Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Sio africa tu mpaka ulaya hawaoi ovyoovyo😂..lkn kusema wanawake wote ni vilaza au wanaume wote ni vilaza hapana...kikubwa ni kujipa muda na kutambua kuwa no body is perfect so kama umeamua kumuoa mvumilie tu maana we pia unamapungufu.
 
Sio ndoa tu, Maisha haya ukitumia akili nyingi utagundua mambo mengi ni Upuuzi.

Hivyo kuwa huru utaishi katika Upweke sababu utajitenga na Vingi, Pia utajitenga na Wengi, Nao hawatakuelewa solution Watakutenga.

Gharama ya maisha ya aina hiyo ni kubwa sana, Sababu Itayagharimu maisha yako yote yaliyobakia.

Swali, Je wangapi wapo tayari kuyaishi maisha ya aina hii?
 
Mi ndo ninayoishi sasa mkuu
 
Sio ndoa tu, Maisha haya ukitumia akili nyingi utagundua mambo mengi ni Upuuzi.
Mfano hai, mwanasiasa ukitumia akili nyingi kuchambua kwanini ccm ipo madarakani pamoja na mapungufu yote utauona udhafu wa upinzani na ukitumia akili nyingi ukauchambua huo udhaifu utakujikuta wewe si rafiki wa ccm wala upinzani halafu utatengwa kisiasa na kuwa mwanaharakati.
 
Nilitafuta kwa miaka zaidi ya 10 kupata intellect woman kwa maisha ila nilishindwa mwishowe nikaona nitafute tu mwenye chura wa darasa la saba, maisha ya ende tu.........wanawake wa Tanzania wengi hawana lingine la ku offer zaidi ya sex tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…