo..Topic haijazungumzia mke mwema.
Topic imezungumzia kupata Mke ama Mume mwenye akili kwa kiingereza wanaita intelligence
Akili na wema ni vitu viwili tofauti. Hoja imeongelea akili sio wema
Mbona kaweka wazi kwamba ukitaka kugundua huyu mtu ni smart potentialKwahiyo unataka kusema kila mwanamke anatembea na label ya uwezo wake kiakili kwenye paji la uso? Youβre stupid! Wewe ni wale vijana mmemaliza vyuo na vidigrii vyenu vya kukariri na viingereza vya kuungaunga unaingia humu unajiona ni mzee wa busara na hekima.. Unaandika in a purely subjective and very generalized manner. In other words: itβs complete bullshit. βAkili kubwaβ inapimwaje? Nani anapima? Kipimo chake kina unit gani?
Ngoja nikalike ili twende sawa sasaNow days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.
Hapo uliposema "mpaka ujishushe"
Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness
A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)
Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.
KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
View attachment 2907306 Thanks Quote Reply
Report
Reactions:You, MFALME WETU, Tripper and 11 others
[IMG alt="Kambi ya Fisi"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/475/475260.jpg?1685967329[/IMG]
Kambi ya Fisi
JF-Expert Member
Marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools.
View attachment 2907309 Kicheko Quote Reply
Report
Reactions:You, Mr Miller, King Sae and 12 others
Mpaka hapa ubao unasoma kataa ndoa 11 vs ndoa Γ±i baraka 12
Kwa nini mkuu ucheke?ππππ daaah nimecheka
The way statement inavyosomeka, inachekesha sana ππ.Kwa nini mkuu ucheke?
Kama huwezi kuishi, na, mwanamke,we huna akili, maneno ya bible!Now days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.
Hapo uliposema "mpaka ujishushe"
Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness
A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)
Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.
KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
Ndo nini hiki sasa umeandika,, hemu tuambie swala la ndoa anayepanga au kukupangia ni nani???Kama unafikiri una akili kubwa kuliko Biblia na hauamini uchawi na ungo unausikia tu mbona umeshindwa jambo dogo sana la kupata mke?
Kusoma kwako mpaka kutatua matatizo ya kijamii kwa elimu yako lakini bado umeshindwa kupata mke Hauoni hapo kuwa bado haujui huu ulimwengu ulivyo?
"Suala la kuoa au kuolewa haujapangii wewe"
UWONGO MKUBWA.Ushaona wap sato akala sato
Mwanamke au mwanaume smart ata yeye mwenyewe hayuko tyr kuoa/ kuolewa na mtu smart
ulivohusianisha kuwa na hela na akili kubwa umeharibu uziUkweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA
You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
It's better to let someone think you are an Idiot than to open your mouth and prove it.πUmeandika vizuri ila pamoja na hayo pamoja na kusoma na kufikiri kuwa unakili sana ila umeshindwa kujua kuwa
"SUALA LA KUOA au KUOLEWA HAUJIPANGII WEWE"
Huo ndiyo ukweli