Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Million 25 unajenga nyumba ya uhakika sana siyo ya kibabaishaji, ila utaamua mwenyewe kwenye finishing ile bei gani ukitaka ile million 10 zingine itakulaKuna zile za mbagala 😀 😀
Yani upate 200% 😂 ukiona biashara inakupa zaidi ya 20% ya pesa yako ujue mtaji wako upo kwenye risk kubwa. Hii nikwamujibu wa wataalamKuweka karibu milioni 100 kwenye fxed account na kuishia kupata milion 7 kwa mwaka ni uvivu ama uoga wa kuwekeza hiyo pesa. Kuna mizunguko ukiiweka hiyo milioni 100 kwa mwaka unakua umefunga milioni 300+.
Kujenga nyumba ya kupangisha ni biashara za wastaafu na waoga wa kuchukua risk.
Inawezekana kabisa. Inategemea umeijenga wapi na demand ipoje.Hana akili huyu nyumba ya million mia uikodishe kwa laki 5 huu si wehu?.
Aiweke hapa nyumba ya milioni mia tuione
Nyumba ya kupanga inatakiwa iwe na uwezo wa kukurudishia hiyo pesa haraka kupitia mkopo yenyewe ipeleke zaidi ya nusu ya marejesho.Siri ya hii biashara ni kiwanja umenunua wapi. Tatizo huwa linaanza kwenye kubana pesa ya kiwanja halafu unajikuta umenunua sehemu hakuna uhitaji, lazima uone ni hasara. Ila ukinunua sehemu ina uhitaji wa nyumba unakuwa ni wale wenye nyumba wanaolalamikiwa kuwa hawataki pesa za mwezi mwezi ni miezi 6 au mwaka na ni ghali.
Fixed ya Tanzania commercial bank ni 11%
View: https://www.instagram.com/p/CyfhMdTrXlu/?utm_source=ig_web_button_share_sheet
Maeneo ya pale karibu na mbuyuni tegeta, chumba sebule choo ndani,jiko, kodi laki mbili kwa mwezi, na maeneo ya karibu na pale piaVi apartment vya 250k vikoje? vyumba vingapi?
Sawa mtaalam. Kuna jamaa ana la kaka yake. Alipataga hela ya dhahabu zamani ikayeyuka kwenye mambo ya kula bata na misambwanda 😂.Inabidi uwe makini na hizo interest rate tangazo linakwambia wekeza kwa miaka miwili/mitatu upate interest ya 11%.
Hiyo ni offer nzuri ila ni short term watakulipa hiyo 11% kwa miaka miwili au mitatu after that wanaweza kushusha kurudi kwenye riba zao za kawaida. Hiyo rate sio fixed permanently.
Unahitaji fixed rate kama ni uwekezaji wa maji mrefu, ideally with compound interest.
Lazima ujue conditions zingine pia kama easy access ya hela, vipi ukikwama unaweza toa hela airuhusiwi kwa miaka mingi sana.
Kuna different savings products sokoni ata zinazotolewa na bank moja juu, achilia zote kwa ujumla wao. Investigate, elewa faida zake, circumstances zako; before committing to any.
Usije kujikuta kama ‘Allen Iverson’ katenga hela kuweka bank savings akiwa ana mshahara mzuri wa NBA, mkataba wa savings auruhusu kutoa hela kwa miaka 25. Kaastafu kikapu, kafilisika akiba yake ipo bank hana access nayo mpaka akifikisha 55 years (or somen).
Sasa badala ya kujazana upepo ni bora kuchunguza. Ni muda wa Tanzania kuwa na financial advisors, watanzania wameanza kuamka kwa kufikiria maisha yao ya mbele baada ya kustaafu 👏👏👏 wanachokosa ni financial literacy ya kuwaongoza katika maamuzi.
Kama vipi TBC ianzishe kipindi cha ‘personal finance’ hiyo audience inayotafuta hiyo elimu ipo inaonekana JF being a sample size.
Hivyo ndio vitu vya kuzingatia ‘fixed’ interest rate na ‘ easyaccess’ ya hela. Account zingine ukishaweka hela kwenye savings unakosa access nayo tena, ukitaka kutoa hata hiyo ‘interest earned’ ni breach ambayo ina fines and fees.Sawa mtaalam. Kuna jamaa ana la kaka yake. Alipataga hela ya dhahabu zamani ikayeyuka kwenye mambo ya kula bata na misambwanda 😂.
Baada ya muda mrefu dhahabu ikatema. Akachukua 120m akaweka fixed TCB wanampa 12m kwa mwaka jamaa anapata almost 1m kwa mwezi bila stress.
Ila ushauri wako ni mzuri kwa uwekezaji.
Ila Bank za Tanzania hawaweki wazi. Wao ni matangazo mengi. Halafu wanasema fika katika matawi yetu kwa maelezo zaidi. Ukifika huko hawaelezei kwa kina wanakuwa na konakona.Hivyo ndio vitu vya kuzingatia ‘fixed’ interest rate na ‘ easyaccess’ ya hela. Account zingine ukishaweka hela kwenye savings unakosa access nayo tena, ukitaka kutoa hata hiyo ‘interest earned’ ni breach ambayo ina fines and fees.
Muhimu ni kuelewa savings products offers in details, ndio kama ilo Tangazo la NBC alijasema hiyo 11% ni fixed rate, limesema kwa miaka 2/3 what happens next inabidi upewe info zaidi na bank.
Banks nyingi hazina ethics za kukuelezea kila kitu, lakini wanajukumu la kukupa majibu sahihi kwa maswali yako.Ila Bank za Tanzania hawaweki wazi. Wao ni matangazo mengi. Halafu wanasema fika katika matawi yetu kwa maelezo zaidi. Ukifika huko hawaelezei kwa kina wanakuwa na konakona.
Wanasisitiza Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Benki zingeweka kilakitu wazi hukohuko kwenye matangazo. Au kwenye Instagram, Facebook au wawe na video YouTube inayoelezea kwa kina. Au pdf za kudownload zinazoelezea kwa kina. Masuala ya fika katika matawi yetu ni mambo ya kijinga sana!
Hana akili andiko lake ni useless...hyo 7m ya interest anayosema ni mpaka ifike mwisho wa mwaka ndo uje kuipata its better uwekeze kwa real estate upokee passive income then that money unaweza fanyia kitu kingine kikaingiza pesa kuliko uweke bank 100m then usubir 7m mwisho wa mwaka [emoji23][emoji23]Nyumba ya kodi ya 250k uijenge kwa 100M??
100M unajenga viapartment vya 250k hata vitatu.... 750k per month
Sekta ya Benki ya Tanzania ina ubabaishaji mwingi, bila ya connection haupati huduma nzuri.Banks nyingi hazina ethics za kukuelezea kila kitu, lakini wanajukumu la kukupa majibu sahihi kwa maswali yako.
Kabla ya kuweka hela yako unaweza omba kuelezewa ‘hivyo vigezo na masharti’ au wakupe copy yake usome.
Sasa ili uulize maswali na kwenyewe unahitaji ‘financial literacy’. Nchi za wenzetu info kama hizo kuna advisors wanaochambua hayo mambo kwenye magazeti au kuna dedicated websites zinazoelezea different savings, investments and bond products.
Kuna wataalamu wa kujitolea pia unaweza wauliza maswali juu ya product fulani wakakujibu, vinginevyo kuna financial advisors wao wanachunguza products za aina zote ukienda kwao na kuwapa charged consultation fees wanakudadavulia na kukupa ushauri where best to put your money.
Banks nyingi pia zina financial advisors kuwaona ni bure Iła ni kwa ajili ya matajiri tu, banks zingine kama wanakwambia maelezo utayapata ukienda kwenye branch kama una maswali sahihi watakujibu.
Ni muhimu TBC au hizi mainstream media kuanzisha vipindi vya ‘personal finance’ kuleta wataalamu wa kutoa elimu. Very impressive kuona wengi mmeamka kwenye haya mambo na kufikiria namna mtakavyo gharamia maisha yenu mambo yakienda mrama ghafla au jinsi ya kuendesha maisha ya uzeeni, kinachokosekana ni elimu ya mwongozo watu wawe makini na vitu gani.
Mkuu bank wapo wazi wala hawana longolongo kabisa ukifika ofisini kwaoIla Bank za Tanzania hawaweki wazi. Wao ni matangazo mengi. Halafu wanasema fika katika matawi yetu kwa maelezo zaidi. Ukifika huko hawaelezei kwa kina wanakuwa na konakona.
Wanasisitiza Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Benki zingeweka kilakitu wazi hukohuko kwenye matangazo. Au kwenye Instagram, Facebook au wawe na video YouTube inayoelezea kwa kina. Au pdf za kudownload zinazoelezea kwa kina. Masuala ya fika katika matawi yetu ni mambo ya kijinga sana!
Hapana benk kama access benk na Finca walikuwa wanatoa 14 pcn kwa mwaka kama unazido ya 100 millionUmenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu,
Ukiweka pesa yako benki, walau kwa riba ya 7% una uhakika mwisho wa mwaka una milioni 7 waweza kufanyia kitu cha maana, (hizo benki wanaotoa 14% ni danganya toto tu, kihasibu ni 6% hadi 8%)
Mkuu waajiriwa wengi sana wakipata hela nyingi za ziada wana opt kununua hisa au bond au fixed deposit kwasababu zifuatazoHana akili andiko lake ni useless...hyo 7m ya interest anayosema ni mpaka ifike mwisho wa mwaka ndo uje kuipata its better uwekeze kwa real estate upokee passive income then that money unaweza fanyia kitu kingine kikaingiza pesa kuliko uweke bank 100m then usubir 7m mwisho wa mwaka [emoji23][emoji23]
Pia hyo 100m ukisema ujenge unajenga nyumba ya maana ambapo kodi yake si chini ya 500k halaf ikumbukwe uwekezaj kwenye nyumba sio faida ya kupata kwa haraka its a long run
Ili uiweke hiyo mil 100 unaipataje? Betting!Kuweka karibu milioni 100 kwenye fxed account na kuishia kupata milion 7 kwa mwaka ni uvivu ama uoga wa kuwekeza hiyo pesa. Kuna mizunguko ukiiweka hiyo milioni 100 kwa mwaka unakua umefunga milioni 300+.
Kujenga nyumba ya kupangisha ni biashara za wastaafu na waoga wa kuchukua risk.
Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu,
Ukiweka pesa yako benki, walau kwa riba ya 7% una uhakika mwisho wa mwaka una milioni 7 waweza kufanyia kitu cha maana, (hizo benki wanaotoa 14% ni danganya toto tu, kihasibu ni 6% hadi 8%)