Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

Sioni kosa hapo
 
kwa hiyo hata kwa mume unaweza fanya hivo mkuu?
 
Ha ha wengine tunauliza mama, niangalie ama nikaze mwendo...anasema "pixel unahitaji maombi", namuambia hata hivyo siyo mambo yangu, fahari ya macho tuu zigo kama hilo na hiki kitambi hatuwezani, anacheka siku imeisha

kwa hapo tayari unakua umepiga ndege 2 kwa jiwe moja, yaani hujamkera na kuangalia umeangalia
 
Pesa!?
Nikinuna we ninunue kwa hela, niwekee hela kwenye matiti na kitovu, ntakupa tabasamu na vingine. Ila ukirudia tena kunifanya ninune, bei ya kuninunua inaongezeka... kazi kwako.
 
hii pia si tabia rafiki ukiwa na mke or mpenzi
 
Mweleze mkeo atulizane, wanaume hatununiwi atajitafutia matatizo zaidi.
 
Mweleze mkeo atulizane, wanaume hatununiwi atajitafutia matatizo zaidi.
nilichojifunza katika hili mke anahitaji atesheni yako sana hasa mnapokua mmetoka, kinyume chake utamfanya ajisikie vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…