Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amka usije ukakojolea mashuka kijanaHuyu dawa yake ni kumroga tu hivyo vyeti vyake feki atakuja kufungia maandazi na kachori akija nyumbani kwangu, atasahau kila kitu na akifika tu unampa kibendi, hajakaa sawa unampa chengine, mpaka siku akili zikimrudia ana miaka 45 hata sura ishaanza kukunjana kashakuwa kibibi hawezi tena kutoka kwenye ndoa anabakia kupiga kelele tu nilikuwa hivi nilikuwa vile
Haha ajabu sana mkuu yani wewe hutaki kuoa na unajaribu kuwashawishi wanaume wenzio wasioe ili ionekane kama vile wanaume hawawahitaji wanawake, ila hapo hapo unalazimisha wanawake waolewe na kufanya ionekane kama vile wanawake ndio wanawahitaji wanaume, sasa ili nikuoneshe kwamba wewe ni mmojawapo ya wanaume niliowaongelea kuwa hamna logic niambie hao wanawake mnaotaka waolewe wataolewa na kina nani ilihali hamtaki wanaume waoe

Hapo mnakuwa siyo mke na mume mkuu, by the way kwanini mnataka iwe hivyo, na mnahisi itakuwa na maslahi na kwa mwanamke pia au ni kwenu tuUpo tayr tuishi kama mke na mume bila yakuwashirikisha
serikali,kanisa,mahakama?
Mkuu ningependa kujua hiyo system inamkandamiza vipi mwanaume kwenye ndoa, maana hili ni swali ambalo nimekuwa nikiwauliza wanaume wengi wanaokataa ndoa ila hawanipi majibu ya kueleweka, labda wewe unaweza ukanijibu vizuri ndoa ina shida gani kwa mwanaumeI've been preaching about love.
I've been preaching about ndoa.
Ndoa ni kitu kizuri mkuu.
Mimi nipo against na system mkuu.
Wakataa ndoa wote.wapo against system.
Namna gani system inawakandamiza wanaume kwenye ndoa.
Maslahi gani tena unayoyazungumzia mkuuHapo mnakuwa siyo mke na mume mkuu, by the way kwanini mnataka iwe hivyo, na mnahisi itakuwa na maslahi na kwa mwanamke pia au ni kwenu tu
Hahaha..Hili hata mimi nimeliona kwa wanawake wenye akili kubwa kupata mume siyo Tanzania tu bali Africa ni mtihani kwa sababu wanaume wengi wa kiafrika hawana logic, yani karne hii bado kuna mwanaume anawaza mke amsaidie majukumu yake ya kutafuta pesa na bado anataka huyo huyo mke ampikie, amfulie, amtii na bado amlee kama mtoto mdogo, ni mwanamke aliye desperate na ndoa na mwenye low self esteem tu ndiye anayeweza kufanya huo upumbavu
Lets go slowMkuu ningependa kujua hiyo system inamkandamiza vipi mwanaume kwenye ndoa, maana hili ni swali ambalo nimekuwa nikiwauliza wanaume wengi wanaokataa ndoa ila hawanipi majibu ya kueleweka, labda wewe unaweza ukanijibu vizuri mkuu
Mkuu ningependa kujua hiyo system inamkandamiza vipi mwanaume kwenye ndoa, maana hili ni swali ambalo nimekuwa nikiwauliza wanaume wengi wanaokataa ndoa ila hawanipi majibu ya kueleweka, labda wewe unaweza ukanijibu vizuri ndoa ina shida gani kwa mwanaume

Hajawahi kukutana nae hata mmoja hawezi kujua kinachoendelea ni niniJaribu siku moja ukipata nafasi zungumza na mwanaume aliyekuwa divorced au ambae yupo kwenye process na pilika za divorce utajifunza
Huyu kama ana ndoa njoo uniue niko nimekaa palee.
Huruma sanaHuyu kama ana ndoa njoo uniue niko nimekaa palee. Hawa ni wale wako mid - late 30s na wameshajikatia tamaa na ndoa. Wameangukia kwenye feminism lakini ndani kwa ndani wana uchungu sana! Ni watu wa kuonea huruma maana hata mayai yao yameshaanza kupoteza ubora. They may go childless hasa kama walishatoa mamimba huko sekondari/vyuoni au kama wamebugia sana ma P2. Ni watu wa kuchezea tu!
😁Mwanamke Yuko chini ya mwanaume hata nguvu tu halingani,hata matajiri duaniani,hata wasomi ama wanasaysansi pia. Sema huwa anajitutumua Mana kiasili kila nafsi inapenda ijisikie Ni ya muhimu kuliko nyingine
Maana yake unakubali kuwa sh*gaNow days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.
Hapo uliposema "mpaka ujishushe"
Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness
A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)
Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.
KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.