Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Ingekuwa kila mtu aliyejenga alipata hiyo pesa lets say Mil 100 Kila mtu angefanya unalolifikiria, unfortunately wengi huwa ni pesa ya kuunga unga sana baadae tukianza kupitia risiti na kumbukumbu nyingine ndo tunabaini tumejenga nyumba ya Tsh Mil 100! Jenga yetu ni ya kuungaunga sana Boss....Ukiweka pesa yako benki, walau kwa riba ya 7% una uhakika mwisho wa mwaka una milioni 7 waweza kufanyia kitu cha maana, (hizo benki wanaotoa 14% ni danganya toto tu, kihasibu ni 6% hadi 8%)