Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

You have to be smart enough to have a wife, if you're a fool you can't live with a woman. Unapaswa kuishi na mwanamke kwa akili.

All kataa ndoa are fools kwa sababu hawana akili za kuishi na mwanamke.
Kuishi na mwanamke ndio kipimo cha akili? Huu ni uwezo mdogo zaidi wa kufikiria, jibu swali wewe ulioko kwenye ndoa unafaidika na nini ambacho sisi må Bachelor hatupati?
 
Kuwa na akili ni pamoja na kutambua kuwa binadamu tuko tofauti and that's okay.

Tofautisheni kuwa na akili na kujiinua. Tungekuwa "all that" Tz isingekuwa hapa ilipo, Ya'll very averages, punguzeni kunyanyua mabega hapa.

Ninyi mnaojitaja mna akili, yawezekana mkawa overthinkers tu, something to do with mental healthy [emoji23]
Binti kiziwi katika ubora wake
 
Kuwa na akili ni pamoja na kutambua kuwa binadamu tuko tofauti and that's okay.

Tofautisheni kuwa na akili na kujiinua. Tungekuwa "all that" Tz isingekuwa hapa ilipo, Ya'll very averages, punguzeni kunyanyua mabega hapa.

Ninyi mnaojitaja mna akili, yawezekana mkawa overthinkers tu, something to do with mental healthy [emoji23]
Hey Queen..you dropped this [emoji146]
 
Kusema kuwa hakuna mke mwema Tanzania ni upumbavu uliotukuka...

Wako wanawake wenye sifa za kuwa wake ila huwezi kuwapata kama na wewe sio mume mwema...

Topic haijazungumzia mke mwema.

Topic imezungumzia kupata Mke ama Mume mwenye akili kwa kiingereza wanaita intelligence

Akili na wema ni vitu viwili tofauti. Hoja imeongelea akili sio wema
 
Labda kwa mwanamke ndiye hutizama hivyo vitu, ila kwa mwanaume hata awe na akili vipi, cha kwanza anacho hitaji heshima na utii vingine ziada.

Ndio maana mwanaume anaweza kumuoa binti aliye ishia la Saba,kidato cha nne au sometimes hana elimu kabisa,cha msingi ana heshima na utii basi.
 
Ni tanzania pekee mwanamke anataka kuhudumiwa mahitaji km mke katika uchumba huku yeye akiamkia na kulala kwao [emoji3064][emoji1785][emoji16][emoji16] women are Insane


Unataka haki za mke katika uchumba wakati hakuna duty unayoifanya[emoji1787]
Sasa kama mnajua kuwa wanaishi kwao mbona huwa mnataka wakija kwenu wawapikie, wawafulie, wawaoshee vyombo, wawafanyie usafi, nk, kama unajijua na wewe ni mwanaume unayetaka kufanyiwa hayo kwenye uchumba we hudumia tu, mnaishi na girlfriends zenu kama wake zenu ila ninyi hamtaki kuwa waume kwao
 
Mkuu
Sio kweli
Wanawake wenye akili kubwa nirahisi sana kupata mume
Ukiona mwanamke mwenye akili kubwa kapata mume ujue huyo mume ni akili kubwa nyenzie, mwanamke mwenye akili kubwa ni ngumu kuishi na mwanaume mwenye akili ndogo hasa mwenye mfumo dume, sababu mfumo dume hauna logic bali wenyewe unalazimisha tu mwanamke ajishushe bila sababu za msingi
 
Sio ndoa tu, Maisha haya ukitumia akili nyingi utagundua mambo mengi ni Upuuzi.

Hivyo kuwa huru utaishi katika Upweke sababu utajitenga na Vingi, Pia utajitenga na Wengi, Nao hawatakuelewa solution Watakutenga.

Gharama ya maisha ya aina hiyo ni kubwa sana, Sababu Itayagharimu maisha yako yote yaliyobakia.

Swali, Je wangapi wapo tayari kuyaishi maisha ya aina hii?
Yapi ??
 
Back
Top Bottom