Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Lol I skipped it purposely..Niliuliza how can i make it better for you?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol I skipped it purposely..Niliuliza how can i make it better for you?
Hahah sawa….Lol I skipped it purposely..
Hahaha kwa mfano vitu ganikuna vitu sikubaliani na wewe ila ni vichache tu
na nina uhakika humaanishi ni vile unakuwa tongue-tied ukizidishiwa mashambulizi
haya sasa😂Hahaha kwa mfano vitu gani
Huwa namaanisha mkuu mbona kuna mahali niliwahi kukuambia kuwa misimamo yangu ya jf ndio hiyo hiyo hadi nje ya jf
Mimi si kwamba napenda kubishana ila nakwazika pale mtu anapoleta mihemko badala ya kujadili hoja najikuta nashindwa kumuacha
🤣🤣🤣Nawamudu na akili zao Hizo....Ili nikuzidiwa tafadhali tuma majeshiKwa hii comment Utapigwa uchakae, nipo nimekaa pale 🤣
Na siku hizi sijisikii kuongea, sitakutetea.
JADDA sanamu lako liko hatua za mwisho karibu UWT tunalizindua...Hahaha kwa mfano vitu gani
Huwa namaanisha mkuu mbona kuna mahali niliwahi kukuambia kuwa misimamo yangu ya jf ndio hiyo hiyo hadi nje ya jf
Mimi si kwamba napenda kubishana ila nakwazika pale mtu anapoleta mihemko badala ya kujadili hoja najikuta nashindwa kumuacha
Huna unacho kifahamu.Ni ninyi ndio ambao hamtaki kukubaliana na uhalisia, mimi ninayoyaandika siyo mawazo yangu binafsi bali ndio hali halisi iliyopo kwenye jamii, kama ni uongo basi wanaume msingekuwa mnalalamika kila siku kuhusiana na wanawake
Hapana mkuu itakuwa ulinielewa vibaya, mimi binafsi naamini hata ke anaweza kuchagua mwenza ila nilikuwa naongelea mtazamo wa jamii watu wengi wanaamini kwamba uchaguzi wa mwenza uko mikononi mwa me tu, sasa kwa sababu mimi siongelei mawazo yangu binafsi bali naongelea mitazamo ya jamii basi nikaona niende nao hivyo hivyo wanavyoaminihaya sasa[emoji23]
hua unapenda kusema me ndo anaweza kuchagua mwenza, ke hawezi....
nakataa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]JADDA sanamu lako liko hatua za mwisho karibu UWT tunalizindua...
Mkuu concept ya wanawake kuchezewa inakuja pale ambapo wanaume wakishatembea na wanawake wanaanza kuwatukana kuwa hawajitunzi na wanajirahisisha, actually wanaoongoza kusema kuwa wanawake wanachezewa ni wanaume kuliko wanawake wenyewe utasikia kauli kama "hawa wanawake ni wa kuwachezea na kuwaacha tu", kwahiyo si kwamba wanawake wanajivictimize bali wanaume ndio huwa mnachukulia kitendo cha kulala na wanawake wengi kama kuwachezea na mnaona ni sifa
Halafu wanawake kuwa na wanaume wengi haimaanishi kuwa wanashindana na wanaume bali ni matokeo ya ninyi wenyewe kuwachezea nao kujikuta wameangukia kwa wanaume wengi kabla ya kupata wa kuwaoa, kumbuka wanaume mnajua shida ya wanawake wengi ni kuolewa hivyo wengi huwa mnawatongoza kwa gia ya kwamba mtawaoa, halafu mkishawachezea mnawaacha then nao inabidi waendelee kutafuta hadi watakapopata yule mmoja wa kuolewa naye na hapo ndipo shida inapoanzia
Na kingine concept ya wanawake kuchezewa inatokana na imani kwamba mwanaume hata akiwa na miaka 50 anaoa bila tatizo ila mwanamke akifika miaka 30 tu ndoa anaanza kuitafuta kwa mbinde, hivyo mnapodate na wanawake na kuwaacha inaonekana kama mmewachezea sababu mnakuwa mmewapotezea muda na nafasi ya kuolewa mapema, sasa kama mnapodate na wanawake hamyaweki hayo yote into consideration kwanini mkishawaacha mnawatukana tena kwamba ni malaya
Mkuu unaposema nature ya wanaume ni kufvck around ila ya wanawake siyo una uhakika kwamba population inaruhusu wanaume kufvck around bila wanawake nao kufanya hivyo, hivi mnaotoa hii kauli huwa mnajua hata population ratio ya me na ke duniani na hata kwa nchi moja moja hiyo nature mnayoisingizia mbona imewasaliti kwenye upande wa population, maana ukipiga hesabu kila mwanaume akisema awe na wanawake zaidi ya mmoja basi ni either wanawake nao watajikuta wanakuwa na mwanaume zaidi ya mmoja au kuna wanaume watakosa wanawake kitu ambacho hakiwezekani
By the way tendo linalohusisha jinsia mbili haliwezi kuwa zuri kwa jinsia moja halafu hapo hapo liwe baya kwa jinsia nyingine hii concept logically haiwezekani ni either liwe zuri kwa wote au baya kwa wote kulingana na mazingira, yani wanaume wakizini ni sawa ila wanawake wakizini ni kosa kwani wanaume wanafanya hilo tendo na kina nani na wanawake wanafanya hilo tendo na kina nani na je kama wanawake wote wakisema wajitunze wanaume watafanya na kina nani, mwanaume na mwanamke wako tofauti ila wanategemeana kwenye mambo mengi kuanzia kujamiiana hadi kuzaliana yani ni sawa na pande mbili za shilingi ziko tofauti ila zinategemeana sasa kusema kwamba mwanaume akizini ni sawa ila mwanamke akizini ni kosa ni sawa na kusema upande mmoja wa shilingi uko sawa kuwepo pale ila upande mwingine hauko sawa kuwepo pale is that possible
Mkuu i thought ulisema wanawake wote wanafanana, sasa ni kipi kinachofanya mshindwe kuoa wanawake design ya Oprah Winfrey ila muweze kuoa wanawake design ya Mary wa Tabata, ikiwa mwanamke mwenye range na mwenye ist wote wako sawa mbele ya mwanaume
Unapoteza mda wako, kichwa kigumu hiko hakielewi na kinapenda ligi huku hoja zake hazina reality
Kila nikiku introduce new concept badala ya kuiprocess nakuichuja
Your defence mechanism kick in every time when i try to put women accountable for their messy.
Hujaona logic ya mimi kusema it's ok for a boy to fvck around and not a girl???
Simple!
Mwanaume hana bikira
Sio vizur kwa msichana akiipoteza bikira kabla ya kuolewa.
Kiroho pia sio kitu kizuri maana athari za machafuko na muingiliano wa roho za wanaume tofauti tofauti.
Am not sexist i dont promote sex or
cheating.
But
It's kinda feel great when a brother fvck around not a sister.
It hit different when your son fvck around vs when ya daughter do!
Logic gani unayotaka upewe?
Anhaa!
Kibaiolojia uke unatanuka kadili unavyotumika na watu wengi na tofauti tofauti.
Kwaiyo usitake kuleta usawa wa mwanamke na mwanaume kimaumbile.
Ukimsogelea mwanamke aliyetafunwa na wanaume wengi kwa sisi wenye upeo wakuona ni kichefuchefu na nikinyaa bcoz i see other brothers sperms all over her a*s
It's disgusting to talk about it
Naomba niishie hapa.
Miaka 30 mbali sana.
Ndoa huwa zinatafutwa kwa torch na kwa shida pindi mwanamkke anaaproach 27.
Akishavuka hapo ni kuoelewa na wastaafu.
Hivi unajua kuna wanawake wengi hawahitaji ndoa?
1. Wanachuo!(18yrs - 24)
Hawa mara nyingi ndio wanakuwa kwenye kile kipindi sahihi kuolewa
Lkn huwa hawataki ndoa kwa kisingizio cha kusaka future.
Hawa ni kimbilio la kataa ndoa wengi .
Why?
Kwasababu tunakuwa tunafanana kimtazamo wa kutohitaji ndoa
We just having fun and sh*t.
Nobody can stop reggae sis!
Sex is a gift
Both men and women need sex.
Sex is free
Nashindwa kuelewa baadhi ya watu mmei monetize na kuiofficialize
sex imekuwa overrated .
2. Feminist
Hawa wako possesed na jezebel spirit
Hawa hawahitaji ndoa ila wako sooooo weak wakikutana na bad boy.
Kila uchwao wanapandikiza jezebel spirit kwa innocent girls outa here kwa kupitia mgongo wa haki za wanawake
Fursa za ajira na kujitegemea.
Bla bla nyingii
Ikifika ucku wakataa ndoa tunawatafuna vizurii kabisa.
Chakusikitisha kundi hili huwa linakuwa funded na ma nice guys.
Haya makundi mengine mimi siyatumiagi naishia hapa.
Mkuu suala siyo wewe kubadili msimamo au mimi kutopenda hiyo kauli suala ni either ulichokiandika hukijui au ni uongo kwa sababu umejicontradict mwenyewe, huwezi kusema wanawake wote ni sawa halafu hapo hapo kuna aina ya wanawake unawachukulia na unawajadili katika namna tofauti mimi sikumaanisha Oprah kama Oprah ila nilimaanisha wanawake design yake, wewe inaonekana wanawake wa design hiyo huwezi kudeal nao kuna aina fulani tu ya wanawake ambao ndio unawezana nao sasa kwanini iwe hivyo ilihali mbele ya macho yako wanawake wote ni sawa tu hawana utofauti wowoteYes!
Sijabadili msimamo
Wanawake wote sawa najua hupendi hii kauli.
Elewa wote mpo sawa.
Kuhusu opra
Hapana.
Sijui nisemeje
nafsi yangu haikuwahi kumuelewa huyo bibi. Baadae nilipojitambua nikaja kugundua nilikuwa sahihi.
Haha unfortunately i ain't your lil sister mimi nina misimamo yangu na ninafahamu ninayoyaongea na ninayoyaandika yani mimi kwangu nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi, huwezi kunilazimisha niseme nyeupe ni nyeusi au kinyume chake niko real huwa sipindishi maneno ili kufurahisha watu ninaojadiliana nao, mtu akinielewa sawa asiponielewa sawa huwa nasimama kwenye ukweli na haki hata kama itamaanisha kuwa kinyume na watu woteShe reminds me of my lil sister.
Si unaelewa tena dada zetu huwa hawsikilzagi ushauri mpaka yakiwafika.
Haha unfortunately i ain't your lil sister mimi nina misimamo yangu na ninafahamu ninayoyaongea na ninayoyaandika yani mimi kwangu nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi, huwezi kunilazimisha niseme nyeupe ni nyeusi au kinyume chake niko real huwa sipindishi maneno ili kufurahisha watu ninaojadiliana nao, mtu akinielewa sawa asiponielewa sawa huwa nasimama kwenye ukweli na haki hata kama itamaanisha kuwa kinyume na watu wote
Swala sio kuamini wewe swala ni kuuona uchawi unavyofanya kazi ni juu yako kuamini.Tatizo ni kwamba maarifa huna.kama unaamini uchawi, tambua wewe ndio mchawi mwenyewe
Swala sio kuamini wewe swala ni kuuona uchawi unavyofanya kazi ni juu yako kuamini.Tatizo ni kwamba maarifa huna.
Yeah!ni kweli, wangu niliagiza Alibaba na waliniletea kwenye box, naenjoy 😄😄😄
Team; Marriage is not an achievement, a healthy marriage is.
I hope umenielewa japo nimesema kwa uchache.