Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

kuna vitu sikubaliani na wewe ila ni vichache tu

na nina uhakika humaanishi ni vile unakuwa tongue-tied ukizidishiwa mashambulizi
Hahaha kwa mfano vitu gani

Huwa namaanisha mkuu mbona kuna mahali niliwahi kukuambia kuwa misimamo yangu ya jf ndio hiyo hiyo hadi nje ya jf

Mimi si kwamba napenda kubishana ila nakwazika pale mtu anapoleta mihemko badala ya kujadili hoja najikuta nashindwa kumuacha
 
haya sasa😂

hua unapenda kusema me ndo anaweza kuchagua mwenza, ke hawezi....

nakataa
 
JADDA sanamu lako liko hatua za mwisho karibu UWT tunalizindua...
 
Ni ninyi ndio ambao hamtaki kukubaliana na uhalisia, mimi ninayoyaandika siyo mawazo yangu binafsi bali ndio hali halisi iliyopo kwenye jamii, kama ni uongo basi wanaume msingekuwa mnalalamika kila siku kuhusiana na wanawake
Huna unacho kifahamu.
 
haya sasa[emoji23]

hua unapenda kusema me ndo anaweza kuchagua mwenza, ke hawezi....

nakataa
Hapana mkuu itakuwa ulinielewa vibaya, mimi binafsi naamini hata ke anaweza kuchagua mwenza ila nilikuwa naongelea mtazamo wa jamii watu wengi wanaamini kwamba uchaguzi wa mwenza uko mikononi mwa me tu, sasa kwa sababu mimi siongelei mawazo yangu binafsi bali naongelea mitazamo ya jamii basi nikaona niende nao hivyo hivyo wanavyoamini
 
Mkuu concept ya wanawake kuchezewa inakuja pale ambapo wanaume wakishatembea na wanawake wanaanza kuwatukana kuwa hawajitunzi na wanajirahisisha, actually wanaoongoza kusema kuwa wanawake wanachezewa ni wanaume kuliko wanawake wenyewe utasikia kauli kama "hawa wanawake ni wa kuwachezea na kuwaacha tu", kwahiyo si kwamba wanawake wanajivictimize bali wanaume ndio huwa mnachukulia kitendo cha kulala na wanawake wengi kama kuwachezea na mnaona ni sifa

Halafu wanawake kuwa na wanaume wengi haimaanishi kuwa wanashindana na wanaume bali ni matokeo ya ninyi wenyewe kuwachezea nao kujikuta wameangukia kwa wanaume wengi kabla ya kupata wa kuwaoa, kumbuka wanaume mnajua shida ya wanawake wengi ni kuolewa hivyo wengi huwa mnawatongoza kwa gia ya kwamba mtawaoa, halafu mkishawachezea mnawaacha then nao inabidi waendelee kutafuta hadi watakapopata yule mmoja wa kuolewa naye na hapo ndipo shida inapoanzia

Na kingine concept ya wanawake kuchezewa inatokana na imani kwamba mwanaume hata akiwa na miaka 50 anaoa bila tatizo ila mwanamke akifika miaka 30 tu ndoa anaanza kuitafuta kwa mbinde, hivyo mnapodate na wanawake na kuwaacha inaonekana kama mmewachezea sababu mnakuwa mmewapotezea muda na nafasi ya kuolewa mapema, sasa kama mnapodate na wanawake hamyaweki hayo yote into consideration kwanini mkishawaacha mnawatukana tena kwamba ni malaya

Mkuu unaposema nature ya wanaume ni kufvck around ila ya wanawake siyo una uhakika kwamba population inaruhusu wanaume kufvck around bila wanawake nao kufanya hivyo, hivi mnaotoa hii kauli huwa mnajua hata population ratio ya me na ke duniani na hata kwa nchi moja moja hiyo nature mnayoisingizia mbona imewasaliti kwenye upande wa population, maana ukipiga hesabu kila mwanaume akisema awe na wanawake zaidi ya mmoja basi ni either wanawake nao watajikuta wanakuwa na mwanaume zaidi ya mmoja au kuna wanaume watakosa wanawake kitu ambacho hakiwezekani

By the way tendo linalohusisha jinsia mbili haliwezi kuwa zuri kwa jinsia moja halafu hapo hapo liwe baya kwa jinsia nyingine hii concept logically haiwezekani ni either liwe zuri kwa wote au baya kwa wote kulingana na mazingira, yani wanaume wakizini ni sawa ila wanawake wakizini ni kosa kwani wanaume wanafanya hilo tendo na kina nani na wanawake wanafanya hilo tendo na kina nani na je kama wanawake wote wakisema wajitunze wanaume watafanya na kina nani, mwanaume na mwanamke wako tofauti ila wanategemeana kwenye mambo mengi kuanzia kujamiiana hadi kuzaliana yani ni sawa na pande mbili za shilingi ziko tofauti ila zinategemeana sasa kusema kwamba mwanaume akizini ni sawa ila mwanamke akizini ni kosa ni sawa na kusema upande mmoja wa shilingi uko sawa kuwepo pale ila upande mwingine hauko sawa kuwepo pale is that possible

Kila nikiku introduce new concept badala ya kuiprocess nakuichuja

Your defence mechanism kick in every time when i try to put women accountable for their messy.

Hujaona logic ya mimi kusema it's ok for a boy to fvck around and not a girl???
Simple!
Mwanaume hana bikira
Sio vizur kwa msichana akiipoteza bikira kabla ya kuolewa.

Kiroho pia sio kitu kizuri maana athari za machafuko na muingiliano wa roho za wanaume tofauti tofauti.

Am not sexist i dont promote sex or
cheating.
But
It's kinda feel great when a brother fvck around not a sister.

It hit different when your son fvck around vs when ya daughter do!

Logic gani unayotaka upewe?
Anhaa!

Kibaiolojia uke unatanuka kadili unavyotumika na watu wengi na tofauti tofauti.

Kwaiyo usitake kuleta usawa wa mwanamke na mwanaume kimaumbile.

Ukimsogelea mwanamke aliyetafunwa na wanaume wengi kwa sisi wenye upeo wakuona ni kichefuchefu na nikinyaa bcoz i see other brothers sperms all over her a*s

It's disgusting to talk about it
Naomba niishie hapa.

Miaka 30 mbali sana.
Ndoa huwa zinatafutwa kwa torch na kwa shida pindi mwanamkke anaaproach 27.
Akishavuka hapo ni kuoelewa na wastaafu.

Hivi unajua kuna wanawake wengi hawahitaji ndoa?

1. Wanachuo!(18yrs - 24)
Hawa mara nyingi ndio wanakuwa kwenye kile kipindi sahihi kuolewa
Lkn huwa hawataki ndoa kwa kisingizio cha kusaka future.
Hawa ni kimbilio la kataa ndoa wengi .
Why?
Kwasababu tunakuwa tunafanana kimtazamo wa kutohitaji ndoa
We just having fun and sh*t.

Nobody can stop reggae sis!
Sex is a gift
Both men and women need sex.
Sex is free
Nashindwa kuelewa baadhi ya watu mmei monetize na kuiofficialize
sex imekuwa overrated .

2. Feminist
Hawa wako possesed na jezebel spirit
Hawa hawahitaji ndoa ila wako sooooo weak wakikutana na bad boy.
Kila uchwao wanapandikiza jezebel spirit kwa innocent girls outa here kwa kupitia mgongo wa haki za wanawake
Fursa za ajira na kujitegemea.
Bla bla nyingii
Ikifika ucku wakataa ndoa tunawatafuna vizurii kabisa.
Chakusikitisha kundi hili huwa linakuwa funded na ma nice guys.

Haya makundi mengine mimi siyatumiagi naishia hapa.
 
Mkuu i thought ulisema wanawake wote wanafanana, sasa ni kipi kinachofanya mshindwe kuoa wanawake design ya Oprah Winfrey ila muweze kuoa wanawake design ya Mary wa Tabata, ikiwa mwanamke mwenye range na mwenye ist wote wako sawa mbele ya mwanaume

Yes!
Sijabadili msimamo
Wanawake wote sawa najua hupendi hii kauli.
Elewa wote mpo sawa.

Kuhusu opra
Hapana.

Sijui nisemeje
nafsi yangu haikuwahi kumuelewa huyo bibi. Baadae nilipojitambua nikaja kugundua nilikuwa sahihi.
 
Kila nikiku introduce new concept badala ya kuiprocess nakuichuja

Your defence mechanism kick in every time when i try to put women accountable for their messy.

Hujaona logic ya mimi kusema it's ok for a boy to fvck around and not a girl???
Simple!
Mwanaume hana bikira
Sio vizur kwa msichana akiipoteza bikira kabla ya kuolewa.

Kiroho pia sio kitu kizuri maana athari za machafuko na muingiliano wa roho za wanaume tofauti tofauti.

Am not sexist i dont promote sex or
cheating.
But
It's kinda feel great when a brother fvck around not a sister.

It hit different when your son fvck around vs when ya daughter do!

Logic gani unayotaka upewe?
Anhaa!

Kibaiolojia uke unatanuka kadili unavyotumika na watu wengi na tofauti tofauti.

Kwaiyo usitake kuleta usawa wa mwanamke na mwanaume kimaumbile.

Ukimsogelea mwanamke aliyetafunwa na wanaume wengi kwa sisi wenye upeo wakuona ni kichefuchefu na nikinyaa bcoz i see other brothers sperms all over her a*s

It's disgusting to talk about it
Naomba niishie hapa.

Miaka 30 mbali sana.
Ndoa huwa zinatafutwa kwa torch na kwa shida pindi mwanamkke anaaproach 27.
Akishavuka hapo ni kuoelewa na wastaafu.

Hivi unajua kuna wanawake wengi hawahitaji ndoa?

1. Wanachuo!(18yrs - 24)
Hawa mara nyingi ndio wanakuwa kwenye kile kipindi sahihi kuolewa
Lkn huwa hawataki ndoa kwa kisingizio cha kusaka future.
Hawa ni kimbilio la kataa ndoa wengi .
Why?
Kwasababu tunakuwa tunafanana kimtazamo wa kutohitaji ndoa
We just having fun and sh*t.

Nobody can stop reggae sis!
Sex is a gift
Both men and women need sex.
Sex is free
Nashindwa kuelewa baadhi ya watu mmei monetize na kuiofficialize
sex imekuwa overrated .

2. Feminist
Hawa wako possesed na jezebel spirit
Hawa hawahitaji ndoa ila wako sooooo weak wakikutana na bad boy.
Kila uchwao wanapandikiza jezebel spirit kwa innocent girls outa here kwa kupitia mgongo wa haki za wanawake
Fursa za ajira na kujitegemea.
Bla bla nyingii
Ikifika ucku wakataa ndoa tunawatafuna vizurii kabisa.
Chakusikitisha kundi hili huwa linakuwa funded na ma nice guys.

Haya makundi mengine mimi siyatumiagi naishia hapa.

Na hili ndio tatizo lenu wanaume mnataka kila mnachosema kuhusu mahusiano basi wanawake wakubali tu bila kuhoji yani mnaassume kama vile, ni ninyi tu ndio ambao mko upande sahihi kwenye suala la mahusiano ila wanawake hawajui lolote sasa hapo mbona sijaona logic yoyote zaidi ya kuniletea mitazamo binafsi ya watu waliyojitengenezea vichwani mwao, hivi unafahamu maana ya logic yani mimi najadili haya masuala objectively wewe unajadili subjectively hatutafika popote

Mimi nimekuuliza hivi kama mwanaume kufvck around ni sawa ila mwanamke kufvck around ni kosa je wanawake wote wakisema wajitunze hao wanaume watafvck around na kina nani, wewe unaniletea habari za bikira unashindwa kujua kwamba hapa suala siyo bikira bali suala ni kwamba wanaume wakitaka wanawake wajitunze basi maana yake nao watalazimika kujitunza sababu automatically watakosa wanawake wa kufanya nao, pia hoja yangu ya population hujanijibu mkuu how comes hiyo 'nature' imewasaliti kwenye upande wa population

Huko kwenye mambo ya kiroho ndio hata sijui kama unaelewa unachokizungumza hivi unafahamu kwenye biblia kuna andiko linasema "aziniye na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo litakalomuangamiza nafsi yake", obviuosly aliyezungumziwa hapo ni mwanaume lakini wanaume huwa mnajifanya kama vile haya maandiko hayakuandikwa kwa ajili yenu yaliandikwa kwa ajili ya wanawake tu, kwa sababu hata kwa wanaume kiroho si vizuri kulala na wanawake wengi au unataka kusema hakuna wanaume wanaopata mikosi sababu ya kufvck around na wanawake

Halafu unaposema kwamba it is disgusting mwanamke kuwa na wanaume wengi unaongelea kwenye jamii gani mkuu, kwa sababu kwa wazungu walioendelea mwanamke kuwa na wanaume wengi siyo habari na ni kitu cha kawaida wala hawalichukulii hilo suala kama mnavyolichukulia wanaume wa kiafrika, mind you hapa tunaongelea wanawake wote duniani hatuongelei wanawake wa jamii fulani tu kwahiyo unapojenga hoja zako jitahidi kuwalenga watu wote duniani na siyo mitazamo ya baadhi ya jamii tu

Sasa kama mnajua kuwa sex is free na sex is a gift kwanini hiyo hiyo sex akiifanya mwanaume ni sawa ila akiifanya mwanamke ni kosa yani hapo tu ndipo mnapoonekana hamna logic mkuu sijui kama unanielewa, sababu ya wanawake kuimonetize sex iko wazi kabisa na ndio hiyo hiyo ya kusema kwamba sex akifanya mwanaume ni sawa ila akifanya mwanamke ni kosa, yani mnawafanya wanawake waone kama vile wakifanya sex kuna kitu wanalose ilihali ninyi kuna kitu mnagain hii inawapelekea wao kutafuta fidia kwenye pesa ila walau nao waone wanagain kitu wasiishie kulose tu
 
Yes!
Sijabadili msimamo
Wanawake wote sawa najua hupendi hii kauli.
Elewa wote mpo sawa.

Kuhusu opra
Hapana.

Sijui nisemeje
nafsi yangu haikuwahi kumuelewa huyo bibi. Baadae nilipojitambua nikaja kugundua nilikuwa sahihi.
Mkuu suala siyo wewe kubadili msimamo au mimi kutopenda hiyo kauli suala ni either ulichokiandika hukijui au ni uongo kwa sababu umejicontradict mwenyewe, huwezi kusema wanawake wote ni sawa halafu hapo hapo kuna aina ya wanawake unawachukulia na unawajadili katika namna tofauti mimi sikumaanisha Oprah kama Oprah ila nilimaanisha wanawake design yake, wewe inaonekana wanawake wa design hiyo huwezi kudeal nao kuna aina fulani tu ya wanawake ambao ndio unawezana nao sasa kwanini iwe hivyo ilihali mbele ya macho yako wanawake wote ni sawa tu hawana utofauti wowote
 
She reminds me of my lil sister.

Si unaelewa tena dada zetu huwa hawsikilzagi ushauri mpaka yakiwafika.
Haha unfortunately i ain't your lil sister mimi nina misimamo yangu na ninafahamu ninayoyaongea na ninayoyaandika yani mimi kwangu nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi, huwezi kunilazimisha niseme nyeupe ni nyeusi au kinyume chake niko real huwa sipindishi maneno ili kufurahisha watu ninaojadiliana nao, mtu akinielewa sawa asiponielewa sawa huwa nasimama kwenye ukweli na haki hata kama itamaanisha kuwa kinyume na watu wote
 
Bless you!

See you another thread .
 
Back
Top Bottom