Ukiwa na mkeo jizuie kupepesa macho

Ungemkata vibao! Anakukoromeaje hivyo mwamba?
 
Daah nimemkumbuka x Siku moja tulikua kituoni tunasubiri daladala basi ikapita pisi kalii nikamsukuma kdogo kimbea na mkono nikashangaa akanyanyua uso kuangalia kulikoni!!! Sikutegemea nilidhani nikimpush kimbea ataniangalia usoni.
haukununa mkuu?
 
Kuna boya alkuwa hamheshimu mke wake,alkuwa akiona demu mzur hata kama yupo kwenye gari anatoa kichwa nje ili zone vzur,badala ya kuchungulia kwenye side mirror
 
Kuna boya alkuwa hamheshimu mke wake,alkuwa akiona demu mzur hata kama yupo kwenye gari anatoa kichwa nje ili zone vzur,badala ya kuchungulia kwenye side mirror
huyo kweli alikua boya
 
Kumbe ww niwakiume maana kuna siku mlichambana sijui na nani yule eti akadai ulimwita Boko
 
Labda niwekewe kishika shingo maana kwa maombi tu siwezi... Ngoja nije nioe tuone itakuwaje..πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nitakuweka magogo shingoni,sitaki ujinga mimi
 
Yani mimi nikiona mdada ana tako yani lazma nimshtue jamaa yangu na nnamwambia kabisa huyu dada anatako zuri πŸ˜‚. Nimezoea hivo
 
Yani mimi nikiona mdada ana tako yani lazma nimshtue jamaa yangu na nnamwambia kabisa huyu dada anatako zuri πŸ˜‚. Nimezoea hivo
ukizoea hivyo ukiwa na wife utaangalia vp mkuu
 
Sio sisi wanaume tu, nikwambie ata wanawake wenyew mdada akipita ana shape matata wanakuwaga wa kwanza kugeuka sasa najiulizaga wanaona fahari gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…