Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Sawa, healthy marriage inakuaje??..njia ipi ya kufuata kufikia a radiant marriage??..

Umeolewa???
Kipimo changu kinaweza kisifae kuwa kipimo cha mwingine, but again…. Kuna vitu ambavyo binadamu yeyote “sane” atajisikia vizuri kufanyiwa. Kuheshimiwa, kujaliwa na kueleweka.

Otherwise nimejibu kwenye comment uliyoqoute chini.
 
Malalamiko yamekuwa mengi sikuhizi kwenye ndoa sababu wanawake wanataka kuwa wanaume.

Na wameshatake over.

Do women hate men who understand they value?

Do women pick men with zero or no relationship experience so they would emasculate em!?

Kwenye historia ya dunia i dont remember when a woman loved a man unconditionally.!.
Unapoteza mda wako, kichwa kigumu hiko hakielewi na kinapenda ligi huku hoja zake hazina reality.
 
Kuoa/kuolewa si kwa kila mtu and its fine….

Nina tatizo na watu kulazimishana mitazamo humu, waliooa wanalazimisha wenzao waoe, ambae hawataki kuoa wanahubiria wenzao wasioe…. Why? Can’t we co exist bila kufanana?

To each their own is my motto!

Halafu inawezekanaje kila ndoa ikawa na furaha? Kitu gani ambacho kina furaha muda wote na kinafurahisha muda wote? Kwamba ambao hawajaoa wana furaha muda wote? 😅
Ngoja niwe mpole,labda lolote linaweza kutokea between you and I...lol so tell me what kind of husband do you want in future
 
Haha huwa siamini hili, huwa naamini hakuna mwanaume humu jf anayependa comments zangu zinazokosoa maovu yao, wengi huwa wananichukia sana hadi wengine wanaonesha wazi kabisa
kuna vitu sikubaliani na wewe ila ni vichache tu

na nina uhakika humaanishi ni vile unakuwa tongue-tied ukizidishiwa mashambulizi
 
Back
Top Bottom