Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Kupata mke n ngumu, ila cc waume tupo wengi[emoji1690][emoji55]
 
Amka usije ukakojolea mashuka kijana
 

Upo tayr tuishi kama mke na mume bila yakuwashirikisha
serikali,kanisa,mahakama?
 

I've been preaching about love.
I've been preaching about ndoa.
Ndoa ni kitu kizuri mkuu.

Mimi nipo against na system mkuu.


Wakataa ndoa wote.wapo against system.
Namna gani system inawakandamiza wanaume kwenye ndoa.
 

Kama hutojali !
Unaweza ukaniambia
What are things that realy keep a woman happy!?

Kama utaweza pia kuniambia vitu vyenye vina mkeep man happy!

Ukatusaidia mkuu maana tupo ambao hatujui tunataka nin!!!
 
Upo tayr tuishi kama mke na mume bila yakuwashirikisha
serikali,kanisa,mahakama?
Hapo mnakuwa siyo mke na mume mkuu, by the way kwanini mnataka iwe hivyo, na mnahisi itakuwa na maslahi na kwa mwanamke pia au ni kwenu tu
 
I've been preaching about love.
I've been preaching about ndoa.
Ndoa ni kitu kizuri mkuu.

Mimi nipo against na system mkuu.


Wakataa ndoa wote.wapo against system.
Namna gani system inawakandamiza wanaume kwenye ndoa.
Mkuu ningependa kujua hiyo system inamkandamiza vipi mwanaume kwenye ndoa, maana hili ni swali ambalo nimekuwa nikiwauliza wanaume wengi wanaokataa ndoa ila hawanipi majibu ya kueleweka, labda wewe unaweza ukanijibu vizuri ndoa ina shida gani kwa mwanaume
 
Hahaha..
Hatimaye team Kataa ndoa wamepata mwanachama wa kike
 
Mkuu ningependa kujua hiyo system inamkandamiza vipi mwanaume kwenye ndoa, maana hili ni swali ambalo nimekuwa nikiwauliza wanaume wengi wanaokataa ndoa ila hawanipi majibu ya kueleweka, labda wewe unaweza ukanijibu vizuri mkuu
Lets go slow
Napenda kujua maslahi unayoyazungumzia.
 

Jaribu siku moja ukipata nafasi zungumza na mwanaume aliyekuwa divorced au ambae yupo kwenye process na pilika za divorce utajifunza
 

World system's
 
Jaribu siku moja ukipata nafasi zungumza na mwanaume aliyekuwa divorced au ambae yupo kwenye process na pilika za divorce utajifunza
Hajawahi kukutana nae hata mmoja hawezi kujua kinachoendelea ni nini
 
Huruma sana
 
Mwanamke Yuko chini ya mwanaume hata nguvu tu halingani,hata matajiri duaniani,hata wasomi ama wanasaysansi pia. Sema huwa anajitutumua Mana kiasili kila nafsi inapenda ijisikie Ni ya muhimu kuliko nyingine
😁
 
Maana yake unakubali kuwa sh*ga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…