Ukiwa na mapesa unaweza kununua kila kitu, isipokuwa mambo haya

Hata ukiwa masikini pia huwezi kuvinunua hivyo vitu.

Ila vipo vitu Tajiri anaweza kuvinunua akaipata furaha yeye na watu wanaomzunguka na vipo vitu masikini hawezi kuvinunua akaipata furaha yeye na watu wanaomzunguka.

InshaAllah tumuombe mwenyezi Mungu atuepushe na ufukara na atupe hekima na busara tukipa mali na atufanye wenye kumuabudu.
 
Ila hiki kitu ndio huwa sikielewi.

Yaani Mungu anakupangia ufe namna gani na siku gani??
Thibitisha hilo, how comes mtu afe kwa kuuawa na ni dhambi kuua mtu, kwanini apange kifo cha namna hiyo??
 
Acha upumbafu zitafute kwanza afu Ndo uongee hii statement
 
Pesa ni muhimu tu lakini pesa sio kila kitu. I'm speaking from experience.
 
Ongea yote hayo ukiwa tayari pesa unayo
 
1 Timothy 6:7-11
[7]For we brought nothing into the world, and obviously we cannot take anything out of the world;
[8]But if we have food and clothing, with these we shall be content (satisfied).
[9]But those who crave to be rich fall into temptation and a snare and into many foolish (useless, godless) and hurtful desires that plunge men into ruin and destruction and miserable perishing.
[10]For the love of money is a root of all evils; it is through this craving that some have been led astray and have wandered from the faith and pierced themselves through with many acute [mental] pangs.
[11]But as for you, O man of God, flee from all these things; aim at and pursue righteousness (right standing with God and true goodness), godliness (which is the loving fear of God and being Christlike), faith, love, steadfastness (patience), and gentleness of heart.
 
Money is a valuable tool, but it is not everything, as demonstrated by the eight points in the post. Whoever loves money never has enough; whoever loves wealth is never satisfied(Ecclesiastes 5:10)

1 Timothy 6:7-11
[7]For we brought nothing into the world, and obviously we cannot take anything out of the world;
[8]But if we have food and clothing, with these we shall be content (satisfied).
[9]But those who crave to be rich fall into temptation and a snare and into many foolish (useless, godless) and hurtful desires that plunge men into ruin and destruction and miserable perishing.
[10]For the love of money is a root of all evils; it is through this craving that some have been led astray and have wandered from the faith and pierced themselves through with many acute [mental] pangs.
[11]But as for you, O man of God, flee from all these things; aim at and pursue righteousness (right standing with God and true goodness), godliness (which is the loving fear of God and being Christlike), faith, love, steadfastness (patience), and gentleness of heart.
 
Mhu 10:19 SUV
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, Na divai huyafurahisha maisha; Na fedha huleta jawabu la mambo yote.

Mhubiri 10:19 NEN
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, nao mvinyo hufurahisha maisha, lakini fedha ni jawabu la mambo yote.

Ecclesiastes 10:19 NIV
A feast is made for laughter, wine makes life merry, and money is the answer for everything.

Ecclesiastes 10:19 NKJV
A feast is made for laughter, And wine makes merry; But money answers everything.

Ecclesiastes 10:19 KJV
A feast is made for laughter, and wine maketh merry: but money answereth all things.

Ecclesiastes 10:19 NLT
A party gives laughter, wine gives happiness, and money gives everything!
 
Imani ni nzuri ila ya Kaizari ina nguvu sana watu wanakosa matibabu sahihi kwa sababu ya pesa wengine wapo majumbani hawajaenda vyuoni kwa sababu ya pesa tusiibeze pesa.
 
Great
 
Dah, umetumia lugha kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…