mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Kataa ndoa is the way forward!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulala na mwanamke yeyote ni kutimiza haja za kimwili, ndoa ni aganoFools sleep with everybody they come across, marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools, wanalala na demu yeyote yule
Kuishi na mwanamke ndio kipimo cha akili? Huu ni uwezo mdogo zaidi wa kufikiria, jibu swali wewe ulioko kwenye ndoa unafaidika na nini ambacho sisi må Bachelor hatupati?You have to be smart enough to have a wife, if you're a fool you can't live with a woman. Unapaswa kuishi na mwanamke kwa akili.
All kataa ndoa are fools kwa sababu hawana akili za kuishi na mwanamke.
Kwa hiyo wenye pesa wote wana akili?Hakuna mtu mjinga aliepata pesa kwa jasho lake.
Wajinga huwa wanapata pesa kwa kurithi tu. Ama kuziokota sehemu. Na huwa hazikai zinaisha fasta
Nje ya hapo mjinga hapati pesa.
Labda kama huelewi maana ya mjinga ni nini ?
Binti kiziwi katika ubora wakeKuwa na akili ni pamoja na kutambua kuwa binadamu tuko tofauti and that's okay.
Tofautisheni kuwa na akili na kujiinua. Tungekuwa "all that" Tz isingekuwa hapa ilipo, Ya'll very averages, punguzeni kunyanyua mabega hapa.
Ninyi mnaojitaja mna akili, yawezekana mkawa overthinkers tu, something to do with mental healthy [emoji23]
Huwa napenda maoni yako kwny mambo ya mahusiano.Loh...kwa nini mimi?
Hey Queen..you dropped this [emoji146]Kuwa na akili ni pamoja na kutambua kuwa binadamu tuko tofauti and that's okay.
Tofautisheni kuwa na akili na kujiinua. Tungekuwa "all that" Tz isingekuwa hapa ilipo, Ya'll very averages, punguzeni kunyanyua mabega hapa.
Ninyi mnaojitaja mna akili, yawezekana mkawa overthinkers tu, something to do with mental healthy [emoji23]
Hivyo eeh? Sikumbuki kama nimewahi kuandika chochote cha maana labda umenifananisha na Heaven SentHuwa napenda maoni yako kwny mambo ya mahusiano.
Wewe mwenyewe. Ila Heaven Sent nae alikuwa vizuri, kapotelea wapi?Hivyo eeh? Sikumbuki kama nimewahi kuandika chochote cha maana labda umenifananisha na Heaven Sent
Kusema kuwa hakuna mke mwema Tanzania ni upumbavu uliotukuka...
Wako wanawake wenye sifa za kuwa wake ila huwezi kuwapata kama na wewe sio mume mwema...
Sis 🤍🤍Hey Queen..you dropped this [emoji146]
Jamani we ni yupi tena? Watu wa JF ninyi kwa kubadili ID 😅🤦🏻♀️Binti kiziwi katika ubora wake
Sasa kama mnajua kuwa wanaishi kwao mbona huwa mnataka wakija kwenu wawapikie, wawafulie, wawaoshee vyombo, wawafanyie usafi, nk, kama unajijua na wewe ni mwanaume unayetaka kufanyiwa hayo kwenye uchumba we hudumia tu, mnaishi na girlfriends zenu kama wake zenu ila ninyi hamtaki kuwa waume kwaoNi tanzania pekee mwanamke anataka kuhudumiwa mahitaji km mke katika uchumba huku yeye akiamkia na kulala kwao [emoji3064][emoji1785][emoji16][emoji16] women are Insane
Unataka haki za mke katika uchumba wakati hakuna duty unayoifanya[emoji1787]
Ukiona mwanamke mwenye akili kubwa kapata mume ujue huyo mume ni akili kubwa nyenzie, mwanamke mwenye akili kubwa ni ngumu kuishi na mwanaume mwenye akili ndogo hasa mwenye mfumo dume, sababu mfumo dume hauna logic bali wenyewe unalazimisha tu mwanamke ajishushe bila sababu za msingiMkuu
Sio kweli
Wanawake wenye akili kubwa nirahisi sana kupata mume
Jesus didn't marry,was he foolish?Marriage is not for fools, all kataa ndoa are fools.
Ushamaliza ankol
Yapi ??Sio ndoa tu, Maisha haya ukitumia akili nyingi utagundua mambo mengi ni Upuuzi.
Hivyo kuwa huru utaishi katika Upweke sababu utajitenga na Vingi, Pia utajitenga na Wengi, Nao hawatakuelewa solution Watakutenga.
Gharama ya maisha ya aina hiyo ni kubwa sana, Sababu Itayagharimu maisha yako yote yaliyobakia.
Swali, Je wangapi wapo tayari kuyaishi maisha ya aina hii?