Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Kuna mtu mmoja makini sana sikumbuki ni nani!? Alitaka apewe tafsiri ya akili kubwa kwanza ili mambo yaende sawa maana tunachanganyana sana.

Hivi unajua!
Unajua kuwa mwanamke kwenye suala la ndoa hana nguvu yoyote kuchagua wakuolewa nae?

Lkn mwanaume hata akiwa mwendawazimu ananguvu yakuchagua.

Ndoa ipo mikononi mwa mwanaume?

Nasikitika kisema kitu ambacho hupendi kukisikia "wanawake wote ni sawa" .

Akili kubwa sio sababu ya mwanamke kustrugle kupata mume bali ni kinyume chake.


Kwan tukizungumzia akili kubwa unaelewaje???(relationship wise)???
Tatizo lako mkuu unaongelea dunia ya zamani wakati mimi naongelea dunia ya sasa, kwahiyo wewe unadhani kwa sababu mwanaume ndiye anayeamua ndoa basi wanaume wote wanaoa wanawake wanaowataka, mbona siku hizi kuna wanaume wengi wanalalamika wanakataliwa na wanawake na kuna wanawake wengi wenye akili ndogo na tabia mbovu wanaolewa kila siku

Mimi akili kubwa niliyomaanisha hapa ni ya mwanamke kuishi na mwanaume wakati wa uchumba kwa sababu dunia ya leo wengi wanakaa kwenye uchumba muda mrefu kabla ya kuingia kwenye ndoa, mwanamke mwenye akili kubwa akishakaa kwenye uchumba na mwanaume na akamsoma kuwa ni akili ndogo basi watajikuta wanaachana, hivyo kwake inakuwa ngumu kuingia kwenye ndoa labda aamue tu kujishusha na kujifanya mjinga for the rest of her life

Mkuu huo usawa wa wanawake ni kwenye masuala mengine lakini siyo kwenye suala zima la kuwa na wanaume katika mahusiano au ndoa, huo usawa unaouongelea wewe ni kama ule wa kusema kwamba wanaume wote duniani ni sawa kwa sababu wameumbwa na tamaa na wanapenda kuheshimiwa, sasa kwa muktadha huo wanawake nao wakiamua kusema kwamba mbele ya macho yao wanaona wanaume wote ni sawa watakuwa wanakosea hapo
 
You have to be smart enough to have a wife, if you're a fool you can't live with a woman. Unapaswa kuishi na mwanamke kwa akili.

All kataa ndoa are fools kwa sababu hawana akili za kuishi na mwanamke.
Huna hoja zingine zaidi ya hii?????
 
Topic haijazungumzia mke mwema.

Topic imezungumzia kupata Mke ama Mume mwenye akili kwa kiingereza wanaita intelligence

Akili na wema ni vitu viwili tofauti. Hoja imeongelea akili sio wema
Hata akili unazosema, wanawake wapo..

Acha kutukana dada zako broo...

Utafiti wako sio kweli...
 
Kwahiyo unataka kusema kila mwanamke anatembea na label ya uwezo wake kiakili kwenye paji la uso? You’re stupid! Wewe ni wale vijana mmemaliza vyuo na vidigrii vyenu vya kukariri na viingereza vya kuungaunga unaingia humu unajiona ni mzee wa busara na hekima.. Unaandika in a purely subjective and very generalized manner. In other words: it’s complete bullshit. β€œAkili kubwa” inapimwaje? Nani anapima? Kipimo chake kina unit gani?
Mbona kaweka wazi kwamba ukitaka kugundua huyu mtu ni smart potential
spouse angalia the way anavyo face changamoto zinazomkuta na namna anavyozitatua.
 
Now days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.

Hapo uliposema "mpaka ujishushe"

Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness

A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)

Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.

KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.

View attachment 2907306 Thanks Quote Reply
Report
Reactions:You, MFALME WETU, Tripper and 11 others

[IMG alt="Kambi ya Fisi"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/475/475260.jpg?1685967329[/IMG]

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member​


Marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools.

View attachment 2907309 Kicheko Quote Reply
Report
Reactions:You, Mr Miller, King Sae and 12 others
Mpaka hapa ubao unasoma kataa ndoa 11 vs ndoa Γ±i baraka 12
Ngoja nikalike ili twende sawa sasa
 
Now days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.

Hapo uliposema "mpaka ujishushe"

Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness

A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)

Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.

KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
Kama huwezi kuishi, na, mwanamke,we huna akili, maneno ya bible!
Una pesa, mali, Afya IPO poa, hutaki kuoa!kuwa, na, uhusiano na, jinsia ya, ke!
Ikifika usiku,ukaenda kulala,unaanza kujichua!
Yote ya nini hayo na Dunia imeweka wanawake, wakusaidie kutoa kutu!? It makes, no sense! Niliona kijanq, mmoja, Kenya, amweza kutengeneza ukwasi, mkubwa,manyumba, magari, kampuni nk, Ila hataki, uhusiano na, jinsia, ya, kike!kwake Kafuga ma MBA kadhaa! Ukimcheki kwa jicho LA CUBA, unaona hii ni mwanzo wa kutatuliwa malinda!
Misambwanda yote iliyojaa mjini, siku hz kila mtoto wa kike anayezaliwa, ana mzigo, vikifika miaka 12 ni, balaa! Harafu kuna MTU hataki kuoa!yaani, hata kuongeza ukoo hamtaki!
 
Kama unafikiri una akili kubwa kuliko Biblia na hauamini uchawi na ungo unausikia tu mbona umeshindwa jambo dogo sana la kupata mke?
Kusoma kwako mpaka kutatua matatizo ya kijamii kwa elimu yako lakini bado umeshindwa kupata mke Hauoni hapo kuwa bado haujui huu ulimwengu ulivyo?

"Suala la kuoa au kuolewa haujapangii wewe"
Ndo nini hiki sasa umeandika,, hemu tuambie swala la ndoa anayepanga au kukupangia ni nani???
 
Ushaona wap sato akala sato

Mwanamke au mwanaume smart ata yeye mwenyewe hayuko tyr kuoa/ kuolewa na mtu smart
 
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni

Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza

Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.

Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..

Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.

High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.

Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.

NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA

You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
ulivohusianisha kuwa na hela na akili kubwa umeharibu uzi
 
Back
Top Bottom