Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Niliposema tupo sawa.
Nilimaanisha sote tupo against divorce, sote tunapenda watoto walelewe na wazazi wawili na mengine positive kuhusu familia(nuclear family)
We all good men brother.

But i'm a pimp and you a good nice grandpa.

What am telling you is you need to stop and listen to a pimp(me)
This is 2024 grandpa.
Things have changed grandpa.

Am doing this to help your grand kids.
pimp for real??!!
 
Kwa hiyo Tanzania tunaizidi Nigeria?
Hao manabii wafanya miujiza wanapokwenda Nigeria huwa wanaenda kufuata hela au kupata nguvu zaidi za kuendesha miujiza yao?

Naona una uelewa mdogo sana kuhusu uchawi bwashee.
Huyu ni mtoto tena mdogo,kwani uchawi haupo? Asitafute matatizo, hata biblia inatambua wachawi na uchawi tena anyamaze.
 
Mwanaume asiye oa anakosa nin ambacho aliyeoa anafaidika?

Mm niliyepo monduli kwenye msiba wa Lowasa nakosa nini ambacho wewe uliyepo hapo dar kwenye shuguli zako unakipata?

Watu tofauti, mahitaji tofauti. Huwezi futa umuhimu wa ndoa kwa anayeihitaji kwa kutumia mahitaji ya asiyeitaka ndoa vile vile huwezi lazimisha umuhimu wa ndoa kwa asiyeihitaji kwa kutumia umuhimu wa anayeihitaji. Mbona mambo mepesi kabisa haya? Mahubiri ya nini?

Why shoul i get married?
Can you tell me brother!
Kwanini uoe, kwanini usioe si mambo yako hayo? Kwanini upewe sababu. Ww unajua unataka nini.
Mim nitakwambia why usioe.
Kwanini uniambie nisioe ilihali hitaji langu ni ndoa na nina sababu zangu kama ambavyo wewe una sababu zako za kutokuoa?
 
Now days
Ndoa ni kwa wanaume wapumbavu pekee!.

Hapo uliposema "mpaka ujishushe"

Mimi nimeelewa hivi
Kujishusha=submissiveness

A man should not be submissive to anything or anybody (INCLUDING FRAUDULENT WHITE BOY AND HIS FATHER DIPICTED IN A BLACK BOOK)

Thus why
MGTOW is the best possible way for smart people.

KATAA NDOA IS THE BEST AND SMARTEST WAY FOR A MAN.
Men Going Their Own Way... Naunga mkono hoja..
 
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni

Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza

Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.

Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake wewe una akili nyingi. Pesa hazipatikani kijinga..

Ukiwa na akili na una vipesa utapata shida sana kupata mtu wa kuoa.. maana wenye akili wapo wachache.

High value men ngumu sana kumpata high value woman hapa Tanzania. Sio kwamba hawapo ila wapo wachache sana sokoni.

Kwa ufupi smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni. Wanaopatikana kiurahisi ni wale akili ndogo, Wazembe, wavivu, wapenda kulelewa.

NOTE : AKILI KUBWA HAIMAANISHI ELIMU KUBWA

You can have a PhD and still be an idiot! Education and intelligence are two different things.
 
Huyu ni mtoto tena mdogo,kwani uchawi haupo? Asitafute matatizo, hata biblia inatambua wachawi na uchawi tena anyamaze.

Sio kila kilichoandikwa kwenye biblia ni cha kweli.. mfano biblia imeandika nyoka anaongea.. je ni ukweli kwamba nyoka huwa anaongea ?

biblia imeandikwa na wajanja : watu tu kama mimi na wewe.
 
I don't need to listen to you, I listen to God more.

I don't need to listen to you, I listen to God more.
Sawa.
Mkuu.
Mimi sijali ni God yupi.
Ila ningependa kujua alikueleza nin kuhusu ndoa.
Anyway sir nitaenda kusoma kitabu chake nitarudi

Japo kama ni yule mwenye wivu namjua vema
Anawivu sana kiasi cha kuinsist bikira iwe green flag when lookin for a life partener.
 
pimp for real??!!

Mm niliyepo monduli kwenye msiba wa Lowasa nakosa nini ambacho wewe uliyepo hapo dar kwenye shuguli zako unakipata?

Watu tofauti, mahitaji tofauti. Huwezi futa umuhimu wa ndoa kwa anayeihitaji kwa kutumia mahitaji ya asiyeitaka ndoa vile vile huwezi lazimisha umuhimu wa ndoa kwa asiyeihitaji kwa kutumia umuhimu wa anayeihitaji. Mbona mambo mepesi kabisa haya? Mahubiri ya nini?

Kwanini uoe, kwanini usioe si mambo yako hayo? Kwanini upewe sababu. Ww unajua unataka nini.

Kwanini uniambie nisioe ilihali hitaji langu ni ndoa na nina sababu zangu kama ambavyo wewe una sababu zako za kutokuoa?
Are you challenging me or what?
Sasa mkuu
Mbona kama comment yako haina maana kwangu.

Challenge me bro!
 
Watanzania
Watanzania tunahitaji
Kusahau yoote tuliyojifunza tukiwa watumwa na kuanza kujifunza upya yale mambo tunayoyahitaji.

Tunahitaji kujifunza mambo tunayoyahitaji .
Mfano:
1. Historia yetu ya kweli
2.Magic
3.Numerology
4.Magic
5.Astronomy
6.Relationship skills
Etc.

Boys need to be taught how to become men.
It is not easy to be devine masculine man.

Niseme
Fikiria kila mtanzania angekuwa kwenye default God mode
Namaanisha bila ya kuwa manipulated na kuwa intoxicated with false nerative and shit.
Ni kweli ila kufikia hio level Kwa wengi ni mgumu!
 
Ni sawa ila rekebisha hapo kwenye kupata pesa, kuna wajinga wengi tu wako na pesa.....! Kupata pesa ni kitu kisichohitaji akili nyingi ni imani tu..

Hakuna mtu mjinga aliepata pesa kwa jasho lake.

Wajinga huwa wanapata pesa kwa kurithi tu. Ama kuziokota sehemu. Na huwa hazikai zinaisha fasta

Nje ya hapo mjinga hapati pesa.

Labda kama huelewi maana ya mjinga ni nini ?
 
Back
Top Bottom