Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu,
Ukiweka pesa yako benki, walau kwa riba ya 7% una uhakika mwisho wa mwaka una milioni 7 waweza kufanyia kitu cha maana, (hizo benki wanaotoa 14% ni danganya toto tu, kihasibu ni 6% hadi 8%)
Ukiweka pesa yako benki, walau kwa riba ya 7% una uhakika mwisho wa mwaka una milioni 7 waweza kufanyia kitu cha maana, (hizo benki wanaotoa 14% ni danganya toto tu, kihasibu ni 6% hadi 8%)