Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hiki kitu ndio huwa sikielewi.Kuongeza Muda wa Maisha Yako – Kama Mungu amekusudia uishi muda wa sekunde 1,576,800,000, hata ukiwa billionaire kama Musk, huwezi kununua hata sekunde moja zaidi ya muda huo. (Luka 12:25). As of Feb 2025, Elon Musk's net worth is estimated at approximately $397.4 billion
Pesa ni muhimu tu lakini pesa sio kila kitu. I'm speaking from experience.Hiyo #8 wapumbaf wengi wanadhani baraka za Mungu zinanunuliwa kwa mlungula.
Jenga makanisa kwa fedha za ufisadi ama rushwa, toa matoleo na sadaka kubwa za kujionesha, chanzo cha mapato ni fedha chafu.
Mungu wanamuumba kwa kumfinyanga kwa utashi wao kuwa Mungu kama binadamu, anahongeka kwa chochote.
Watu wengi hawalijui hili kwa sababu hawajawahi kuzishika pesa nyingi.Money is not everything.
Ukiwa na Mapesa HUWEZI...
1️⃣ Kununua Wokovu – Wokovu wa Mungu haupatikani kwa fedha bali kwa imani katika Kristo Yesu. (Waefeso 2:8-9)
2️⃣ Kununua Amani ya Moyoni – Amani ya kweli inatoka kwa Mungu. (Yohana 14:27)
3️⃣ Kununua Upendo wa Kweli – Upendo wa dhati haupatikani kwa pesa. (1 Wakorintho 13:4-7)
4️⃣ Kununua Furaha ya Kudumu – Furaha ya kweli inatoka kwa Bwana. (Zaburi 16:11)
5️⃣ Kuongeza Muda wa Maisha Yako – Kama Mungu amekusudia uishi muda wa sekunde 1,576,800,000, hata ukiwa billionaire kama Musk, huwezi kununua hata sekunde moja zaidi ya muda huo. (Luka 12:25). As of Feb 2025, Elon Musk's net worth is estimated at approximately $397.4 billion
6️⃣ Kununua Heshima ya Kweli – Heshima ya kweli hupatikana kwa kuwa na tabia njema, si kwa kuwa na mapesa. (Methali 22:1)
7️⃣ Kurudisha Uhai wa Mpendwa Wako – Pesa haziwezi kurudisha maisha ya wapendwa waliotangulia mbele za haki. (Mhubiri 3:1-2)
8️⃣ Kununua Baraka za Mungu – Baraka za kweli haziwezi kununuliwa kwa mapesa, bali hutolewa na Mungu kwa neema. (Mithali 10:22)
💡 Tafuta Pesa kwa Bidii: Pesa ni muhimu, lakini tusidanganyike, mambo yenye thamani ya milele hayawezi kununuliwa kwa mapesa. Nope!
Ubarikiwe! 🙏
Money is a valuable tool, but it is not everything, as demonstrated by the eight points in the post. Whoever loves money never has enough; whoever loves wealth is never satisfied(Ecclesiastes 5:10)
Great1 Timothy 6:7-11
[7]For we brought nothing into the world, and obviously we cannot take anything out of the world;
[8]But if we have food and clothing, with these we shall be content (satisfied).
[9]But those who crave to be rich fall into temptation and a snare and into many foolish (useless, godless) and hurtful desires that plunge men into ruin and destruction and miserable perishing.
[10]For the love of money is a root of all evils; it is through this craving that some have been led astray and have wandered from the faith and pierced themselves through with many acute [mental] pangs.
[11]But as for you, O man of God, flee from all these things; aim at and pursue righteousness (right standing with God and true goodness), godliness (which is the loving fear of God and being Christlike), faith, love, steadfastness (patience), and gentleness of heart.
Za kutosha kujikimu mahitaji muhimu.Uwe na pesa kiasi gani ndio uongee hayo
Dah, umetumia lugha kaliHiyo #8 wapumbaf wengi wanadhani baraka za Mungu zinanunuliwa kwa mlungula.
Jenga makanisa kwa fedha za ufisadi ama rushwa, toa matoleo na sadaka kubwa za kujionesha, chanzo cha mapato ni fedha chafu.
Mungu wanamuumba kwa kumfinyanga kwa utashi wao kuwa Mungu kama binadamu, anahongeka kwa chochote.