Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Itakua unazungukwa na wajinga wajinga ndio maana mimi niko na pisi zangu tatu zote akili kubwa na kwa kua mimi ni akili kubwa zaidi zote nimeziweka ndani
 

Umekosea!
Mara nyingi bad boys and fu*k boys huwa wanadeal na good women.

Ma nice guy ndio huwa wanadeal na malaya.
Kwasababu hawawezi kutofautisha.

Zingatia
1. real recognize real.

2. Laws of attraction

3.newtons 3rd law


Nakuthibitishia hili

Hii ni battle kati ya strong and weak

Who are the strongest?

Namaanisha anaweza akawa nice guy ila strong / under cover bad boy.

Technically nina interact na real men always
Mara nyingi stupid nice guys hawanielewagi na mimi siyo mnafiki kujifanya nina bond na watu nisiyowakubali never.
kwaiyo hao majamaa wanaotaka kuoa wanawake wapambanaji sijawahi kuwasikia sela zao!!.
Na ndio hawa wanajaza nyuzi humu kuomba ushauri mambo hayaendi!.

Decades zote hizi nilizoishi sijawahi kushuhudia matukio hayo ya unyanyasaji wa wanawake.

Hivi naanze kumyanyasa mwanamke.
Thus why mambo yakichange kwakuwa hakuna ndoa ana move on namimi ninafanya mambo mengi yanin kutesana.

Namimi naomba unisaidie jambo

Sijawahi kuielewa concept ya ndoa
Hebu tafadhar tuijadili maana kwangu haimake sense hataaa!
a
Note.
Usijifanye huelewi ndoa zipi ninazozizungumzia. Acha na zile za kwenye bible hizi kama za kina abdala makabila
 
Hebu ngoja kwanza.

Bad boys == strong men
Nice guys == weak men

Wanaotukanana na wanawake hao sio bad boys.
Sijui kundi gani hao viumbe.
Tuwaite fake bad boys
Nice guys wanaowaimitate bad boys

Wale wanao wahanisi wanaume wezao wakiwafumania na wake zao alafu wanaendelea kuishi na hao wanawake.

Wale wanaopigana kisa wanawake
Wengine wanajinyoga.

Wengine wame mu accept mwanaune mwingine kama bwana na mwokozi wa maisha yao.

Kwenye majumba ya ibada ndipo wanakotengenzwa huko.
 
So I am a nice guy!

Mara nyingi huwa najikuta mikononi mwa malaya.
 
Akili wote wanazo, litakapokuja swala la kuchukua hatua sasa kwa yule aliyepekua simu ya mume wake hapo tunangalia busara zao zipoje?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mimi maslahi ninayoyazungumzia hapa ni mwanamke kuwa na furaha, wanaume wote walionijibu ni kama walitetea upande wao tu sikuweza kusikia utetezi wa upande wa pili, kwa sababu haya mambo huwezi kuconclude kwa kusikiliza upande mmoja tu
Wewe unaweza bishana na redio, na ukashinda ubishi looh 🙌🏾 Jadda
 
Uzuri wa Mwanamke(Mke) awe mjinga mjinga kidogo ,ila hawa tulio nao hawana sifa hizo,..Mwanamke alie kwenda shule ngumu kumtawala kila kitu kitakua 50/50 wakati kiasili(Kusudi la Uumbaji) Mwanamke alikuja Kama Msaidizi tu kwa mwanaume..hivi wanawake kubeba Zege,kutembeza Matunda ni dalili kua Wanaume tumefeli kutimiza majukumu yetu..

Elimu ya Mwanamke inatakiwa iwe kidato cha Nne tu au Cheti,humu kuna dada anaitwa binti kiziwi ,kuna nyuzi nilikua nabishana nae,jinsi anavyo uliza maswali,jinsi anavyo jibu na kujenga hoja ni mtu Smart and makini Sana ..Sasa Mwanamke kama huyu wa nini??hawezi kua wife material akupigie pasi apike na watoto duble duble haha ...

Hawa maadui zetu tusiwape elimu wala nafasi,mbeleni itakua ngumu kuwatawala kama Babu zetu...

KATAAA NDOA KIDS ARE OVERRATED...
 
Atakusaidia kazi, mawazo, kufanya mapenzi na kulea watoto.
Mkuu trust me sina mke,Nina mdada wa KAZI mwaka wa nne sasa ananisadia KAZI..wa kufanya nao mapenzi wapo kuna b*ches,fvck buds,flings and so...watoto tushakubaliana kua wapo overrated,hawana maajabau zaidi ya kupiga kelele tu...
 
Mkuu trust me sina mke,Nina mdada wa KAZI mwaka wa nne sasa ananisadia KAZI..wa kufanya nao mapenzi wapo kuna b*ches,fvck buds,flings and so...watoto tushakubaliana kua wapo overrated,hawana maajabau zaidi ya kupiga kelele tu...
Hahahaaa, watoto wanapiga makelele tu!

Kwa hiyo huna mpango wa kupata mtoto hata mmoja?

Unaishi Tanzania?
 
Hahahaaa, watoto wanapiga makelele tu!

Kwa hiyo huna mpango wa kupata mtoto hata mmoja?

Unaishi Tanzania?
Ndio nipo Tanzania..kuhusu watoto sijapanga pia nipo makini hakuna girl aliwahi kusema I miss my days haha

Safe sex is great sex, better wear a latex(Condom), cause you don't want that late text, that 'I think I'm late' text.

Lil Wayne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…