MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
pimp for real??!!Niliposema tupo sawa.
Nilimaanisha sote tupo against divorce, sote tunapenda watoto walelewe na wazazi wawili na mengine positive kuhusu familia(nuclear family)
We all good men brother.
But i'm a pimp and you a good nice grandpa.
What am telling you is you need to stop and listen to a pimp(me)
This is 2024 grandpa.
Things have changed grandpa.
Am doing this to help your grand kids.
😁😁😁 punguza hasira Mr kambi ya fisi.Hapana siwezi kuwatukana, bali nitawaambia tu ukweli, na huo ndio ukweli wenyewe kwamba all kataa ndoa are fools 😁
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora umejua mapema...wenzio wanakuwaga wabishi wanaishia kutukanaJadda the boss , wewe huwa ni mtata sana, hatuta fika mwisho na jua , wewe ni kiranga wa kike[emoji119][emoji119]
Huyu ni mtoto tena mdogo,kwani uchawi haupo? Asitafute matatizo, hata biblia inatambua wachawi na uchawi tena anyamaze.Kwa hiyo Tanzania tunaizidi Nigeria?
Hao manabii wafanya miujiza wanapokwenda Nigeria huwa wanaenda kufuata hela au kupata nguvu zaidi za kuendesha miujiza yao?
Naona una uelewa mdogo sana kuhusu uchawi bwashee.
Mwanaume asiye oa anakosa nin ambacho aliyeoa anafaidika?
Kwanini uoe, kwanini usioe si mambo yako hayo? Kwanini upewe sababu. Ww unajua unataka nini.Why shoul i get married?
Can you tell me brother!
Kwanini uniambie nisioe ilihali hitaji langu ni ndoa na nina sababu zangu kama ambavyo wewe una sababu zako za kutokuoa?Mim nitakwambia why usioe.
May be 😂pimp for real??!!
Men Going Their Own Way... Naunga mkono hoja..Now days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.
Hapo uliposema "mpaka ujishushe"
Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness
A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)
Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.
KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
Unaonaje red goat tukimroga kabisa huyu mtoto ili autambue uchawi, je ni sawa ?Huyu ni mtoto tena mdogo,kwani uchawi haupo? Asitafute matatizo, hata biblia inatambua wachawi na uchawi tena anyamaze.
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..
Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.
High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.
Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.
NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA
You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
Huyu ni mtoto tena mdogo,kwani uchawi haupo? Asitafute matatizo, hata biblia inatambua wachawi na uchawi tena anyamaze.
I don't need to listen to you, I listen to God more.
Sawa.I don't need to listen to you, I listen to God more.
Hakika it's like unakua on a higher level na unaona hakuna ambae mnaendana!Huu ni ukweli ukiwa na akili timamu tanzania mke mume ni mapambano.
pimp for real??!!
Are you challenging me or what?Mm niliyepo monduli kwenye msiba wa Lowasa nakosa nini ambacho wewe uliyepo hapo dar kwenye shuguli zako unakipata?
Watu tofauti, mahitaji tofauti. Huwezi futa umuhimu wa ndoa kwa anayeihitaji kwa kutumia mahitaji ya asiyeitaka ndoa vile vile huwezi lazimisha umuhimu wa ndoa kwa asiyeihitaji kwa kutumia umuhimu wa anayeihitaji. Mbona mambo mepesi kabisa haya? Mahubiri ya nini?
Kwanini uoe, kwanini usioe si mambo yako hayo? Kwanini upewe sababu. Ww unajua unataka nini.
Kwanini uniambie nisioe ilihali hitaji langu ni ndoa na nina sababu zangu kama ambavyo wewe una sababu zako za kutokuoa?
Ni kweli ila kufikia hio level Kwa wengi ni mgumu!Watanzania
Watanzania tunahitaji
Kusahau yoote tuliyojifunza tukiwa watumwa na kuanza kujifunza upya yale mambo tunayoyahitaji.
Tunahitaji kujifunza mambo tunayoyahitaji .
Mfano:
1. Historia yetu ya kweli
2.Magic
3.Numerology
4.Magic
5.Astronomy
6.Relationship skills
Etc.
Boys need to be taught how to become men.
It is not easy to be devine masculine man.
Niseme
Fikiria kila mtanzania angekuwa kwenye default God mode
Namaanisha bila ya kuwa manipulated na kuwa intoxicated with false nerative and shit.
Ni sawa ila rekebisha hapo kwenye kupata pesa, kuna wajinga wengi tu wako na pesa.....! Kupata pesa ni kitu kisichohitaji akili nyingi ni imani tu..
Ok, embu nijibu, Wewe unataka kupewa sababu za wewe kuoa. Kwanini?Are you challenging me or what?
Sasa mkuu
Mbona kama comment yako haina maana kwangu.
Challenge me bro!
you quote me wrongAre you challenging me or what?
Sasa mkuu
Mbona kama comment yako haina maana kwangu.
Challenge me bro!