The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Mimi sidaiwi ww jamaa acha kuropoka rooks hovyoWewe lipa Chao tu porojo na ujanja ujanja mbele Giza Tena nene
Utakuja kwama kinaisha Kwa vitu vidogo tu
Ukikopa Hata Kwa mtu usiyeejuana naye sana Hata Bila maandishi mlipokopeshana deni lake mlipe Bila longolongo kama alivyokupa Bila longolongo.
Ujanja ujanja kama huu ndio unasababisha watanzania wengi ngozi nyeusi kubwa wagumu kupewa mikopo wahindi,waarabu na wapemba hukopeshana Bila maandishi na hulipana Bila shida yeyoteAaagh wapi kuna mahali walisema hivyo wakati wanakukopesha au hujui kuna haki ya mkopiaji pia?
Umenichekesha sana, kwamba hiyo computer imefanyaiwa programming na robot au binadamu? Kwamba 1000 unayodaiwa ndiyo izuie mtumishi wa umma mwenye uhakika wa dhamana ya serikali ndo benki ikose 15,000,000 ya faida.Wewe hujielewi Sasa hivi ni ulimwengu wa kidigitali.Hakuna ofisa mikopo anafanya kazi manually Kila kitu Kiko kwenye system ya computer.Ukiomba mkopo computer inaenda kuangalia padt records zako je mlipaji mzuri ukikopa imekuwa programmed kama siyo.inaleta jibu no hata kama ulikopa elfu moja hujurejesha na Sasa unabuwezo wa kurejesha Kwa Mwezi milioni 1000
Sasa kama una pesa ya kukatwa laki mbili Kwa mwezi unashindwa nini kulipa elfu 20 ? Kutolipa elfu 20 ni kiashiria kuwa wewe tapeli na maafisa utumishi wako Kutaka kutapeli benki system ya computer imekutema haitapeliki
Ukiwavl na mkopo wa mtandao Uwe wa simu au online lipa
Sasa hivi takwimu za history za ukopaji na ulipaji ukienda benki Ni Kwa system ya computer tu ikisema NO hakuna wa kukupa mkopo na hawajisumbui kuhakiki kuwa unadaiwa elfu 20 au shilingi kumi wanajua wewe hufai kukopeshwa msumbufu na tapeli
MkuuMkopo wa songesha na bank wapi na wapi? Au mimi sijaelewa?
Computer System Yenyewe taarifa inayotoa ni kuwa huyu mtu Sio mlipaji Mzuri wa mikopo Hata kama ulikopa elfu moja songesha ukaingia mitini yenyewe inatoa status ya ulipaji wako haiangalii kiwango Wala kukitaja.Inatoa status Yako wewe kama mkopajiUmenichekesha sana, kwamba hiyo computer imefanyaiwa programming na robot au binadamu? Kwamba 1000 unayodaiwa ndiyo izuie mtumishi wa umma mwenye uhakika wa dhamana ya serikali ndo benki ikose 15,000,000 ya faida.
Changamoto Mkuu unalipa lakini Bado wamekuweka Kwenye High risk ,Wakati umeshalipa ,na hata kama ulikuwa unalipa mda umeenda wanakupiga risk Kwenye kukopa bankWewe lipa Chao tu porojo na ujanja ujanja mbele Giza Tena nene
Utakuja kwama kimaisha Kwa vitu vidogo tu
Ukikopa Hata Kwa mtu usiyeejuana naye sana Hata Bila maandishi mlipokopeshana deni lake mlipe Bila longolongo kama alivyokupa Bila longolongo.
Huu ni uonevu wa Hali ya juu yaani mitandao ya simu ikopeshe Mtu buku Bila hata marsharti harafu inakupelekea kuzui mkopo wa mfanyakazi, yaani Mambo kipuuzi kabisa, na watu wanaosimamia haya ,ni wabinafisi roho za chuki na wamechoka kufikiriUmenichekesha sana, kwamba hiyo computer imefanyaiwa programming na robot au binadamu? Kwamba 1000 unayodaiwa ndiyo izuie mtumishi wa umma mwenye uhakika wa dhamana ya serikali ndo benki ikose 15,000,000 ya faida.
Songesha si tatizo, wewe unayekopa songesha halafu hulipi ndio tatizo. Wenzetu duniani utaratibu huo wameanza zamani sana, ukienda kukopa bank wanauliza taarifa zako za mikopo kwenye bank zote nyingine, wakikuta huko umesumbua kulipa na kwao hupatiSONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.
Hilo limetokea Leo Mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia Kwenye mfumo wa ess utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected,nikaenda voda nikawalipa SONGESHA yote lakini Bado mfumo ulisoma high risk.
Nawashauri wale ambao hamjaingia Kwenye hili jini SONGESHA msijalibu mbeleni litawaleta shida
Mamlaka zinasimamia Mikopo hili LA simu hasa Mikopo ya nivushe, SONGESHA, Gold, bustisha ziwe na term of condition, Yani taratibu za mwanachama kukubali
Wengi wetu tunafikiri mikopo ya mitandao ya simu kwa sababu huwa hawataki vielelezo vingi zaidi ya namba za NIDA tulizosajilia basi mtu anaweza akakopa halafu akawakimbia kwa kuhama line.Unataka kusema Mteja wa Vodacom Songesha anaweza kuwa na Deni linaloweza kuathiri kukopeshwa na Benki?
Kivipi jambo hilo likahusiana?
Masharti huwepo sema wewe hukusona unaambiwa unakubali unajibu haraka haraka ndio Bila kusomaHuu ni uonevu wa Hali ya juu yaani mitandao ya simu ikopeshe Mtu buku Bila hata marsharti harafu inakupelekea kuzui mkopo wa mfanyakazi, yaani Mambo kipuuzi kabisa, na watu wanaosimamia haya ,ni wabinafisi roho za chuki na wamechoka kufikiri
Riba unaijua Leo Wakati unakopa hukuiona? Sahau kukopa benki wewe utaishia kukopa mikopo kausha damu ya mitandaoni na benki sahau hiyo kausha damu ndiko utaishia ambayo unakopa laki moja na dhamana unakabidhi hati ya nyumba au gari ukishindwa kulipa mwezi mmoja tu wanauza nyumba na gari vyote Kwa mpigo laki mbili wachukue marejesho yao ya laki moja halafu watakuacha unalia kama mbwa kuwa haiwezekani nyumba na gari viuzwe laki mbiliHatulipi ng'o hata mje na nini?
Kwanza mnariba sio rafiki, pili mnadanganya wateja
Sawa credit officerUjanja ujanja kama huu ndio unasababisha watanzania wengi ngozi nyeusi kubwa wagumu kupewa mikopo wahindi,waarabu na wapemba hukopeshana Bila maandishi na hulipana Bila shida yeyote
Mhindi akienda kukopa benki nani ya Siku moja tu mkopo anapewa savabu walipaji waziri mswahili ngozi nyeusi unampa mkopo Mfano Bila maandishi anaanza ujuaji Lete ushahidi kama ulinikopesha shahidi Yako nani Nenda mahakamani huko Mimi haujawahi nikopesha
Ukipewa mkopo Bila longolongo na unapolipa lipa Bila longolongo usilete longolongo kwenye kulipa
Ndio maana mabenki uuweka Hata riba juu sana na usumbufu mwingi Kwa mkopaji mswahili ngozi nyeusi kutaka madhamana kibao na yenyewe Hadi benki ijangaike kuhakiki sababu aweza leta fake documents ni shida.
Wao wamekukopesha Bila kelele Bila longolongo kulipa hulipi unaleta longolongo ndio maana Sasa hivi wanalink na credit reference bureau wakopaji ambayo huleta longolongo kulipa wanazobwa kote kwenye benki yeyote asipate mkopo abakie na ujuaji wake huko mtaani au aende akakope kule Kwa watoa mikopo kausha damu Sio kwenye mabenki
Kaka LIPA siku umeenda bank ndio utajutaHatulipi ng'o hata mje na nini?
Kwanza mnariba sio rafiki, pili mnadanganya wateja
Watumishi wa umma nanyi akili zenu ni kibaba haswa, unaendaje kukopa upuuzi kama huo?SONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.
Hilo limetokea Leo Mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia Kwenye mfumo wa ess utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected,nikaenda voda nikawalipa SONGESHA yote lakini Bado mfumo ulisoma high risk.
Nawashauri wale ambao hamjaingia Kwenye hili jini SONGESHA msijalibu mbeleni litawaleta shida
Mamlaka zinasimamia Mikopo hili LA simu hasa Mikopo ya nivushe, SONGESHA, Gold, bustisha ziwe na term of condition, Yani taratibu za mwanachama kukubali
Kipengele, mi sina kazi mkopo hadi aibu, nadhani watakuja kulipa wajuuTukiungwa na wale wa HESLB tumekwisha