hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Yeah!ni kweli, wangu niliagiza Alibaba na waliniletea kwenye box, naenjoy 😄😄😄Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Kipimo changu kinaweza kisifae kuwa kipimo cha mwingine, but again…. Kuna vitu ambavyo binadamu yeyote “sane” atajisikia vizuri kufanyiwa. Kuheshimiwa, kujaliwa na kueleweka.Sawa, healthy marriage inakuaje??..njia ipi ya kufuata kufikia a radiant marriage??..
Umeolewa???
Unapoteza mda wako, kichwa kigumu hiko hakielewi na kinapenda ligi huku hoja zake hazina reality.Malalamiko yamekuwa mengi sikuhizi kwenye ndoa sababu wanawake wanataka kuwa wanaume.
Na wameshatake over.
Do women hate men who understand they value?
Do women pick men with zero or no relationship experience so they would emasculate em!?
Kwenye historia ya dunia i dont remember when a woman loved a man unconditionally.!.
Ngoja niwe mpole,labda lolote linaweza kutokea between you and I...lol so tell me what kind of husband do you want in futureKuoa/kuolewa si kwa kila mtu and its fine….
Nina tatizo na watu kulazimishana mitazamo humu, waliooa wanalazimisha wenzao waoe, ambae hawataki kuoa wanahubiria wenzao wasioe…. Why? Can’t we co exist bila kufanana?
To each their own is my motto!
Halafu inawezekanaje kila ndoa ikawa na furaha? Kitu gani ambacho kina furaha muda wote na kinafurahisha muda wote? Kwamba ambao hawajaoa wana furaha muda wote? 😅
Hhaha we umenichekesha.Ngoja niwe mpole,labda lolote linaweza kutokea between you and I...lol so tell me what kind of husband do you want in future
Im all of that na sikwambii hahHhaha we umenichekesha.
someone who is sane, realistic and practical.
Wow, stay safe champ.Im all of that na sikwambii hah
if you're looking for the compos mentis type of a guy nipo hapa
Wow, stay safe champ.
That was lame joke boss...Wow, stay safe champ.
No why? Nilimaanisha if so….. then stay safe for me or another person? Au? 😅That was lame joke boss...
For you sounds so cool...No why? Nilimaanisha if so….. then stay safe for me or another person? Au? 😅
Nadhani ilikuwa nzuri….
Ohh no! How can i make it better for you….For you sounds so cool...
Haha huwa siamini hili, huwa naamini hakuna mwanaume humu jf anayependa comments zangu zinazokosoa maovu yao, wengi huwa wananichukia sana hadi wengine wanaonesha wazi kabisamuandiko tu[emoji1787]
Kwa hii comment Utapigwa uchakae, nipo nimekaa pale 🤣Kweli wanaume wa siku akili zao mmmh Bora tujifanye vilaza tuolewe nao😁😁😁
Haha And I don't believe in Zodiac signs,but hey let me believe in you...Ohh no! How can i make it better for you….
I’m a pisces… i’m always considerate 😂
You better do!!!Haha And I don't believe in Zodiac signs,but hey let me believe in you...
kuna vitu sikubaliani na wewe ila ni vichache tuHaha huwa siamini hili, huwa naamini hakuna mwanaume humu jf anayependa comments zangu zinazokosoa maovu yao, wengi huwa wananichukia sana hadi wengine wanaonesha wazi kabisa
Swali gani binti msikivuYou better do!!!
Hah, kwanini huamini? Na haujajibi swali la mwanzo
Niliuliza how can i make it better for you?Swali gani binti msikivu